Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Leeds, UK@Eng. mchunguzi, na sijakataa kua hakuna vyombo vinavyooshwa kwa mkono bali hivyo sio vingi kama ni vya mahotelini vingi na masufuria tu..
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.

Diaspora Diaspora Diaspora, hela Hamna nyie, nani kawanyima kufungua viwanda? Unataka ushirikishwe vipi? Jitahidini kuwasomesha wadogo zenu na ku improve Amaisha ya jamii zenu kabla ya viwanda
 
mkuu ritz mimi nafanya kazi tatu. Kaaz ya kwanza Naanza alfajir saa 11 namaliza saa 3 (masaa manne) kufagia supermarket usidhan natumia chelewa au fatuma ni mashine mkuu.

Nikimaliza faster nawahi treni kuingia kwenye mzigo mwengine maamae kuosha vyombo (the best job I like) wamenipachika the best dishwasher in Europe maamae kwasabab navyopiga vyombo kwa utaalam wakipekee ni restaurant ndan ya kampun flan tunahudimia 800+ customers maamae hapo napiga masaa sita maamae 10am to 16:00.

16:00 to 18:00 ninazuga center tu au sometimes nazuka ghetto. 18:00 to 23:00 naenda kusafisha gerej ya matrack ni kaz ya masaa 5 mimi maamae nakupigia manne sometimes matat na nus hasa sasa hiv summer si kuchaf sana winter balaa. Halaf kwenye hii kaz unaweza kuondoka kabla ya mda wake as long umetimiza wajib

Yani mkuu lala yako ya shida mpaka basi sidhani kama unapata muda kujiendeleza na shule
 
hii ya vyombo siku ya kwanza ukionyesha ujuzi wa kupindua sahani NA mabakuli kwa kasi ya sahani nne kwa dakika moja unapewa permanent job hapohapo NA unakuwa NA uhakika wa shifs

Duh....hiyo kali aiseee kweli wabeba box wanapata sana tabu
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.

Watu wengine bana, kwa hiyo mnasubiri hadi muitwe au! Kama mnauwezo huo si mfuate procedures zinazohitajika muanzishe tu! Au hadi mpigiwe magoti
 
Yani mkuu lala yako ya shida mpaka basi sidhani kama unapata muda kujiendeleza na shule
mkuu ninampango wakujiendeleza kielimu labda mwakan. Nataka nienrol high school ama language school Ila itakuwa evening classes. Itanibid nidrop kaz moja ya jion. Kilichonileta ulaya nikutafuta hela ubishoo sina nina malengo mkuu nimesev hela nzuri tu na ninaweza kupata mkopo hadi wa million Mia na sabin za kibongo. Niko makin kwenye matumiz yangu nikinunua vitu na vizia siku za sales.
 
Pambana kaka,nilikuwa juzi dar maisha magumu sanaaaaa,hata sijui watu wanaishije kwa kweli,bora hata uoshe vyombo mbele kuliko jiji la dsm kwa sasa..,vumbi jingi,maisha ghali,nimejiuliza swali moja,kwa wale ndugu zetu wenye mishahara kuanzia jiwe 4 mpaka m1 kwa mwez,wanaishije???maana me nimekaa week kadhaa tu.nimetumia zaidi ya m2,kaka komaa huko huko ukishuka huku ni kufanya mambo ya maana tu
 
Ninaamini Diaspora tukihusishwa kikamilifu tunaipeleka Tanzania next level japo na sisi Diaspora tunaboa sometimes eti kaja Waziri mkuu UK badala ya kumuuliza maswali ya maana tunachekacheka tu. Tuwe serious vinginevyo wala vumbi watatudharau zaidi
Acha kudanganya umma , diaspora utajenga kiwanda gan wakati wengi wenu mlioko ulaya mnalala kwenye ma bed spaces , mlo mmoja , mnafanya kazi za u house made , kufagia, hata pengine kufua nguo za ndani za wazungu ndo maana hamji likizo mnajifanya ratiba tight kumbe hakuna hela mnasubiria tip kwa wale mnaofanya waiter na waitress, sasa we ujenge kiwanda gan, wakujenga viwanda wapo hapa hapa Tanzania, maisha ya uko nayajua vema
 
mmh..!! why so much of hatred dude?
 
mmh..!! why so much of hatred dude?
not hatred mkuu; ni ukweli mchungu. wanaofanya kazi za maana huko ni wa kuhesabu. maisha marekani yalikua mazuri during clinton era. kwa sasa hali ni mbaya ingawa obama kajitahidi mno kujaribu kurudisha hali kawaida.
 
Haa ! Diaspora Muogopeni Mungu...uwezo huo upo kweli?maana ikitokea diaspora kapoteza baba au mama huku bongo..kila siku tunachangisha michango huku ili diaspora mmoja apate nauli ya kuja kumzika mzazi wake... So .. so .. Pathetic..!tuache kujitutumua wakati nauli ya kurudi tu ni mtihani....
Hahahaha hebu wachambe hao ili wajue kuficha aibu zao.Msifanye siku zote mjishaue sa hizi.
 
Viwanda vya Nguo, Pampers na Vilainishi vya Engine ndo tunavihitaji kwa sasa.
 
Diaspora njooni na Proposal ya maana (msikimbilie vyeo vya kuteuliwa tu). Mtasikilizwa! msiishie kwenye mitandao kuponda kila kitu. Kuna vingi vizuri vimefanyika hadi sasa. Karibuni tena nyumbani
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.

Wacheni kujidai nyinyi diaspora! Yaaani hivo vijehela vyenu vya boksi ndio vitujengee viwanda hapa bongo? Labda mtujengee viwanda vya kuzalisha hao kunguni wenu huko?
 
Back
Top Bottom