Jamani kwani Diaspora ni cheo fulani au ni ujuzi mkubwa kuliko wengine> Mbona tunao local residents wazuri tu kwa kila nyanja nawashauri kama mmeshalimbikiza za kutosha njooni mjenge viwanda hapa ni kwenu nyumbani ni nyumbani tuKatika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.
They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.
ahahaaaa mkuu umefunga topic wallahHaa ! Diaspora Muogopeni Mungu...uwezo huo upo kweli?maana ikitokea diaspora kapoteza baba au mama huku bongo..kila siku tunachangisha michango huku ili diaspora mmoja apate nauli ya kuja kumzika mzazi wake... So .. so .. Pathetic..!tuache kujitutumua wakati nauli ya kurudi tu ni mtihani....
Mkuu usigeneralize mambo!diaspora tuheshimiwe! hivi nyie wala vumbi kweli mtajilinganisha na sisi huku ughaibuni kweli? kwa kipi hasa?
Ila hatuwakatishi tamaa.unganeni mpate mtaji, opportunities Kwenye miradi ya viwanda vidogo vidogo bado ni kubwa.Pia serikali ya Sasa inaelekea itatoa kipaumbele uanzishwaji wa viwanda.Haa ! Diaspora Muogopeni Mungu...uwezo huo upo kweli?maana ikitokea diaspora kapoteza baba au mama huku bongo..kila siku tunachangisha michango huku ili diaspora mmoja apate nauli ya kuja kumzika mzazi wake... So .. so .. Pathetic..!tuache kujitutumua wakati nauli ya kurudi tu ni mtihani....
diaspora tuheshimiwe! hivi nyie wala vumbi kweli mtajilinganisha na sisi huku ughaibuni kweli? kwa kipi hasa?
tuundiwe MAMLAKA/WIZARA kamili inayohusiana na sisi Wana-DIASPORA (Wa Ulaya na Marekani tu) ili tuweze kurahisisha zoezi la uanzishaji wa VIWANDA hapo nchini.
NB: Tafadhali Diaspora tusichanganywe na wale vibaka wanaozamia South Africa huwezi kuwaita Diaspora.

,diaspora uchwaraaaatuundiwe MAMLAKA/WIZARA kamili inayohusiana na sisi Wana-DIASPORA (Wa Ulaya na Marekani tu) ili tuweze kurahisisha zoezi la uanzishaji wa VIWANDA hapo nchini.
NB: Tafadhali Diaspora tusichanganywe na wale vibaka wanaozamia South Africa huwezi kuwaita Diaspora.
not hatred mkuu; ni ukweli mchungu. wanaofanya kazi za maana huko ni wa kuhesabu. maisha marekani yalikua mazuri during clinton era. kwa sasa hali ni mbaya ingawa obama kajitahidi mno kujaribu kurudisha hali kawaida.
Wewe una exposure ipi zaidi ya kutumiwa hela ya kujikimu kutoka bongoKatika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.
They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.
Ni ukweli kabisammh..!! why so much of hatred dude?