Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

usiwe na akili ndogo kiasi hicho.huwezi mhonga mtu akaandamane hata siku moja. utakuwa nawe huna akili. ni ngumu na haijawah tokea hata siku moja. ninyi kwa nini mlitaka sana maandamano na baada ya maandamano kuahirishwa roho imekuuma sana ?hapo ndo panaleta maswali.ulitegemea upate nafai ya kupora simu za watu nini? najua wewe utakuwa kama mumeo si polisi basi wewe ni polisi ulitegemea kuwa angeweza kukuletea simu au vitu mbalmbali vya kupora kwa kisingizio cha maandamano. waliopoteza hela wanaonekana wame relax wewe ambaye hujatoa hela ndo unaonekana kuumia. why?

Hahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
 
usiwe na akili ndogo kiasi hicho.huwezi mhonga mtu akaandamane hata siku moja. utakuwa nawe huna akili. ni ngumu na haijawah tokea hata siku moja. ninyi kwa nini mlitaka sana maandamano na baada ya maandamano kuahirishwa roho imekuuma sana ?hapo ndo panaleta maswali.ulitegemea upate nafai ya kupora simu za watu nini? najua wewe utakuwa kama mumeo si polisi basi wewe ni polisi ulitegemea kuwa angeweza kukuletea simu au vitu mbalmbali vya kupora kwa kisingizio cha maandamano. waliopoteza hela wanaonekana wame relax wewe ambaye hujatoa hela ndo unaonekana kuumia. why?
Nawewe umeongezea pumba kabisa tena. Wenzako walitembeza mshiko!
 
Hapana hawa ndio wameombwa na mamlaka za juu wafanye hivyo katu CHADEMA haikuwaomba mazungumzo
Taarifa iliyopo ni lowassa kamwomba Dr Shoo na askofu Shoo mkuu wa kkkt ndiyo amewasilisha wazo cct sasa hao mamlaka za juu ni akina nani? Na kwanini watumie viongozi wa dini
 
Hao mamlaka za juu ni hakina nani? Uongo ni dhambi
Ukweli ni upi sasa! Hivi hii inaingia akilini kweli kwamba chadema ndio wametafuta viongozi wa kidini? Tusiwe wachovu wa fikra kiasi hiki
 
Taarifa iliyopo ni lowassa kamwomba Dr Shoo na askofu Shoo mkuu wa kkkt ndiyo amewasilisha wazo cct sasa hao mamlaka za juu ni akina nani? Na kwanini watumie viongozi wa dini
Taarifa kutoka chanzo gani? Tusiishi kwa kusikia
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya siasa na politics na democracy na demokrasia nashangaa watanzania wenzangu wengi bado hawajaelewa yaani mpaka wale wanaojiita maprofesa ni chenga tu hamna kitu.Wenzentu uchaguzi ukiisha kinachofata ni kupongezana tu kwa aliyeshindwa na aliyeshinda na huwezi kusikia kauli kama tumeibiwa kura,wamechakachua wala kupinga uchaguzi mahakamani.Tena kampeni zinakua zimefika mwisho lakini huku kwetu ni shida siku zote wapinzani wao wanasema wameonewa,wameibiwa kura na kampeni zao huendelea hata baada ya uchaguzi
 
You nailed it, CCM kamwe hawataki amani, CCM ni wachonganishi, hapa CCM wamepigwa mbele wakageuzwa nyuma piga kabisa wakagalagazwa. Kumbuka maneno ya Lissu kuwa kuna aina nyingi za Vita kwenye siasa....
Hapa magamba wamepigwa butwaa wasijue la kufanya. Hujuma zote walizokuwa wamepanga kufanya wakati wa maandamano zimeyeyuka. Ndio maana roho zinawauma sana baada ya maandamano kuahirishwa.
 
Hapa magamba wamepigwa butwaa wasijue la kufanya. Hujuma zote walizokuwa wamepanga kufanya wakati wa maandamano zimeyeyuka. Ndio maana roho zinawauma sana baada ya maandamano kuahirishwa.
Walikua wameandaa watu wa kupiga risasi hahaha wachochezi namba moja, VIVA Chadema
 
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.
hivi wewe, unadhani maandamano ni mazuri! Hivi unajua ni watu wangapi waliumizwa na kupoteza maisha yao kwa hicho unacho msifia dr slaa?

Kuwa kiongozi wakati mwingine inahitaji kutumia Busara katika kutafakari na kufanya maamuzi na siyo kukurupuka.

Wewe ungefurai kuona watanzania wenzako leo wakichezea kichapo na taifa kugeuka uwanja damu?

Hakuna mwenye Akili timamu Atakaye wadhiaki viongozi wa chadema kwa uamuzi wa busara waliouchukua wa kusitisha zoezi lao.

Pia nichukue fursa hii kumpongeza sana Ndugu Saimon Siro, kamanda wa kanda maalum, kwa kuwapongeza viongozi wa chadema kwa kuonyesha uzalendo wa kusitisha Maandamano yao.

Niukweli usiopingika kwamba hata polisi hawapendi kupiga raia wao maana wao wamewekwa kuwalinda raia na siyo kuwaumiza.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Eti maCCM wanadhani UKUTA ni maandamano!!! hahaaa mbona babaJ siku hizi katulia? wamewasumbua maaskarii weeee eti wanajiandaa kuwaua watanzania wenzao
 
Kuna wafia chama wanasema UKUTA umefanikuwa maana yake udikteta umeondolewa na mikutano na maandamano yameruhusiwa kama ni hivyo hongereni Chadema
 
Back
Top Bottom