Kumbuka mahitaji ya nyakati hata ccm ya 2010 sio ya sasa! Hebu tuwe wakweli ukiacha mkutano wa bob kukabidhiwa chama na copy n paste ya uvccm kuhusiana na maandamano ccm inasikika wapi pengine?Siasa za Chadema zimebadilika sana, Enzi za Dr. Slaa hatukuzoea kusikia hadithi kama hizi. Wakiamua kuandamana hakuna wa kuwazuia walihakikisha wanaandamana. Polisi wakiua kama ilivyotokea Morogoro na Iringa Chama kiliona fahari kupata picha za matukio, zinachukuliwa zinaenda kuanikwa kwenye mitaa ya London kuonyesha Demokrasia inavyominywa Tanzania.
Kumbuka CCM ndiyo imepewa ridhaa na wananchi kuunda serikali, Rais akiongea ni CCM imeongea kadharika wakuu wa wilaya, mkoa achilia mbali wakurugenzi. ukiuliza CCM inasikika wapi nakushangaaKumbuka mahitaji ya nyakati hata ccm ya 2010 sio ya sasa! Hebu tuwe wakweli ukiacha mkutano wa bob kukabidhiwa chama na copy n paste ya uvccm kuhusiana na maandamano ccm inasikika wapi pengine?
Hapana comment tu lakini kwa staha! Tofauti za kimtazamo zipo tu siku zote kibaya ni matusi kejeli na lugha za kukera
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Hahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
Ukuta haujafeli angali mapambano ya gov ilivo jpanga kunyongaa RAIA kwa vifaru na bunduki.so hata wananchi wanajua na dunia inajuaaa hatupo sawa mana aman hailindwi kwa bunduk
Nimecheka sana.Unaandika tu bila kufikiri utadhani kichwa chako kimechomolewa na kutengwa na kiwiliwili!!
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hapana mshana jr...wakati mwingine ni vizuri kunyamaza kwa mtu unayemheshimu...usiku mwema...
Ndio hawa wasomi wa chadema au mna mwenyekiti mwingine ambaye ni msomi au definition ya Msomi kwako ni ipi?Makamanda cdm ni chama cha wasomi kiukweli wanajua kuchanganya karata maana serikali wameteseka sana ukuta kila kukicha ni matako nchi ya kuongozwa na matamko mpaka sasa chadema wamefanikiwa kwa % 100 mkuu mawazo ya viongozi wote ni ukuta walishindwa kuhudumia wananchi kisa ukuta bana nawatakia ucku mwema makamanda woteee.