Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Makalio yenuuuu!,nguo munaagiza toka huku,eti"tuje kuwekeza"huju munabana pua!.
Pelekeni fangas zenu huko mbele,noti siyo kama mavhuz kuwa hata nyie wakosa usibgizi mutazipa,vipapa vyenuu!,hamuwezi kuzikana mutaweza kuweza!makalio nyie.
Munapoteza muda,miaka kumi dola elfu kumi,chawa bata nyie.

Bwaaaaaaaaaahhhahaaaaaaaaa. We jamaaa una hatari ujue!
 
there is no favourable and conducive environment for a real serious and potential investor like me to invest this is due to political instability no democracy and no transparency for instance the issue of Zanzibar and the mtandao act. Also the infrastructures are in bad condition Airports are not safe. High crime rates corruption at highest level mizaha wivu chuki hila ghilba choyo kinyongo uvivu elimu maghumash go on and on.

CAN'T RISK TO PUMP IN MASSIVE CASH TO INVEST IN SUCH CONDITIONS.

You have spoken well. Invest where you are. Don't bother to argue and even think about our country. We'll invest with a little we have and the country'll go on.
 
kwani mimi nilikuja kuish huku milele? Kwani mimi sina mashamba na nyumba bongo? Wee vp? Nimekuja huku kutafuta. Nafanya kaz masaa 14 -15 kwa siku ispokuwa j2 Ndio maana unaniona sasa hiv niko active hum kesho siingi mzigon.

Kuhus kodi ya pango nikusave mkuu. Kodi ya pango tu hapa kwa mwez viwanja vya kutosha ama mashamba tanga. Mimi nashare na masela ninasevu karibia milion mbil za bongo kama ningeish ama kupanga apartment kivyang.

Sitaish hiv kubeba boks milele nimejiwekea target had 2020. Nina akiba ya hela ya kutosha tu. Na bongo nina asset za kuridhisha. Nilipokuwa bongo kufikisha hata laki ilikuwa ngumu kwa mwez lakin sasa hiv maamae 47000tzs × 14 × 6 ×4 kodi 36%

Dah! Kiongozi bado upo mbali. Hujawa potential investor. Unajua, kwa hesabu hizo bado unakimbizana na wamachinga wetu hapa! Tena hujapiga hesabu ya nauli na chakula! Unachosave si zaidi ya 1mTsh.
 
Kwani mmejenga vya kwenu mkakatazwa? Kama shida ni ujuzi tutaenda kufundisha wataalamu huko huko!
 
Unataka kuniambia kama zile machine za kuosha vyombo au??acha uongo aisee,watu wanaosha kabisaaaaaa vyombo,nimejionea kwa macho yangu

Mkuu mie nimesoma huko, pale nipopanga tu sikuwahi hata siku moja kuosha vyombo.. Tulikua vyombo vichafu vyote ni kuweka kwa dish washer na kusubiri later kuvitoa baasi..na mahoteli makubwa yana heavy duties dish washer sema kuna vyombo baadhi ndo itumike mikono but vingi ni mashine tu...
 
Naamini uzoefu wetu sisi Diaspora na wenzetu nyumbani al-maarufu "Wala Vumbi" utatuvusha na kuelekea uchumi wa viwanda. India, Vietnam, Korea wamefanikiwa sana kuwatumia Diaspora kuendeleza viwanda vyao leo hii india inazalisha Magari "TATA", madawa ya binadamu & huduma-post modern za afya. Yote haya ni mazao ya Diaspora!

Mimi ninashangaa diaspora wanapotaka washirikishwe kwenye uchumi wa viwanda, kwani nani kawazuia mpaka waombe kushirikishwa. Kama wanakuja wahindi, wazungu nk wanafanya kazi hapa itakuwa nyie wenye nasaba na nchi hii? Au mnataka mje katika hali ya kutukuzwa?
 
Mkuu mie nimesoma huko, pale nipopanga tu sikuwahi hata siku moja kuosha vyombo.. Tulikua vyombo vichafu vyote ni kuweka kwa dish washer na kusubiri later kuvitoa baasi..na mahoteli makubwa yana heavy duties dish washer sema kuna vyombo baadhi ndo itumike mikono but vingi ni mashine tu...
Mkuu hebu niambie umesomea wapi ambapo hawaoshi vyombo?
 
