Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.
Wewe lete maji, acha longo longo.
Watu hapahapa bongo wako wengi sana wataalam wa kumwaga.
 
yaani uko ulaya halafu unaandika pumba namna hii:

Bora hata angeandika pumba, kuandika kwenyewe sentensi moja sahihi hawezi, kakaa Ulaya miaka 20 utakuta. Hamna watu unusuable nchi hii kama hao wanaojiita diaspora.

Mtu yuko Denmark anasema anataka asaidie kutoa nguvu kazi hapa Bongo. Watakua wazima hao watu? Atakua anatoa nguvu kazi akija likizo wiki mbili kwa miaka minne?
 
Diaspora tupo vizuri kiuchumi tuwekeeni mazingira rahisi ya kuekeza ikiwemo "Uraia wa nchi mbili" pia tuna kiingereza kilichonyooka, sio bongo hapo "the" "the" "the" nyiingi mkiona mgeni toka UN mnazugia mikoani.
NB: Hatubembelezi, kama hamtaki endeleeni na hekaya za abunuwasi, kuwafungulia fursa watu toka bara Asia mkiacha wazawa asili (aibu sana).
 
Wabongo bana analea vikongwe ..na kuosha vyombo KWA hotel anasema ana exposure

sent from my iPhone 6
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.

Viongozi wa Tanzania wanaogopa watu waliokuwa exposed. Wewe umekaa nje sana, hutakubali kuitwa mjinga, hutakubali kufungwa mdomo, haswa kama unaishi kwenye nchi yenye uhuru wa kutowa hoja na haki kwa kila mtu. Nchi zote ambazo elimu zao ziko juu, wamewakalibisha raia wao wanaoishi nje kuinvest bila kujali. Mawazo ya Viongozi wetu bado yako nyuma sana kwa hiyo wana Uwoga mkubwa to be challenged.
 
Makalio yenuuuu!,nguo munaagiza toka huku,eti"tuje kuwekeza"huku munabana pua!.
Pelekeni fangas zenu huko mbele,noti siyo kama mavhuz kuwa hata nyie wakosa usingizi mutazipa,vipapa vyenuu!,hamuwezi kuzikana mutaweza kuwekeza!makalio nyie.
Munapoteza muda,miaka kumi dola elfu kumi,chawa bata nyie.

Ndiyo maana tunaitwa wajinga na Mkapa kwa watu kama wewe,, huelewi. Travelling is university of life.
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.

Hutakiwi kuomba it is your birth right. Watanzania utulivu wetu, Ndiyo maana Viongozi wetu wanatuita wajinga.
 
ipo haja ya kurudi nyumbani na kuidai hiyo haki yetu ya msingi
 
Wabongo bana analea vikongwe ..na kuosha vyombo KWA hotel anasema ana exposure

sent from my iPhone 6
exposure wewe unaipimaje ndugu?Hapo nyumbani mmekalia kwa kuwaibia wanyonge kupitia faini zisizoeleweka?
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.
View attachment 566354

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
Wanabodi.

Declaration of interest. Japo mimi Paskali Mayalla sio mwana Diaspora, bali nimewahi kuishi nje kwa muda mfupi mfupi katika nchi mbalimbali, na nimewahi kufanya kazi tena sio kubeba box, bali kubeba zege ndani ya jiji la London, hivyo nina mwanga kidogo kuhusu diaspora, ila kwenye hili
Kongamano la Nne la Diaspora, litakalo fanyika Zanzibar, tarehe 23 na 24 Agosti, I have a role to play.

Hivyo hili ni bandiko la kuomba ushirikiano wenu, kwa ushiriki wako kwenye kongamano hili, physically or by proxy, ili kutoa mawazo yako Tanzania ikusaidiaje ili kukuwezesha wewe kuisaidia nchi yako.

Tanzania itajengwa na Watanzania wote wakiwemo wana diaspora. Kitu cha kwanza ni kuomba ushiriki wako physically kwa wale wenye nafasi to make it home, wajisajili kupitia
DIASPORA: Home Page
or
4TH Tanzania Diaspora Conference 2017 - Diaspora and SMEs ...

Kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kuwepo physically, wanaweza kushiriki by proxy, kwa vile dunia sasa ni kijiji kimoja, wanaweza kushiriki by proxy.

Kwanza The Official Opening ya Kongamano lenyewe litatangazwa live za TV za Tanzania. Pili tutatangaza live kupitia video streaming kwenye youtube hivyo wana diaspora wote wenye nafasi wanaweza kufuatilia kupitia youtube, facebook, tweeter na mitandao ya kijamii.

Hapa naomba ushirikiano wako tujadiliane how to reach you out ili tupate maoni na mawazo yako, Tanzania ikusaidiaje wewe mwana Diaspora ili uweze kuisaidia nchi yako?.

Uzalendo sio kujiuliza "Tanzania Ikusaidie nini, bali ni wewe kujiuliza jee nimeisaidia nini nchi yangu Tanzania?". Kwa vile wana diaspora wengi wako nchi za nje na wamepata bahati ya kupata exposure kubwa, tunaomba mawazo yenu, Tanzania iwasaidieje ili muweze kuisaidia nchi yako Tanzania.

Natanguliza Shukrani.

Pascal Mayalla
+255 784 270403
pascomayalla@gmail.com
 
The regime needs to see this with a third eye. For instance whatsoever me am capable of investing millions of pounds in banking and real estates and vast industrial sector.

The obstacle is I can't risk Just dumping my bulk cash just like that for the sake of investing until this CCM regime convince me by putting favourable and conducive environment for me to invest.
It seems you have pounds just to serve your stomarch not for investment.
 
The regime needs to see this with a third eye. For instance whatsoever me am capable of investing millions of pounds in banking and real estates and vast industrial sector.

The obstacle is I can't risk Just dumping my bulk cash just like that for the sake of investing until this CCM regime convince me by putting favourable and conducive environment for me to invest.
It seems you have pounds for just serving your stomarch not for investment
 
Back
Top Bottom