Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,653
- 25,661
Sisi wabeba maboksi, waiters na watchmen tutaweza kujenga nini. Kinachotusaidia tukija likizo ni bei ya dollar zetu zinatupa chenji nzuri ndio zinatuvimbisha . Tusiwadanganye wenzetu. Infact wenye hali nzuri ni wale wanao fanya kazi nchi za kiarabu kama Abu Dhabi ndio wanakuwa na kazi bora kidogo au afadhali.
Mkuu, bado sana hujachelewa.
Wewe changa fwedha tu na anzisha kitu Tanzania, usikate tamaa.
Tanzania ni nyumbani ndiyo maana unakwenda likizo.