Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

mkuu hata mimi huwa inaniuzi sana hali hii tunapeleka nchi kubaya ingawa naona ya udini unachuja sasa ila ya UKABILA INAKUZWA SANA!
 
CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM

tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.

Propaganda za udini, ukabila na ukanda zinapigiwa upatu na kufadhiliwa na ccm ikijulikana fika kwamba ni uzushi.

Wao yaani ccm wanadhani adui yao ni Chadema lakini kama ilivyo signature yako huo ndiyo ukweli hapo juu.

Nadhani watu wa kilimanjaro, Arusha nk muanze kampeni ya kuitenga CCM na uchaguzi ukifika msiipe kura kabisa

maana wao ccm kwao wachaga na watu wa kaskazini ni maaduwi kwanini waje kuomba kura???
 
mkuu hata mimi huwa inaniuzi sana hali hii tunapeleka nchi kubaya ingawa naona ya udini unachuja sasa ila ya UKABILA INAKUZWA SANA!

Udini hauchuji, bado upo very much alive, tunaona kila siku humu thread zinazohusu uislam au muislam zinavyopata kebehi!
 
Chanzo ni Wachagga wenzako, TeamMtei. Wengine wanawaonyesha tu ubaya wa ubaguzi!

Wabunge na viongozi wengine wa kichaga nao hawafai?

kapuya anakashifa ya ubakaji mbona hatusikii ubaya ukielekezwa kwa wanyamwezi wote?

Chenge anakashifa ya vijisenti vya rada mbona hatusikii kelele zikipelekwa na kulaumiwa wasukuma wote?

Akina karamagi walifanya ujinga kwenye kashifa ya richmond mbona hatuskii kelele kuelekezwa kwa wahaya wote

Acheni upumbavu wa kuimba wimbo wa ubaguzi wa ccm kwa mbowe bila kujuwa madhara yake kwa Taifa.

Narudia watu wakirimanjaro na Arusha anzeni kampeni kuikataa ccm na vibaraka wake maana yenyewe ccm

inawabaguwa kupitia wapiga debe wake.

Tuwakatae waziwazi wanao taka kutugawa kwa misingi ya udini, ukanda na ukabila. Siwapendi kabisa watu wa namna hii. Hivi mmesahau yaliyowakuta Rwanda na Burundi? Siasa si zaidi ya uhai wa watanzania. Pinganeni kwa hoja zenye kumkwamua mtanzania kiuchumi na si kutugawa watanzania. Siwapendiiiiiiii na mbadilike. Nyie wazee mmeishakula chumvi nyingi mnastahili kufa mtuache vijana na watoto wasogeze umri ufike kama wa kwenu. Shame on you
 
Sina hakika kama waTz wengi wanaona tatizo hili linaloendelea kunyemelea taifa letu kama mleta hii maada anavyoliona.

Kuna watu wanapanda mbegu za kibaguzi kwa juhudi na maarifa, hasa ubaguzi wa kidini lakini wakae wakijua mwisho wasiku hamna watakachofaidika zaidi ya uharibifu tu.
 
Tuendelee kuwambea wachaga wasije kuchoka kutengwa na wakajiunga kwa pamoja wakasahau Urombo,umachame,ukibsho na Umarangu wao wakatafuta jinsi ya kujihami!.
Kuna mambo ya kuchunga hata kama propaganda za chama.
Sijui kwann vingoz wetu hawalion hili au ndo wanasubir kuitwa aisisi?
 
wachagga wanapigwa vita si kwa uchagga wao bali kwakuwa wengi ni wakristo .

Mkuu ukiingia kanda ya Ziwa utaona jinsi gani watu wa huko ni wasukuma , Wahaya , nk ni Wakristo.Kuna sababu gani ua kupambana na Ukristo ?

Mimi nasema endeleeni na kampeni hizi lakini mjue hao wachaga wanasoma hapa na wanawasikia .Na sisi makabila mengine tunajiandaa maana baada ya wachaha sijui mtahamia kabila gani .Yaani hili mnalo tengeneza mtaona faida zake .Endeleeni kuwatukana watu kwa jina la Uhuru wa mawazo na chuki kwa Mbowe kisa Chadema .
 
Tatizo viongozi wa2 wa CDM wengine wabaguzi kidhahiri.mfano pale NMC Arusha mwaka flan alikuwa anafanya mktano Nassar anasema CCm wanatuzingua bora kanda ya kaskz tujitenge iwe nchi eti si ni mubaguzi huyo? Hz kabila za Kaskaz nazifaham sana ndo naishi nao.Pata meneja wa hiz kabila. Mpaka reception ni uko yao. Na hz kabila alisema Nyerere asipatikane Rais huko mutaona enye moto ilivo!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hizi story za udini na ukabila alitadhalisha nyerere! ila ccm hawasikii, wanatutukana sisi wakristu hasa katoliki, wanatukana tu! yaani inasikitisha!
 
