Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Biblia imeeleza fika kabisa kuwa ni marufuku kuoa Mwanamke mnayetofautiana imani.

Hamjifunzi tu kwa Samson kilichomkuta aliposhupaza shingo kumuoa Mfilisti nakati alishakatazwa na Wazazi wake?
Ingekuwa vizuri ungeweka hapa huo mstari kutoka kwenye biblia
 
Dini hizo hizo ndio zilizojengwa na mwanadamu huyohuyo halafu unasema dini hazina tatizo?
Unaweza kuniambia mwanadamu alijengaje dini ? Yaani historia ya dini kwa munasaba wa muanzilishi binadamu ilianza lini ?
Dini inawekwa sehem ambapo haina kosa wakati mwanadamu mwenye mapungufu na makosa kibao ndio kaijenga yeye!
Unaweza kulithibitisha hili ?
Hivi unatengaje kitu kilichojengwa na mjengaji?
Kama ni kweli hili mbona rahisi tu,una muua mjengaji.
 
Kwann iwe uasi mkuu wakati watu wanapendana?? Au kuna sheria kwamba watu wa Dini tofauti hawatakiwi kuwa na mahusiano??
Hata kupenda kuna taka elimu,yaani lazima watu wafundishwe kupenda na wanao sema mapenzi ni upofu kwa ulingano wa dini tofauti hao ni wapotoshaji na wanatakiwa kupigwa vita.
 
Na kwanini umpende wa upande wa pili wakati wa upande wako wapo? Je ni wabaya au nini hukipendi toka kwao wakati ndio unaotakiwa uwe nao?
Tatizo watu tunajiendekeza na kujidai wajuaji sana.

Nimekuelewa sana. Uko sahihi.
 
Biblia imeeleza fika kabisa kuwa ni marufuku kuoa Mwanamke mnayetofautiana imani.

Hamjifunzi tu kwa Samson kilichomkuta aliposhupaza shingo kumuoa Mfilisti nakati alishakatazwa na Wazazi wake?
Hilo ni agano LA kale au jipya hayo maelezo yameandikwa??
 
Back
Top Bottom