Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
huu ndio ukweli babake, eti Wanajeshi walitaka kutesti mbavu za watu kama zinavunjika kweli au
 
tehtehtehtehtehtehtehteh
Tujadili, kweli wangelikuwa na dhana kuwe CDM ni waovu wanalotaka kulifanya wangelisema liwalo na liwe. mimi naona hivyo! Huwezi kusuluhishwa na Jambazi linalotumia silaha! Ni kukabiliana nalo!
 
Tehtehtehteh..uzi huu sichangii chochote nitakuwa nacheka tu kwani namheshimu mno mshana jr. ambaye ameanzisha uzi huu...tehtehtehteh
 
Baadhi ya diaspora wanajiona wana akili kuliko sisi.Wewe ni raia wamarekan mpinge Trump.Tuachieni nchi yetu hamuwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.Jenga nchi uliyohamia tuachieni nchi yetu yenye amani.
Big up CHADEMA kwa kucheza karata vyema kwenye siasa.Msiwakilize hao wanaodhani siasa za vurugu ndio nzuri kwa karne hii.
Godbless Tanzania.
 
usiwe na akili ndogo kiasi hicho.huwezi mhonga mtu akaandamane hata siku moja. utakuwa nawe huna akili. ni ngumu na haijawah tokea hata siku moja. ninyi kwa nini mlitaka sana maandamano na baada ya maandamano kuahirishwa roho imekuuma sana ?hapo ndo panaleta maswali.ulitegemea upate nafai ya kupora simu za watu nini? najua wewe utakuwa kama mumeo si polisi basi wewe ni polisi ulitegemea kuwa angeweza kukuletea simu au vitu mbalmbali vya kupora kwa kisingizio cha maandamano. waliopoteza hela wanaonekana wame relax wewe ambaye hujatoa hela ndo unaonekana kuumia. why?
Jibu zuri sana hili...kudinywa adinywe mke wa jirani, mauno akate yeye...kama sio ukauzu ni nini?
 
Sawa mwerevu ila hebu tulia uandike vizuri post yako ina typing errors nyingi sana
Kuwa na typing errors nyingi kiasi hicho ni dalili za kuwa hata huko kichwani hakuko vizuri
Hapa sio whatsapp kwamba uwahi kujibu kabla ya mwingine jibu lako litakuwepo tu kwa mlengwa
Ujumbe umekufika kijana. Najuwa ushaelewa na habari ndio hiyo watu washachoshwa na nyie mdio maana sapport haikuwapo juu ya huu ukuta wenu wa biscuit....
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Mwamba ngoma huvutia kwake.

Pia umeingia miongoni mwa wasema "lake"
 
Ukweli mtupu
 
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.
Labda umesahau, watu ngangari kwenye maandamano ni CUF, CDM ni vinara wa matamko na mikutano.
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako

!
!
pia mtukufu mtakatifu baba je.si.ka. kapumzika kamwachia makondakta aharare tu.
 
barafuyamoto unataka tuishi kila kitu kwa nyakati zile zile? Kila kitu kina wakati wake mahitaji ya nyakati ni kitu cha kawaida
Nini maana ya maendeleo? Hatuwezi kuishi nyakati zile zile kufanya mambo yale yale na kutegemea kupata matokeo tofauti
Mbona huko kwingine hambaki nyakati za A B wala C ? Kila jambo lina wakati wake na matokeo kamwe hayawezi kuwa sawa
Ila kuna jambo ama suala linaitwa historia....ambapo rejea hufanywa ili kutenda mambo ya mbeleni kwa usahihi.

It seems that u completely underestimate it
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Siasa za Chadema zimebadilika sana, Enzi za Dr. Slaa hatukuzoea kusikia hadithi kama hizi. Wakiamua kuandamana hakuna wa kuwazuia walihakikisha wanaandamana. Polisi wakiua kama ilivyotokea Morogoro na Iringa Chama kiliona fahari kupata picha za matukio, zinachukuliwa zinaenda kuanikwa kwenye mitaa ya London kuonyesha Demokrasia inavyominywa Tanzania.
 
Duh...tehtehtehtehtehteh....mshana jr nakuheshimu mno....siwezi ku-comment chochote kwenye post hii....siku njema mshana jr....
Hapana comment tu lakini kwa staha! Tofauti za kimtazamo zipo tu siku zote kibaya ni matusi kejeli na lugha za kukera
 
Kinachonishangaza mm ni hiyo Damu wanayosema ingemwagika ingemwagwa na nani, mpaka hapo tumejua mwenye mapungufu na mkorofi kati ya CDM na Serikali. Saddly watu wng wanachekelea kiki za Serikali wakati life kitaani linazd kubana. Na tutanyooka tu mpk vibaki vichwa
 
Back
Top Bottom