Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Izo propaganda zakitoto sana mwenye akili haambiwiona pia izi zama sio zile sasaivi watu wanaelimu zao kichwani tunajua mbivu na mbichi mtu yoyote aliye upande wenu hayupo bure lazma atakuwa na maslai flani aitha cheo, kujipendekeza ili kupata cheo hakuna asiye jua jitaidi utapata cheo jitaidi
Mlihonga watu ndiyo, sisi ni wasafi, watakatifu
 
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.
Kwahiyo inamaana ninyi mlitaka yafanyike maandamano? Turejee kwenye kiini cha madai yao kwanza ndipo tuone umhimu wa kufanya maandamano.Kama nia ya maandamano ilikuwa ni kudai demokrasia ya kweli katika mfumo wa vyama vingi na wamejitokeza watu wa kusuluhisha baina ya sehemu mbili zinazokinzana nini tatizo hapo?

Watanzania tusipende vurugu,tuelewe kila damu itakayomwagika katika aridhi yetu itatuletea laana.
 
Mshana Jr umesomeka

Ila nawasikitikia sana waliyokuwa wanaomba dua maandamano yawepo wakati nchi ikichafuka hakuna ccm wala wapinzani wote tunahaha bora ya hayo mana kama sivyo tungepoteza ndugu jamaa na marafiki mana jamaa walijiandaa kwa kuua nasi vinginevyo.
 
Mshana Jr umesomeka

Ila nawasikitikia sana waliyokuwa wanaomba dua maandamano yawepo wakati nchi ikichafuka hakuna ccm wala wapinzani wote tunahaha bora ya hayo mana kama sivyo tungepoteza ndugu jamaa na marafiki mana jamaa walijiandaa kwa kuua nasi vinginevyo.
Tulitaka mpate kichapo cha maana ili liwe fundisho
 
Wanaosema watahama hata kadi za uanachama hawana na kama wanazo hawakumbuki walizilipia lini.

Mfalme wa taarabu mzee yusuph kaacha kuimba xo acha wamrithi
 
Mshana Jr umesomeka

Ila nawasikitikia sana waliyokuwa wanaomba dua maandamano yawepo wakati nchi ikichafuka hakuna ccm wala wapinzani wote tunahaha bora ya hayo mana kama sivyo tungepoteza ndugu jamaa na marafiki mana jamaa walijiandaa kwa kuua nasi vinginevyo.

Kwani ni akina nani waliokuwa wameyapanga na kuyang'ang'ania na kuyatangaza hayo maandamano?
 
Cha kushangaza hata waliotangaza kuwa leo watafanya usafi na wale wapiga kwata mitaani wote hawaonekani kwa sasa. Magari na ndege za kivita nazo zimepaki; hakika watawala wamepigwa bao la kisigino
Mi natamani kujua kama na yule jamaa aliyegeuza uniform ya Polisi kuwa night dress, kama bado amezivaa mpaka leo??
UKUTA UMEVUMBUA MENGI KWA WATANZANIA.
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Kwa sasa mmepoteza vitu vifuatavyo;
1,integrity
2,ownership
3,credibility
4, Honesty

Integrity( Uadilifu)
Sasa chadema hakuna uadilifu tena , mmebaki kupuyanga tu na kukosa jambo la kuwafanya muwe waadilifu machoni pa watanzania na wanachama wenu , na hii ndio imewagawa mpaka sasa kubalini mkatae kuna kundi la waadilifu bado ni watiifu kwa Dr slaa aliyeweka misingi mizuri ya uadilifu na kuisimamia ndani ya chadema , e.g humu jukwaani wamo kina IDAWA, MTAZAMO n.k ambao hawaipendi ccm lakini wako chadema ila si wanachama hai wana subiri kuhuishwa upya kwa chadema sijui itakuwa lini? Badilikeni

2, Ownership ( umilikaji)
Kwa sasa wapenzi na wanachama wa chadema hawana umiliki wa chadema tena , kimebaki chama cha wachache wenye pesa , ndio maana hata Leo ukianzisha harambee hawachangii maana umilikaji sio wa wanachama tena Bali kundi dogo, hawa wamebaki yatima , mmekopi ya ccm mmepeleka chadema , hvyo lazima mbinu za kiccm zitumike ambazo wao wanaanza kuachana nazo

3, Credibility
Chadema kwa sasa ile credibility na upokelewaji wake umepungua ndani ya jamii na hii heshima inapungua siku baada ya siku msipikuwa makini mtakuwa kama nccr , kinachowabeba ni kutaka kushindana tu ccm ili mtajwe tajwe lakini kiuhalsia mmepoteza sana heshima nzuri mliyokuwa mmejijengea toka 2007, situkeni

4, Honesty ( Uongofu/ uaminifu)
Kwa hili ndilo limezidi kuwapotezea sifa kwa wanachama wenu , moja suala la UKUTA mlilipigia debe japo halikuwa na maana yoyote yaani kama ni silaa ni risasi 1 iliyobaki kwenu either ujiue au umuue adui , mwisho wa siku imewaua ninyi , maana kauli za viongozi, wenu kama msigwa , nanukuu " anayeogopa polisi hafai , lazima totafautishe Men na Boys" hii kauli sijui ataificha wapi ?

Maana ni kauli tata tata tu mfano ile ya kipindi kile nanukuu " atakayemuunga mkono lowasa akapimwe akili"
Kauli tata kabla ya kuhairishwa ukuta za mnyika, mbowe ,tundu lisu n.k zimewaondolea uaminifu kwa wanachama wenu

Pia imewaondolea uaminifu kwa vyama vingine vya upinzani , maana kuanzisha UKUTA ilikuwa ni kuua UKAWA bila makubaliano , hvyo ukawa imekufa kibudu , UKUTA imekufa kibudu sasa ni mmeanzisha internal strife katika vyama vya upunzani maana hakuna wa kuwaamini tena

Ushauri , mkubali mmekosea sana na kosa lenu ni Kumkaribisha Lowasa na kingine zaidi hamuaminiki katika kile mnachosimamia
" Kiongozi Mzuri ni yule anayelinda kauli zake na kuzisimamia hata kama kawekewa mtutu wa bunduki like kina Che Guevara na the like ". Sio nyie wajasiliamali wa siasa

Nimeshauri
 
Back
Top Bottom