Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Kuna majini humu yanayoishi kwa kunywa damu za watu ndio yamechukizwa kwa Chadema kuisitisha tafrija yao.

Kumbuka kuna watu hata Lucifer mwenyewe akiwaona anawaogopa.
 
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.

Stories za "Chadema inakufa zilianza tangu 2010"...

Loading....... 2016.

Hii intelejensia kiboko! Kama iliweza kujua nani walilipwa kwenye maandamano lakini ikashindwa kukamata wauaji wa askari wetu hii intelejensia kiboko
Na Niya Ajabu Kweli!Inashindwa Kumzuia Twiga Wetu Asikwee Pipa Lakini Ina Uwezo wa Kuzingira Nyumba za Wana CHADEMA!
 
Mkuu kichapo usiwe na mawazo kama wangepata chadema tu hata wewe zipo athari ambazo ungezipata.
Wapi mi nisingepata maana nilijiapiza kutokutoka ndani kabisa, maana najua polisi walivyokuwa na hamu ya kuonesha umahili wao. Bahati yao wameyafuta. Na hivi dj na mamvi walikuwa wamehonga watu na imekula kwao
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako

chief, kinachoshangaza ni kuwa wengi wanaojifanya kuchukizwa na maamuzi ya Chadema jana hata hawako hapa nchini.

sasa sijui wangeandamana kidijitali!
 
Kuna watu wanataka eti mkipanga kitu basi kiwe hivyo bila ya kujali madhara take na hata iweje kwa ushawishi wowote ule hakuna wa kukibadirisha.
Watu wa aina hii hawafai kwenye agenda za makundi au vyama makini. Watu hawa wanafaa zaidi kusimama nyuma ya Mkulu Wa Kaya, maana ndiyo Mwenye mihemuko na Tabia hizo. Hivyo maadam wamegundua wasifu wao, basi waondoke tu huko walipo
Kama unalijua hilo basi inabidi utafakari kwanza kabla ya kutoa matamko.
 
Kwa sasa mmepoteza vitu vifuatavyo;

1,integrity
2,ownership
3,credibility
4, Honesty

Integrity( Uadilifu)

Sasa chadema hakuna uadilifu tena , mmebaki kupuyanga tu na kukosa jambo la kuwafanya muwe waadilifu machoni pa watanzania na wanachama wenu , na hii ndio imewagawa mpaka sasa kubalini mkatae kuna kundi la waadilifu bado ni watiifu kwa Dr slaa aliyeweka misingi mizuri ya uadilifu na kuisimamia ndani ya chadema , e.g humu jukwaani wamo kina IDAWA, MTAZAMO n.k ambao hawaipendi ccm lakini wako chadema ila si wanachama hai wana subiri kuhuishwa upya kwa chadema sijui itakuwa lini? Badilikeni

2, Ownership ( umilikaji)
Kwa sasa wapenzi na wanachama wa chadema hawana umiliki wa chadema tena , kimebaki chama cha wachache wenye pesa , ndio maana hata Leo ukianzisha harambee hawachangii maana umilikaji sio wa wanachama tena Bali kundi dogo, hawa wamebaki yatima , mmekopi ya ccm mmepeleka chadema , hvyo lazima mbinu za kiccm zitumike ambazo wao wanaanza kuachana nazo

3, Credibility
Chadema kwa sasa ile credibility na upokelewaji wake umepungua ndani ya jamii na hii heshima inapungua siku baada ya siku msipikuwa makini mtakuwa kama nccr , kinachowabeba ni kutaka kushindana tu ccm ili mtajwe tajwe lakini kiuhalsia mmepoteza sana heshima nzuri mliyokuwa mmejijengea toka 2007, situkeni

4, Honesty ( Uongofu/ uaminifu)

Kwa hili ndilo limezidi kuwapotezea sifa kwa wanachama wenu , moja suala la UKUTA mlilipigia debe japo halikuwa na maana yoyote yaani kama ni silaa ni risasi 1 iliyobaki kwenu either ujiue au umuue adui , mwisho wa siku imewaua ninyi , maana kauli za viongozi, wenu kama msigwa , nanukuu " anayeogopa polisi hafai , lazima totafautishe Men na Boys" hii kauli sijui ataificha wapi ?