Ninaamini Diaspora tukihusishwa kikamilifu tunaipeleka Tanzania next level japo na sisi Diaspora tunaboa sometimes eti kaja Waziri mkuu UK badala ya kumuuliza maswali ya maana tunachekacheka tu. Tuwe serious vinginevyo wala vumbi watatudharau zaidi
 
Mkuu mie nimesoma huko, pale nipopanga tu sikuwahi hata siku moja kuosha vyombo.. Tulikua vyombo vichafu vyote ni kuweka kwa dish washer na kusubiri later kuvitoa baasi..na mahoteli makubwa yana heavy duties dish washer sema kuna vyombo baadhi ndo itumike mikono but vingi ni mashine tu...

Kaka hizo machine zipo lakini vumgahawa vingi vya turkey ujeruman hawana aise,so watu wanaosha kwa mkono kama kawaida,kwenye hotel kubwa unaweza ukawa sawa lakin vumgahawa vidogo vidogo hivi ambavyo wabongo wengi wanapiga kaz hamna hizo kitu
 
The regime needs to see this with a third eye. For instance whatsoever me am capable of investing millions of pounds in banking and real estates and vast industrial sector.

The obstacle is I can't risk Just dumping my bulk cash just like that for the sake of investing until this CCM regime convince me by putting favourable and conducive environment for me to invest.
Ushaanza leta Siasa, mazingira gani mingine mazuri unataka wakati Tanzania toka zama za Mkapa hatujawahi shuka zaidi ya top 6 kwenye kuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji.
Zimepita zama za shamba la Bibi unainvest bila kulipa kodi na unadhaminiwa na BOT kuchuku mkopo.
Duniani Kulikuwa na Taifa rafiki kuinvest Kama hilo?
Anyway its time sasa karibu ufanye investment Bongo wadogo zako tupate chochote
 
Walipo kuja na kilimo kwanza juu ya mapungufu yake kutokana na udhaifu wa mfumo wa usimamizi wa rasimali mbolea na dhana zingine; muhimu ya yote kwanza walikuwa na plan ambayo inalenga wapi waende, idadi ya mabwana shamba, researches za mbegu, wakaja na mashamba shule kusaidia wanakijiji namna sahihi ya kuangalia mashamba yao, follow up ya mavuno na kwa sehemu kubwa imezaa faida ya uzalishaji mkubwa wa volume kwa hekari zilezile kama sehemu ya malengo (the whole thing was thoroughly planned).

Leo hii waziri wa fedha 'Dr Phillip Mpango' akishirikiana na Marehemu 'Dr Abdallah Kigoda' pamoja na 'Dr. Kandeh K. Yumkella' ndio watunzi wa "TANZANIA INDUSTRIAL COMPETITIVENESS REPORT 2012". Humo ndani wamekuja na economic model yao on how best to foster competition.

Sasa leo tujieleze yeye akiwa waziri fedha ambapo viwanda na uchukuzi ni kama zipo chini yake moja kwa moja wana model gani ya miaka mitano maana sh80b iliyotengwa wanadai kwenye budget ya mwaka ufuatao ni nusu tu inaelekea kwenye viwanda sasa hapo sijui wanalenga viwanda gani wakati medium size industry kwa madai yao ni kama $50m kuanzia.

Wakati huo huo wanasiasa huku wakipita wakidai hoo wakulima na viwanda lazima kuwe na harmonization considering the limitations of the budget and without a figurative economic model as yet on how the industrial growth is being approached na idadi ya watu watakao guswa na viwanda ujue jamaa bado wanasikiliza IMF na WB wanawaambia nini lakini hakuna sera ya viwanda vya ndani zaidi ya porojo tu kilichobaki tusubiri PPP waliyoshauriwa waende kupeleka mabakuli ya kuomba wawekezaji lakini so far serikari aijaonyesha wako serious waziri mwenyewe mdogo ndio kwanza anatuambia riba azitaguswa I doubt she knows anything about macroeconomic growth factors.

