CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM
tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.
mkuu hata mimi huwa inaniuzi sana hali hii tunapeleka nchi kubaya ingawa naona ya udini unachuja sasa ila ya UKABILA INAKUZWA SANA!
Chanzo ni Wachagga wenzako, TeamMtei. Wengine wanawaonyesha tu ubaya wa ubaguzi!
wachagga wanapigwa vita si kwa uchagga wao bali kwakuwa wengi ni wakristo .
Mimi nilichojifunza kutokana na msiba wa Bob Nyanga Makani, mjukuu wa chifu Makwaiya ni kwamba CHADEMA huwa hawkurupuki na hoja nyepesi zinazotolewa na wapinzani ccm,matukio mawili yanatukumbusha mengi;
kwanza
Kumbe CHADEMA waanzilishi wake walipatikana kutoka kila kanda kuu za tanganyika yaani kanda ya ziwa ya kusini ya magharibi, na ya mashariki kama ifuatavyo;
o Edwin Mtei (Arusha),
o Makani (Shinyanga),
o Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa),
o Edward Barongo (Kagera),
o Mary Kabigi (Mbeya),
o Menrad Mtungi (Kagera),
o Costa Shinganya (Kigoma),
o Evalist Maembe (Morogoro) na
o Steven Wassira (Mara).
PILI
Kumbe CHADEMA si chama cha wachaga kama tulivyoaminishwa na wapinzani, kwani mchaga katika kundi la waanzilishi (WAASIS) ni mzee mtei peke yake.Kumbe influence ya mzee mtei kutokana na CV yake na exposure yake iliwachanganya ccm WAKADHANI NI CHAMA CHA WACHAGA.
Asanteni sana watoa taarifa za waasisi
Washindwe ccm na wakauke.