Ukitaka yote hayo chadema ishikwe na mmakonde tuone kama utaskia wachaga wanasemwaa
 
CHADEMA CHAMA CHA WACHAGA, NI WIMBO UNAOIMBWA NA WAKABILA NA WABAGUZI WAKUU KATIKA NCHI HII. TUWAKATAE, TUWATENGE NA KUWAKEJELI WALE WOTE AMBAO WANAIMBA WIMBO HUU ILI KUDUMISHA DHAMIRA YAO YA KUPANDIKIZI UKABILA LAKINI KWA KUIMBA CHADEMA NI WAKABILA HII NDIO HADITHI YA MWIZI ANAEKARIBIA KUKAMATWA KUTAFUTA KUWAPOTEZA WAMFUKUZAO KWA KUIMBA WIMBO WA MWIZIIIII! ADHABU YA ZITO NIYA ZITO TU WENGINE WOTE WANAJIDANGANYA! ZITO WAKATI ANAENDA KUNUNUA KADI YA CHADEMA HAKUFUNGA NDOA NA HAO AMBAO SASA WANAMPOTOSHA KWA KUMPIGANIA. WALE WANACHAMA AMBAO WANADHANI ZITO AMEONEWA WANAWEZA KUJITENDEA HAKI KWA KUJIPA LIKIZO YA KISIASA ILI WAONDEKE KWA HADHI KUBWA WAKIONA CDM HAIKUTENDA HAKI. DHAMBI ALIYOTENDA ZITO KWA KUWA NI SEHEMU YA UONGOZI HAIVUMILIKI KIDOGO KWA SABABU ANATUMIA NAFASI ALIYOPEWA NA WANACHAMA WENZAKE KUJENGA CHAMA NA BADALA YAKE KUINGIZA MGOGORO WA KIUONGOZI NDANI YA CHAMA.

ZITO NI MZURI NA AMEFANYA MAZURI KWA CHAMA LAKINI HE IS LIKE THE UNGUIDED MISSILES YOU WILL NEVER KNOW WHEN AND WHERE WILL IT LAND ONCE IT HAS BEEN TRIGGERED. Naomba kitu kimoja kwa chama na uongozi wake muachieni uanachama wake amefunzwa hekima na kwamba katika busara ya kawaida hawezi tena kujiingiza kwenye upuuzi huu aliofanya. Hata kina Mandela tunaowasikia leo walikuwa wakali sana uasi kwa chama na angekuwa ANC wakati wa harakati za ukombozi alikuwa tayari kushirikiana na Makaburu kwa maana ya kupata vyeo. Inaweza ikawa hata Uenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali ameupata kwa kucompromize I DONT KNOW!
 
Hivi kwa nini wakurugenzi karibia asilimia 98 wa chadema ni wakristo??Hili ndio swali kubwa ukikutana na wanachama mitaani.
 
Mkuu siku nyingine usitumie maandishi ya upper case. Ni sawa na ku shout.Sauti inatoka lakini haueleweki!
 
Waungwana kwanza niwapongeze kwa kufika 2014 najua ji kwa neema za mungu tu kuwa tumevuka salama.....kumekuwa na hii hoja dhaifu kuwa chadema ni chama cha wachaga na watu wa kaskazini naomba wanachadema wenzangu tutakaopita hapa tutaje tunakotokea ili wana lumumba waone na waone aibu kutumia hii hoja mawna uzi huu utakuwa ni reference siku zijazo ikiwa mtu yeyote atakuja na hii ya ukanda na udini.....binafsi ni mnyasa wa wilaya mpya ya nyasa mkoani Ruvuma
 
Mimi nilichojifunza kutokana na msiba wa Bob Nyanga Makani, mjukuu wa chifu Makwaiya ni kwamba CHADEMA huwa hawkurupuki na hoja nyepesi zinazotolewa na wapinzani ccm,matukio mawili yanatukumbusha mengi;

kwanza
Kumbe CHADEMA waanzilishi wake walipatikana kutoka kila kanda kuu za tanganyika yaani kanda ya ziwa ya kusini ya magharibi, na ya mashariki kama ifuatavyo;
o Edwin Mtei (Arusha),
o Makani (Shinyanga),
o Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa),
o Edward Barongo (Kagera),
o Mary Kabigi (Mbeya),
o Menrad Mtungi (Kagera),
o Costa Shinganya (Kigoma),
o Evalist Maembe (Morogoro) na
o Steven Wassira (Mara).

PILI
Kumbe CHADEMA si chama cha wachaga kama tulivyoaminishwa na wapinzani, kwani mchaga katika kundi la waanzilishi (WAASIS) ni mzee mtei peke yake.Kumbe influence ya mzee mtei kutokana na CV yake na exposure yake iliwachanganya ccm WAKADHANI NI CHAMA CHA WACHAGA.
Asanteni sana watoa taarifa za waasisi
Washindwe ccm na wakauke.

Mh. lu-ma-ga,samahani nina swali.
Steven alisha rusdisha kadi au bado ni mwanachama wetu?
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom