Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,701
The one you name him as dj is better a thousand times than you
Aah wapi! Na leo kapatikana. Hicho kipeperushi chake kumbe kodi ya pango halipi😀😀😀😀
The one you name him as dj is better a thousand times than you
Hasira?
Bado hutaweza kuwa kama yeye kumbuka hilo
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Jiulize kwanini kulikuwa na blood donation toka jeshini, ukitafakari kwa makini ilikuwa wananchi waso hatia waumizwe sanaKulikuwa na uwezekano pia watu wakaandamana wakapigwa na damu kumwagika,kuokoa hili pekee nawapongeza sana.
Nakubaliana na weweKwa TUNAOIPENDA TANZANIA, andiko lako limejaa HEKMA.
Nimekuelewa wanapenda machafuko alafu wageuke na kuanza kulaumu chama kwa kutosikiliza watu wengineKwa TUNAOIPENDA TANZANIA, andiko lako limejaa HEKMA.
barafuyamoto unataka tuishi kila kitu kwa nyakati zile zile? Kila kitu kina wakati wake mahitaji ya nyakati ni kitu cha kawaida
Nini maana ya maendeleo? Hatuwezi kuishi nyakati zile zile kufanya mambo yale yale na kutegemea kupata matokeo tofauti
Mbona huko kwingine hambaki nyakati za A B wala C ? Kila jambo lina wakati wake na matokeo kamwe hayawezi kuwa sawa
Asante mkuu. Wanaotishia kuhama ni hao hao ccm, lengo lao ni kupotosha watu tuBaada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Hivi nyie watu mnawafikiliaje watu wenzenu. Mnawafikiria kuwa ni mambumbu kiasi cha kuwaongopea namna hiyo?
Kwani ni nani alisema atafanya maandamano na mikutano tena isiyo na kikomo kuanzia tarehe mosi september?
Kama ilijuwa kuwa maandamano si kitu kizuri kitamwaga damu kwanini hawKughairisha tangia zamamni au kwanini waliamua kutumia njia hoyo wakati njia za amani zipo kutatua mogogoro?
Makamanda wenu wangapi wako Rumande hadi sasa?
Utawala upi wa sheria ulioanza kutumika ambao zamani haukutumia?
Chedema gani imeanza kusikilizwa, tena imeanza kusikilizwa na nani? Wakati mtaalamu wako wa kubadili gia angani jana kasema kanpbisaaa wazi kuwa Raisi alishakataaga kuongea na chadema...
We unayemuona kuwa ni mbumbu kama wewe ni nani hasa?
Acha kupenda sana kijana. Usipokubali kumshauri kiongozi wako na ukawa ni mjumbe ndiyooooo hautakuwa na tofautii sana na ccm.
Mlishasema tatzo la wanzania ni kusherehekea kila kitu kinachosemwa na kufanywa na Magufuri, na ndio maana anafanya mambo pasipo kushauriwa...
Sasa na wewe na wenzio msipomshauri kiongozi wenu ( mataalamu wa gia) naye ataendelea kufanya mambo ya kijinga na kukurupuka kama mkuu wa kaya na hatimaye chama kitakosa watu na wafiasi kila uchwao...
Amka wewe...
Nawashauri wapinzani wetu waachane na negative approach na waanze kutumia positive approach itawasaidia,kwamfano huwa mimi nikiingia kwenye kale kaboksi kakupiga tiki siku ya uchaguzi huaga gafla nakumbuka nimesoma vidudu CCM Mwinjuma yaani hata kama nilikua nataka kupigia kura upinzani kwakuwaonea huruma basi ghafla nabadilisha uamuzi na kupiga tiki kwenye rangi ya kijani kwani ndio rangi ambayo nimeizoea kuiangali tangu nikiwa mtoto.
Ni bora tu waanzishe shule zao za vidudu na watoto wasome bure lakini madarasa wayapake rangi ya chadema na kuchora nembo yao madarasani.Kwakufanya hivi itawasaidia sana mwaka 2800
Hata Yale mazoezi ya JW siyaoni tena mtaani Leo,ilikua plan B ya magamba baada ya kuona police wangechemshaBaada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Kisheria zaidi asante kwa ufafanuzi mzuriUhuru wa mtu kwenda atakako Sheria ya 1984 Na.15 ib.6
17.-(1) Kila raia wa Jamhuri ya Muungano anayo haki ya kwenda kokote katika Jamhuri ya Muungano na kuishi katika sehemu yoyote, kutoka nje ya nchi na kuingia, na pia haki ya kutoshurutishwa kuhama au kufukuzwa kutoka katika Jamhuri ya Muungano.
(2) Kitendochochote cha halali au sheria yoyote yenye madhumuni ya -
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania _________________________________________________________________
19
(a) kupunguza uhuru wa mtu kwenda atakako na kumweka chini ya ulinzi au kifungoni; au (b) kuweka mipaka kwa matumizi ya uhuru wa mtu kwenda anakotaka ili- (i) kutekeleza hukumu au amri ya mahakama; au (ii) kumlazimisha mtu kutimiza kwanza wajibu wowote anaotakiwa na sheria nyingine kuutimiza; au (iii) kulinda manufaa ya umma kwa jumla au kuhifadhi maslahi fulani mahususi au maslahi ya sehemu fulani ya umma, kitendo hicho hakitahesabiwa au sheria hiyo haitahesabiwa kuwa ni haramu au ni kinyume cha ibara hii.