Maana ni kauli tata tata tu mfano ile ya kipindi kile nanukuu " atakayemuunga mkono lowasa akapimwe akili"

Kauli tata kabla ya kuhairishwa ukuta za mnyika, mbowe ,tundu lisu n.k zimewaondolea uaminifu kwa wanachama wenu

Pia imewaondolea uaminifu kwa vyama vingine vya upinzani , maana kuanzisha UKUTA ilikuwa ni kuua UKAWA bila makubaliano , hvyo ukawa imekufa kibudu , UKUTA imekufa kibudu sasa ni mmeanzisha internal strife katika vyama vya upunzani maana hakuna wa kuwaamini tena

Ushauri , mkubali mmekosea sana na kosa lenu ni Kumkaribisha Lowasa na kingine zaidi hamuaminiki katika kile mnachosimamia

" Kiongozi Mzuri ni yule anayelinda kauli zake na kuzisimamia hata kama kawekewa mtutu wa bunduki like kina Che Guevara na the like ". Sio nyie wajasiliamali wa siasa

Nimeshauri nasubiri Matusi

Usijahami mkuu huyu anasimamia misimamo yake vizur sana msiwe wasahalifu basi

Before : Serikali yangu itakuwa ya Viwanda
After: Wapinzani ndio wanakwamisha Viwanda
Before : Nitakuwa Rais wa wote
After : Watakao leta fyokofyoko nitawashugulikia
Before: Mimi nimechaguliwa na masikini
After : Serikali yangu haitatoa chakula cha mswada
Before : Walifikiri nitakuwa upande wao
After: Wazee wangu nitawalinda
Before: Mafisadi wamenikimbia
After : Ni maajabu kukutana na Lowassa
Before : Mimi sibagui vyama nataka vifanye siasa walikochaguliwa
After : Hakuna siasa mpaka 2020
 
Wapi mi nisingepata maana nilijiapiza kutokutoka ndani kabisa, maana najua polisi walivyokuwa na hamu ya kuonesha umahili wao. Bahati yao wameyafuta. Na hivi dj na mamvi walikuwa wamehonga watu na imekula kwao
Hahahahaha ungejifungia ndani kwa nini??

Naona umekubali kama matatizo tungepata wote sababu kitendo cha kujifungia ndani ni ishara tosha ya uwoga wa ambayo yangeweza tokea.
 
Usijahami mkuu huyu anasimamia misimamo yake vizur sana msiwe wasahalifu basi

Before : Serikali yangu itakuwa ya Viwanda
After: Wapinzani ndio wanakwamisha Viwanda
Before : Nitakuwa Rais wa wote
After : Watakao leta fyokofyoko nitawashugulikia
Before: Mimi nimechaguliwa na masikini
After : Serikali yangu haitatoa chakula cha mswada
Before : Walifikiri nitakuwa upande wao
After: Wazee wangu nitawalinda
Before: Mafisadi wamenikimbia
After : Ni maajabu kukutana na Lowassa
Before : Mimi sibagui vyama nataka vifanye siasa walikochaguliwa
After : Hakuna siasa mpaka 2020
 
Kwa sasa mmepoteza vitu vifuatavyo;

1,integrity
2,ownership
3,credibility
4, Honesty

Integrity( Uadilifu)

Sasa chadema hakuna uadilifu tena , mmebaki kupuyanga tu na kukosa jambo la kuwafanya muwe waadilifu machoni pa watanzania na wanachama wenu , na hii ndio imewagawa mpaka sasa kubalini mkatae kuna kundi la waadilifu bado ni watiifu kwa Dr slaa aliyeweka misingi mizuri ya uadilifu na kuisimamia ndani ya chadema , e.g humu jukwaani wamo kina IDAWA, MTAZAMO n.k ambao hawaipendi ccm lakini wako chadema ila si wanachama hai wana subiri kuhuishwa upya kwa chadema sijui itakuwa lini? Badilikeni

