Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

kwani mimi nilikuja kuish huku milele? Kwani mimi sina mashamba na nyumba bongo? Wee vp? Nimekuja huku kutafuta. Nafanya kaz masaa 14 -15 kwa siku ispokuwa j2 Ndio maana unaniona sasa hiv niko active hum kesho siingi mzigon.

Kuhus kodi ya pango nikusave mkuu. Kodi ya pango tu hapa kwa mwez viwanja vya kutosha ama mashamba tanga. Mimi nashare na masela ninasevu karibia milion mbil za bongo kama ningeish ama kupanga apartment kivyang.

Sitaish hiv kubeba boks milele nimejiwekea target had 2020. Nina akiba ya hela ya kutosha tu. Na bongo nina asset za kuridhisha. Nilipokuwa bongo kufikisha hata laki ilikuwa ngumu kwa mwez lakin sasa hiv maamae 47000tzs × 14 × 6 ×4 kodi 36%

Mkuu Copenhagen, sometimes huwa unaniacha hoi sana.

Kizuri ni kwamba wewe hudanganyi wala hupindi kona.
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma

Mkuu, ukirudi utakuta hili swali, ni exposure ya aina gani ulo nayo kwenye masuala ya viwanda?

Fafanua,
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma
Toka lini umekuwa diaspora?
Una post kibao humu za Bongo maeneo ya Sinza. Leo umekuwa diaspora. Hebu punguza utani!
 
Mkifa hamuishi kutembeza bakuli kwa hao hao wala vumbi ili maiti irudishwe nyumbani
Hawaja jipanga tu sehemu zingine sana sana wabara wanachojua ujinga tu most of the time (uwezi kusikia mambo hayo ya kipuuzi kwenye misiba ya wazanzibari wenye akili zao timamu).

Kuna community zina-watanzania mia tu kila mtu akitoa £200 kwa mwaka sio lazima yote kwa pamoja wana elfu ishirini yaani ikitokea msiba mnaulizwa tu tunazika hapa au tunasafirisha michango mfiwa anafanywa kulazimishwa na jumuiya pokea sio vizuri ata kama utaki peleka nyumbani itasaidia.

Msiba ukiisha watu wanaangalia shortage wanafidia maisha yanaendelea kama kawaida.
 
Diaspora mbeba box huna cha kuliletea taifa, ila diaspora mwenye elimu/uzoefu na hela za kutosha ndo wakati wako huu kuwekeza bongo
Fanya hima ukatoe ajira bongo
 
rudini tuu.., calculate number of years staying away from home then compare with achievement.unajikuta mvii zimetapakaa kila sehemu,hakuna cha maana stuka mapema.Tanzania uliyoiacha wakati huo sii TZ ya sasa..!
Warudije sasa wakati nauli tu ni shida.
Labda tuuze mashamba huku ili tuwatumie nauli
 
kwani mimi nilikuja kuish huku milele? Kwani mimi sina mashamba na nyumba bongo? Wee vp? Nimekuja huku kutafuta. Nafanya kaz masaa 14 -15 kwa siku ispokuwa j2 Ndio maana unaniona sasa hiv niko active hum kesho siingi mzigon.

Kuhus kodi ya pango nikusave mkuu. Kodi ya pango tu hapa kwa mwez viwanja vya kutosha ama mashamba tanga. Mimi nashare na masela ninasevu karibia milion mbil za bongo kama ningeish ama kupanga apartment kivyang.

Sitaish hiv kubeba boks milele nimejiwekea target had 2020. Nina akiba ya hela ya kutosha tu. Na bongo nina asset za kuridhisha. Nilipokuwa bongo kufikisha hata laki ilikuwa ngumu kwa mwez lakin sasa hiv maamae 47000tzs × 14 × 6 ×4 kodi 36%
Bado mnajidanganya sana ndiyo maana mkifanikiwa kupata nauli mkija mkuu mnakimbia watu coz hamuamini mnachokikuta kwa homeboys mliowaacha.
 
there is no favourable and conducive environment for a real serious and potential investor like me to invest this is due to political instability no democracy and no transparency for instance the issue of Zanzibar and the mtandao act. Also the infrastructures are in bad condition Airports are not safe. High crime rates corruption at highest level mizaha wivu chuki hila ghilba choyo kinyongo uvivu elimu maghumash go on and on.

