Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
Kwenye mjadala kama huu lazima kuwe na mawazo tofauti kama haya..na mtu akikwazika kwa mitazamo kama hii atakuwa mpuuzi kiwango cha lami
niliishakusifia
Kwenye mjadala kama huu lazima kuwe na mawazo tofauti kama haya..na mtu akikwazika kwa mitazamo kama hii atakuwa mpuuzi kiwango cha lami
ndo tatizo lenu CHADEMA hamtaki kukosolewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwamba hujaelewa kilichoandikwa!? Mama ndalichako kaza uzi mama huku mataani vihiyo wapo wa kutosha,okoa vizazi vijavyo, kwa watu kama huyu ilishapita tayari sio riziki tena...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama wewe utapona basi ndalichako nae atakuwa kihiyo .....
MATAANI NDIO NINI?
Crimea Sidhani kama akili yako inajaa kijiko cha chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chadema ni chama cha kufeli!
Eti sasa hivi wanapambana na diamond