2, Ownership ( umilikaji)
Kwa sasa wapenzi na wanachama wa chadema hawana umiliki wa chadema tena , kimebaki chama cha wachache wenye pesa , ndio maana hata Leo ukianzisha harambee hawachangii maana umilikaji sio wa wanachama tena Bali kundi dogo, hawa wamebaki yatima , mmekopi ya ccm mmepeleka chadema , hvyo lazima mbinu za kiccm zitumike ambazo wao wanaanza kuachana nazo

3, Credibility
Chadema kwa sasa ile credibility na upokelewaji wake umepungua ndani ya jamii na hii heshima inapungua siku baada ya siku msipikuwa makini mtakuwa kama nccr , kinachowabeba ni kutaka kushindana tu ccm ili mtajwe tajwe lakini kiuhalsia mmepoteza sana heshima nzuri mliyokuwa mmejijengea toka 2007, situkeni

4, Honesty ( Uongofu/ uaminifu)

Kwa hili ndilo limezidi kuwapotezea sifa kwa wanachama wenu , moja suala la UKUTA mlilipigia debe japo halikuwa na maana yoyote yaani kama ni silaa ni risasi 1 iliyobaki kwenu either ujiue au umuue adui , mwisho wa siku imewaua ninyi , maana kauli za viongozi, wenu kama msigwa , nanukuu " anayeogopa polisi hafai , lazima totafautishe Men na Boys" hii kauli sijui ataificha wapi ?

Maana ni kauli tata tata tu mfano ile ya kipindi kile nanukuu " atakayemuunga mkono lowasa akapimwe akili"

Kauli tata kabla ya kuhairishwa ukuta za mnyika, mbowe ,tundu lisu n.k zimewaondolea uaminifu kwa wanachama wenu

Pia imewaondolea uaminifu kwa vyama vingine vya upinzani , maana kuanzisha UKUTA ilikuwa ni kuua UKAWA bila makubaliano , hvyo ukawa imekufa kibudu , UKUTA imekufa kibudu sasa ni mmeanzisha internal strife katika vyama vya upunzani maana hakuna wa kuwaamini tena

Ushauri , mkubali mmekosea sana na kosa lenu ni Kumkaribisha Lowasa na kingine zaidi hamuaminiki katika kile mnachosimamia

" Kiongozi Mzuri ni yule anayelinda kauli zake na kuzisimamia hata kama kawekewa mtutu wa bunduki like kina Che Guevara na the like ". Sio nyie wajasiliamali wa siasa

Nimeshauri nasubiri Matusi
100 %ur correct
 
Usijahami mkuu huyu anasimamia misimamo yake vizur sana msiwe wasahalifu basi

Before : Serikali yangu itakuwa ya Viwanda
After: Wapinzani ndio wanakwamisha Viwanda
Before : Nitakuwa Rais wa wote
After : Watakao leta fyokofyoko nitawashugulikia
Before: Mimi nimechaguliwa na masikini
After : Serikali yangu haitatoa chakula cha mswada
Before : Walifikiri nitakuwa upande wao
After: Wazee wangu nitawalinda
Before: Mafisadi wamenikimbia
After : Ni maajabu kukutana na Lowassa
Before : Mimi sibagui vyama nataka vifanye siasa walikochaguliwa
After : Hakuna siasa mpaka 2020
Siku mkiamua kufanya mambo tofauti na chama tawala kwa kufikiri mile 1000 zaidi yao , mtachukua nchi hii lakini kwa Ku copy na kupaste
Sahauni
 
Hahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba

Kama umeona mleta mada kaleta pumba basi ujijue wewe Ni kuku, maana binadamu tumeona maneno yenye hekima
 
Back
Top Bottom