Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Hifi karibuni kumeibuka tuhuma za ubaguzi na ukabila ndani ya chadema,

nimefanya utafiti nakugundua hakuna ubaguzi wala ukabila ndani ya chadema,
mwenyikiti wa chadema anatoka kilimanjaro;
mwenyekiti msaidizi mpanda hata kabla lake hatujui

katibu mbulu

naibu katibu ambaye ndie anayelalamika kigoma:

wajumbe kamati kuu kitila mkumbo hata anakotoka aijulikani

profesa safar

mnyika

baregu

kigaila

na wajumbe wangine wengi hata wanakotoka hatujui na wala hatutaki kujua huo ubaguzi umetoka wapi?


Mh zitto amesahau majukumu yake kama naibu katibu mkuu na kimsingi naibu katibu mkuu pia nimtu wa tatu pale juu:


amenikumbusha mbali baba aliniambia wakati nikiwa mdogo ukila chakula huku ukiwa unalia hupati afya sasa nimeamini kwa zito wewe ni naibu katibu mkuu taifa bado unalia,

wako wasomi wengi na wana prpoganda kweli lakini hawakupata nafazi:
 
Umeifanyia utafiti na kauli ya Sir Mtei alieitoa wakati ule wa uteuzi wa wajumbe wa tume ya nanihii?
 
Kwenye hiyo tume aliteuliwa profesa baregu ambaye sii mchaga wala kabla lake wala dini yake haijulikani
 
Mwenye kujua composion ya uongozi ccm kwa mujibu wa dini watuwekee hapa.
 
Mwenye kujua composion ya uongozi ccm kwa mujibu wa dini watuwekee hapa.

kama tungesema ccm kama wanavyoisema cdm bazi chamakile kingekuwa cha watoto wa mama mdogo:
maana mkt
katbu
hazina
woto ni watoto wa mamdogo
 
Bob Makani ndiyo kigezo? Weka hapa majina mengine ya viongozi wa ngazi ya juu wa chadema waisalamu japo 10 nikupe shilingi millioni moja haraka.

M/kiti-Mbowe- Mkristo
M/M/kiti Bara- Arfi
M/M/Kiti ZnZ-
Katibu- Dr. Slaa- Mkristo
N/K/Bara- Zitto
N/K/ZnZ-
Fedha- Anthony Komu- Mkristo.

Angalia Chemistry hiyo halafu onyesha udini wa Chadema ulipo
 
Mtu mmoja tu hatoshi kutolea majumuisho
Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA.

Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk.

Nimejifunza mambo yafuatayo.
Mosi, Kama waanzilishi wa CHADEMA wangekuwa na agenda udini wasingemchagua Bob Makani kwa sababu yeye ni Mwislamu. ( Binafsi nimejua dini yake wakati wa msiba)

Pili kama waasisi wa CHADEMA wangekuwa wanaagenda ya Ukanda wasingemchagua Bob Makani kwa sababu hatoki kanda ya kaskazini.
Tatu, Kama waasisi wangekuwa na agenda ya ukabila wasingemchagua Bob Makani kwa sababu si Mchaga.

Kitendo cha kumchagua Msukuma, Muislamu, kutoka kanda ya Shinyanga katibu mkuu na baadaye kuongezewa cheo na kuwa Mkiti ina maanisha kuwa alifanya kazi vizuri na alikuwa anakubalika na wajumbe wote bila kujali dini, ukanda wala ukabila.

Wale waliokuwa wanacheza CD ya udini, ukanda na ukabila dhidi ya CHADEMA sasa inabidi watafute CD nyingine ya kucheza dhidi CHADEMA vinginevyo hii ya Ukanda, . ukabila na udini sasa zimechuja. Haiuziki tena.

Ni mawazo yangu tu.
 
hoja dahifu kabisa, kuanzisha chama na malengo ya chama ni tofauti kabisa,CCM na CHADEMA ni vyama ambavyo waasisi wake walikuwa na malengo, Nyerere alikuwa na lake moyoni japo alishirikisha waislamu,na ndivyo ilivyokuwa kwa Mtei, Chadema baada ya kupata nguvu na hapo ndipo lengo likatimia nakuanza kulifanyia kazi,waislamu mmoja baada ya mwingine walianza kupigwa teke,kuanzia huyo Bob Makani,ambaye nimefanya nae kazi tangu 1995-2002 ktk siasa,mzee alikuja kutengwa mabaaaaaaaali kabisa na chadema,na ndivyo inavyoendela kwa sasa ndani ya chama,kuhusu CCM udini wao upoktk mfumo,uwe muislamu ndani ya chama mfumo kristo lazima utaufanyia kazi,na hilo ndio lilikuwa lengo la Nyerere,kwa Chadema wao wapo wazi kabisa ya kwamba hawaitaji waislamu,
 
SIKU MBOWE ALISOMA HII TAARIFA KTK MSIBA WA BOB MAKANI.ALISEMA BAADA YA WILSON MKAMA WA CCM.ALIMALIZA KABISA NILIRUKA HADI NIKAPASUA REMOTE CONTROLLER YANGU.nA ALIISEMA KWA MBWEMBWE NA BUSARA ZA HALI YA JUU SANA.