Diaspora mwenye akili zake timamu awezi poteza muda wake tena kusikiliza porojo uchwara zinazoongelewa na wanasiasa wa Tanzania.
 
Lakini hizo Comments za watu wengi, zinaonyesha jinsi JF ilivyojaa majuha kipindi hiki, zimekaa kimsutano, zimetoka kwa watu waliojaa Wivu, na wengi wanaonyesha wamepigwa mbaya na maisha.
Wana point hapa, wanatakiwa wapate ushaur mzuri, Somo la UZALENDO, kutolewa HOFU ya kuwekeza kwenye Small scale, Kununua shares Bongo na kuaminishwa kwamba one day watatakiwa kurudi Bongo.
Wallah nakwambia kwa kidogo walichonacho, Amabacho ni kidogo kufanya investment hukoooo majuuu (but kiuhalisia ni kikubwa Bongo) waje wekeza huku kwa manufaa yao na WaTanzania wenzao.
 
Walipo kuja na kilimo kwanza juu ya mapungufu yake kutokana na udhaifu wa mfumo wa usimamizi wa rasimali mbolea na dhana zingine; muhimu ya yote kwanza walikuwa na plan ambayo inalenga wapi waende, idadi ya mabwana shamba, researches za mbegu, wakaja na mashamba shule kusaidia wanakijiji namna sahihi ya kuangalia mashamba yao, follow up ya mavuno na kwa sehemu kubwa imezaa faida ya uzalishaji mkubwa wa volume kwa hekari zilezile kama sehemu ya malengo (the whole thing was thoroughly planned).

Leo hii waziri wa fedha 'Dr Phillip Mpango' akishirikiana na Marehemu 'Dr Abdallah Kigoda' pamoja na 'Dr. Kandeh K. Yumkella' ndio watunzi wa "TANZANIA INDUSTRIAL COMPETITIVENESS REPORT 2012". Humo ndani wamekuja na economic model yao on how best to foster competition.

Sasa leo tujieleze yeye akiwa waziri fedha ambapo viwanda na uchukuzi ni kama zipo chini yake moja kwa moja wana model gani ya miaka mitano maana sh80b iliyotengwa wanadai kwenye budget ya mwaka ufuatao ni nusu tu inaelekea kwenye viwanda sasa hapo sijui wanalenga viwanda gani wakati medium size industry kwa madai yao ni kama $50m kuanzia.

Wkati huo huo huku wakipita wakidai hoo wakulima na viwanda lazima kuwe na harmonization considering the budget and without a figurative economic model as yet on industrial growth approach is aimed na idadi ya watu na viwanda ujue jamaa bado wanasikiliza IMF na WB wanawaambia nini lakini hakuna sera ya viwanda vya ndani zaidi ya porojo tu kilichobaki tusubiri PPP waliyoshauriwa waende kupeleka mabakuli ya kuomba wawekezaji lakini so far serikari aijaonyesha wako serious waziri mwenyewe mdogo ndio kwanza anatuambia riba azitaguswa I doubt he knows anything about macroeconomic growth factors.

Diaspora mwenye akili zake timamu awezi poteza muda kusikiliza porojo uchwara zinazoongelewa na wanasiasa wa Tanzania.
Well said Eric, lakini kwa ufinyu wetu mdogo wa Bajeti, huoni ni busara kutengeneza mazingira mazuri ya kuvutia awekezaji kwanza (nje ya wizara ya viwanda) kusudi tuwatamanishe hao wawekezaji (diaspora wakiwemo) wake kuinvest Tanzania.
Kipaombele mwaka huu imekuwa ni Nishati na miondombinu ambazo kiuchumi ni basic sectors za kuboost uchumi na kuvutia uwekezaji.
Serikali haifikilii Kuwekeza wenyewe kwenye Viwanda, ila through PPP or individuals investors. So kazi yao ni kutengeneza mazingira mazuri na kushawish wawekezaji.
To me wanafanya vizuri kwa mwaka 2016-17
 
Ushaanza leta Siasa, mazingira gani mingine mazuri unataka wakati Tanzania toka zama za Mkapa hatujawahi shuka zaidi ya top 6 kwenye kuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji.
Zimepita zama za shamba la Bibi unainvest bila kulipa kodi na unadhaminiwa na BOT kuchuku mkopo.
Duniani Kulikuwa na Taifa rafiki kuinvest Kama hilo?
Anyway its time sasa karibu ufanye investment Bongo wadogo zako tupate chochote
kwa mantik iyo bas nakuja
 
Lakini hizo Comments za watu wengi, zinaonyesha jinsi JF ilivyojaa majuha kipindi hiki, zimekaa kimsutano, zimetoka kwa watu waliojaa Wivu, na wengi wanaonyesha wamepigwa mbaya na maisha.
Wana point hapa, wanatakiwa wapate ushaur mzuri, Somo la UZALENDO, kutolewa HOFU ya kuwekeza kwenye Small scale, Kununua shares Bongo na kuaminishwa kwamba one day watatakiwa kurudi Bongo.
Wallah nakwambia kwa kidogo walichonacho, Amabacho ni kidogo kufanya investment hukoooo majuuu (but kiuhalisia ni kikubwa Bongo) waje wekeza huku kwa manufaa yao na WaTanzania wenzao.

Well those are the basic infrastructures to foster growth (electricity and transport network) na wala sipingi kwa sababu ni right steps serikari imeanza nazo.

Labda concerns ni kuwapa TANESCO over a trillion sh under the same weak monitoring systems of their expenditures in addition to bad organization investment behaviours.

Considering the only external watchdogs are seasonal scrutinizers CAG and the responsible parliamentary committees which is made up by large numbers of non qualified MPs on the matters which they are supposed to assess. that remains a concern if the money will be utilised efficiently this time round; wakati malalamiko ya matumizi mabaya ya pesa yameshakuwa mengi sana ndani ya shirika kutoka kila kona ya jamii.

Kuhusu mazingira as much as electricity and transport network are important so as the money policies, majuzi tu kuna mmbunge aliuliza swala la riba inakuwaje naibu waziri wa fedha akasema serikari aiwezi kuingilia sector binafsi. Lakini hapa kuna tatizo kubwa sana la gharama za mwisho za uzalishaji kubaki kuwa juu katika mazingira ya finacial lending za sasa,

Leo tunalalama viwanda vya ndani vinakufa wakati hoja ya msingi tunaikwepa gharama za kuzalisha Tanzania sasa kama serikari aiwezi kuwekeza directly; ina maana tunategemea watanzania wenyewe kwa mikopo ndiyo wafanyw hizo bidhaa zitakazo zalishwa zinaweza shindana na bei na dunia ya leo maana hilo ni crucial factor kabla ujaja na sera kali za ku deter importation which is long overdue.

Uwezo mkubwa wa Tanzania kuwekeza ni 'fast moving consumer goods' na ndio aina ya viwanda Tanzania inavyoweza mudu given other variable ie the human capital and the farming policies which are encouraged. Hata huko bila ya mipango thabiti kwanza ya kisera unaweza kujikuta unaleta shortage kubwa sana na prices hike kama sakata la sukari lilivyoonyesha isitoshe bado ata atujafikia levels za ushindani wa kutosha.

Kwa hivyo either ni viwanda vya serikari, local private or PPP; given the current economic policies and business environment factors the best way to assess the government mission is through an economic model on industrial growth whereby it parameters can be analysed. that is how the real world works.

Sio hizi habari za viwanda tutachukuwa or not, this is not the information any informed mind want to hear anaposikia Tanzania ya viwanda yaja wakati anaagalia uhalisia wenyewe.
 
Vyombo vinaoshwa lakini kuna madish washer mkuu, nguo ndo hakuna kufua kabisa kwa mkono kila nyumba ina washing machine !! Teeehteeh
Sijakataa kuwa hakuna madish washer, ila nakuuuliza ulisomea wapi ambapo hawaoshi vyombo kwa mkono?
 
Back
Top Bottom