Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

The regime needs to see this with a third eye. For instance whatsoever me am capable of investing millions of pounds in banking and real estates and vast industrial sector.

The obstacle is I can't risk Just dumping my bulk cash just like that for the sake of investing until this CCM regime convince me by putting favourable and conducive environment for me to invest.
Hahahaha
 
there is no favourable and conducive environment for a real serious and potential investor like me to invest this is due to political instability no democracy and no transparency for instance the issue of Zanzibar and the mtandao act. Also the infrastructures are in bad condition Airports are not safe. High crime rates corruption at highest level mizaha wivu chuki hila ghilba choyo kinyongo uvivu elimu maghumash go on and on.

CAN'T RISK TO PUMP IN MASSIVE CASH TO INVEST IN SUCH CONDITIONS.
Nilitaka kukuiibu lakini nimeishia kukuombea kwa Mungu akusamehe. Kwani ujinga ni mzigo mzito sana. Jitahidi uutue
 
Nilitaka kukuiibu lakini nimeishia kukuombea kwa Mungu akusamehe. Kwani ujinga ni mzigo mzito sana. Jitahidi uutue
hivi mkuu kabisa unanichukuliaseriously ninavyoposti hadi ufukie hatua ya kunikasirikia na kunichukia. dah my fellow country man
 
there is no favourable and conducive environment for a real serious and potential investor like me to invest this is due to political instability no democracy and no transparency for instance the issue of Zanzibar and the mtandao act. Also the infrastructures are in bad condition Airports are not safe. High crime rates corruption at highest level mizaha wivu chuki hila ghilba choyo kinyongo uvivu elimu maghumash go on and on.

CAN'T RISK TO PUMP IN MASSIVE CASH TO INVEST IN SUCH CONDITIONS.
ACHA UWONGO. .
HAWA WAHINDI WANAO ENDELEA KUJENGA MAGOROFA YA AJABU SI WANGESHA ONDOKA KAMA MANENO YAKO NI KWELI? MAANA HAMNA WATU WAJANJA KAMA WAHINDI LAKINI BADO WANA INVEST KWA NGUVU ZOTE HAPA NCHINI. ...asante sana
 
Diaspora tuna experience za kutosha katika biashara za kimataifa. Tupeni nafasi.
 
Tanzania ya viwanda wapi! Maana wawekezaji wanashangaa mambo ya msingi ili kiwanda kiwepo hayajapatiwa ufumbuzi hadi hivi sasa; kwasababu bado hakuna umeme wa uhakika, maji ya uhakika, miundo mbinu ya usafirishaji ni mibovu, foleni barabarani, uhaba wa chakula, kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua kama vile tuna mkataba nayo, wanasiasa kutokuheshimu wanataaluma katika utendaji wa kazi, serikali kuingilia mihimili mingine katika utendaji wake, demokrasia finyu, ufisadi,hatujali vitu vyetu wenyewe. Kwa haya nani anakuwa tayari kuwekeza kwenye eneo lenye matatizo haya? Kwa kifupi, kwa mwekezaji wa ukweli ni hasara kwake.
Kitu cha msingi ni kuondoka hayo matatizo halafu ndiyo tuanze kuhubiri Tanzania ya viwanda.
 
Tatizo letu Watanzania ni hili badala ya kuongelea ni jinsi gani ya kuendeleza nchi yetu masikini tuna focus kwenye kupigana madongo!! tujiulize je ni nani anafaidika na hili?. Vilevile kuwahusisha diaspora kwenye maendeleo ya nchi kuna ubaya gani
 
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.

They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.
Naunga Mkono Iundwe Wizara ya Viwanda peke yake iitwe Wizara ya Uanzishwaji, Uimarishaji na Usimamizi wa Viwanda.
 
ni kwel mkuu elim yangu ni maghumash hata iyo form four yenyewe yakuunga unga. Ila ntarud shule nikitimiza malengo yang 2020
Safi sana Copenhagen fanyakazi huko kwa maleongo. Usuri Tanzania sasa hivi oppourtunities kibao za kujiendeleza. Hakikisha unasave na kurudi bado naamini maisha mazuri ni nyumbani!
 
Back
Top Bottom