CAN'T RISK TO PUMP IN MASSIVE CASH TO INVEST IN SUCH CONDITIONS.
Duh,mkuu umetisha kwa inglishi.inglishi yako ni ya levo ya juu mno hata malkia elizabeti hafui dafu.wewe ni dayasipora mbobevu wa lugha ya ughaibuni.hongera sana.
 
Najua hamshindwi kufungua ata kiwanda cha toothpicks ambayo mashine Yake ni dola elfu 30 tu sema Tanzania yetu ina urasimu mwingi sana Na kubaniana labda uwe mwekezaji mweupe maana kupata hivyo vibali Na taratibu ni kama unmbembeleza MTU akuazime ela Na ila kama kuja kuwekeza sio mpaka serikali ukuombe wakati wewe ndio mtanzania njoo uwekeze kwenye nchi yako ila kuna diaspora wengine wanarudi Na nauli tu najua popote pale wapumbavu awakosekani ila kuna mmoja alirudi Na dola Mia tano Leo ni King Wa mitandaoni Na Ana hisa kwenye kampuni ya media
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma

Hakuna alieyekuzuia, omba kazi, anzisha kampuni, njoo uwekeze..usidhani kama utapewa kipaumbele, wewe sawa na sisi, tuonyeshe kwamba kwanini upewe kipaumbele, na sio sababu wewe ni Diaspora..
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma
Watu waliopo bongo wana elimu ya kutosha Na waledi wanafanya professional jobs. Na diaspora wengi mmafanya kazi za boxes Na bbc ya British buttock clean. Mnaweza kushauri nini. Elimu yenu wengi ni za west London college au unabisha mleta uzi
 
tatizo mmezid wiz wiv majung ushirikina na uzembe. Naweza nikaanzisha kiwanda nikapigwa juju ya kufa mtu
Wewe juzi Kati ulikuja hapa na Uzi ukitaka tukuombee kwa kuwa eti Kuna mjane mmoja ambae Ni bibi Ana hela Sana sasa ukatamani uwe nae kimahusiano ili utusue kimaisha? Kwendraaaaaaa
 
Tukubali tukatae wataalam wa diaspora ni kiungo muhimu kwa mustakabali wa Tanzania ya Viwanda
 
kwani mimi nilikuja kuish huku milele? Kwani mimi sina mashamba na nyumba bongo? Wee vp? Nimekuja huku kutafuta. Nafanya kaz masaa 14 -15 kwa siku ispokuwa j2 Ndio maana unaniona sasa hiv niko active hum kesho siingi mzigon.

Kuhus kodi ya pango nikusave mkuu. Kodi ya pango tu hapa kwa mwez viwanja vya kutosha ama mashamba tanga. Mimi nashare na masela ninasevu karibia milion mbil za bongo kama ningeish ama kupanga apartment kivyang.

Sitaish hiv kubeba boks milele nimejiwekea target had 2020. Nina akiba ya hela ya kutosha tu. Na bongo nina asset za kuridhisha. Nilipokuwa bongo kufikisha hata laki ilikuwa ngumu kwa mwez lakin sasa hiv maamae 47000tzs × 14 × 6 ×4 kodi 36%
kuna ujumbe mzito sana umeutoa hapa... I HOPE WATAKUELEWA

Godt arbejde kammerat
 
Baadhi ya Diaspora huku ughaibuni ni watu wanaofanya kazi viwanda vikubwa duniani, ikiwemo vya utengenezaji magari na ndege sasa Tanzania kama nchi tutumieni ipasavyo, vinginevyo tutawanufaisha mataifa mengine wakati kwetu kunateketea. DIASPORA NGUZO YA MAENDELEO YA VIWANDA
 
Back
Top Bottom