Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,421
Naona mnaendeleza ngonjera zenu kila viongozi wenu wanapo end kombo.. Mnasifia tu (Wafia Mbowe)... Huu ushauri ungewapa Chadema wakati wanasema wataandamana tu Kwa lazima.. Ila kusubiri waghairishe, alafu uje kukosoa wanachadema waliopanga kuandamana sio haki yako...
Ningekuona wa maana na unatumia bando lako vizuri kama kule katika mada za magari, kama ungetoa ushauri kwa Chadema kama alivyotoa ushauri Pasco kua kama yatafuata sheria na yeye ataingia barabarani, ila kama sio, hatoandamna.. Sasa Leo unaonekana mganga njaa tu