Mauza uza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2008
- 2,094
- 1,375
Lakini hizo kaz ungekuwa tz usingefanya,kama sisi wana Dar unifanyishi kaz ya kuosha vyombo hata siku moja,Lakin kwa sababu upo mbele unaona kawaida sanaaaaa,Sema ndo hivyo kila la mtu na maisha yake na chaguo lake katika maisha,kama wanavyosema kaz ni kaz
Kuna madish washer kaka, wewe ni kutumbukiza tu vyombo sio ile kuosha kibongo kibongo, tena madish washer ya mahotelini ni heavy duties wewe ni kuweka na kutoa tu, sio kama vile unaosha kibongo bongo!!