MBOWE NI KAMANDA ANYEONGOZA JAHAZI LA MASHUJAA WA KIZAZI HIKI AKINA LISSU,MNYIKA, LEMA,MDEE, MSIGWA,SUGU ETC
 
NANI MDINI KATI YA CCM NA CDM?

Facts
CCM LEADERSHIP
Mwenyekiti mwislam, katibu mkuu mwislam, katibu mwenezi mwislam
serikali yake

rais islam
makamu rais islam, jaji mkuu islam, mkuu wa majeshi islam, mkuu wa jeshi la polisi mwislam nk


nw judge by yrself.
 
Muda mrefu sana nimesikia malalamiko kwa watu mbali mbali kupitia mitandao na hata kwa kuwasikia bayana kuwa chama cha demokrasia na maendeleo ni chama chenye kufuata maelekezo kutoka kwa muasisi wake bwana MTEI ambae ktk misingi na mipango alokuwa nayo ni pamoja na kuhakikisha CHADEMA hakiongozwi na mtu asiekuwa mchaga au muislamu,nataka ufafanuzi kwa hili ni kweli haya madai au ni uzushi tu??
Sisi Watanzania tunaoishi nje ya tz tunashtushwa sana na tetezi hizi.
 
Wana JF
Ni wazi sasa JK kama Forum ambayo imekuwa na mchango mkubwa kwa kuibua issues na kuleta changamoto kwa Vyama vya Siasa, Serikali na mambo mengine katika Nchi imeacha mwelekeo na sasa tumapiga ngoma ya kuwgawa watanzania kwa uwazi kabisa .Najua nguvu kubwa mnayo tumia ni kwa kuwa majina yenu mnaficha lakini mjue hawakomolewi Chadema tu .Nimeingiwa na wasi wasi Watanzania wamejenfa uhama na WACHAGA direct kisa mgogoro wa Zitto na Chadema yake .

CCM Kilimanjaro iko hai na imechaguliwa na Wachaga .Leo CCM na wasiokuwa CCM wanakuja hapa na kuwarushia wachaha matusi yote .Kukosa heshima ni jambo kwa kusingizia Chadema .Kama mtu ana shida na Mbowe mchaga aseme kwa uwazi na si kusema Wachaga .Mnatugawa kwa UDINI .Mimi Zitto ni ndugu yangu na yeye anajua mie ni Mkatoliki tena mseminary .Hatukuwahi kugombana kwa hilo .Zitto kwangu ni kwake na kwake ni kwangu .Nayasema haya ili wapambe wanaotaka ku verify wamuulize .Muulizeni unamjua Lunyungu ? Atawaambia .Zitto si mdini , si mkabilahata kidogo .Zitto ana marafiki wakubwa ambao ni Wachaga .

Limezuka Wimbi ka kuwatukana Wachaga , kuwabagua watu kwa ukanda wao hadi wengine kusema udini .Chitanda mimi na wewe ni marafiki tangia mwaka 1995 na unajua mie ni Mkatoliki tumecheka , tumekula, tumesaidiana , sikuweza kujua kwamba unanichukia kwa Ukristo wangu .Najiuliza wacha wanao soma habari hizi wanawaza nini juu ya marafiki zao ambao si wachaga .Hizi chuki na maneno ya kutugawa mnayasema kwa kuwa Zitto anavutana na Chadema yao ? Are we sincere au agenda ya udini , Ukanda na Ukabila mmekuwa nayo siku zote ? Hata viongozi wakubwa wa CCM wamediriki kujenga hoja za Ukanda .Mzee wangu Wassira , ndugu Nape , Mwigulu na wengine .Haya mna manufaa nayo ? Ni kweli hizi ndiyo Siasa?Mnadhani matusi haya baadaye CCM mtaenda kuomba kura Kilimanjaro ? Ni kweli watu wa kaskazini ni wabaguzi ? Hebu tuangalie Kaskazini CCM ina Wangune wangapi ? Je walichaguliwa kwa Uwingi wa watu katika madhehenu yao ?

Nimekerwa na ninazidi kukerwa na siasa hizi .Lakini mkae mkijua karibia tutapiga kampeni kwa kilugha na imani zetu za dini maana ndivyo mnavyo taka .Gharama zake ni kubwa sana kutaka kuziba ufa wakati mkiona hali si hali .

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom