Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

acha ujinga ww

chaga development manifesto ilikuwepo na ipo tu

katika hao waanziishi nani aliyemweka ndugu yake kuwa mwenyekiti?? Mtei kamweka Mbowe mkwewe kushika nyadhifa na ndio final say

kuanzisha tu hakuna shida, ni sheria inasema hivyo

operations zote ziko chini ya mtei, hao waanzilishi wengine hawana guvu yeyote ile...MAJINA TU, msidanganye watu hapa please
 
  • MATOKEA YA UCHAGUZI WA URAIS 2010: WILAYA YA KASULU
    KASULU MJINI
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA18,33653.69
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM13,48039.47
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI5381.58
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF4571.34
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO3431
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP660.19
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP500.15
    SPOILT VOTES8822.58
    TOTALS34,152100
    KASULU VIJIJINI
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA22,69846.44
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM22,21945.46
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI1,1322.32
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF7021.44
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO5831.19
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP1360.28
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP920.19
    SPOILT VOTES1,3152.69
    TOTALS48,877100
    MANYOVU
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA27,22457.43
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM17,50636.93
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO6031.27
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF4310.91
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI3680.78
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP890.19
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP750.16
    SPOILT VOTES1,1062.33
    TOTALS47,402100
    MATOKEA YA UCHAGUZI WA URAIS 2010: MKOA WA KILIMANJARO
    MANISPAA YA MOSHI
    MOSHI MJINI
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA25,70755.62
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM20,10643.51
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF1350.29
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO630.14
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP300.06
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI170.04
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP110.02
    SPOILT VOTES1460.32
    TOTALS46,215100
    WILAYA YA HAI
    HAI
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM35,91064.85
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA18,51333.44
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO4410.8
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF2100.38
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI590.11
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP390.07
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP220.04
    SPOILT VOTES1760.32
    TOTALS55,370100
    WILAYA YA MOSHI
    MOSHI VIJIJINI
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM30,59957.12
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA20,89639.01
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO5260.98
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF2030.38
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI470.09
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP400.07
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP240.04
    SPOILT VOTES1,2322.3
    TOTALS53,567100
    VUNJO
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM27,64950.01
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA22,44240.59
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP2,7795.03
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO4610.83
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF3690.67
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI1800.33
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP1150.21
    SPOILT VOTES1,2892.33
    TOTALS55,284100
    WILAYA YA MWANGA
    MWANGA
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM20,54878.11
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA4,68117.79
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF3671.4
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO2050.78
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI240.09
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP200.08
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP160.06
    SPOILT VOTES4461.7
    TOTALS26,307100
    WILAYA YA ROMBO
    ROMBO
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM33,33551.97
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA27,96043.59
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO6821.06
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF1810.28
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI920.14
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP570.09
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP560.09
    SPOILT VOTES1,7752.77
    TOTALS64,138100
    WILAYA YA SAME
    SAME MAGHARIBI
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM21,32777.33
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA5,36019.44
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO2981.08
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF1130.41
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI370.13
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP240.09
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP140.05
    SPOILT VOTES4051.47
    TOTALS27,578100
    SAME MASHARIKI
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM18,78870.87
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA6,60724.92
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO4141.56
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF1860.7
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI410.15
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP280.11
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP120.05
    SPOILT VOTES4331.63
    TOTALS26,509100
    WILAYA YA SIHA
    SIHA
    CandidatesPolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
    KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM15,57065.69
    SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA7,22630.49
    KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO2411.02
    LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF830.35
    RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI180.08
    DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP140.06
    MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP110.05
    SPOILT VOTES5382.27
    TOTALS23,701100




 
Hata wabunge wa viti maalum wamewekwa kwa kujuana.usipokua ndugu wa mbowe,slaa hupati nafasi labda uwe kimada wao
 
Tunaomba uweke matokeo ya Ubunge Kigoma kaskazini. Then utaona jinsi Dr. Slaa alivyomfunika Zzk japo alidai ye ndo alimuwezesha Dr. Kupata kura nyingi. Lakini kwa bahati mbaya aliyemuwezesha Dr. Ye akaponea chupu chupu
 
Unataka wawe washinda vibarazani? Hukiona hivyo jua ambao sio wakristo awakuenda shule walienda kukariri lugha za watu
 
Na nyie si muanzishe chama chenu na kabila lenu kama ndio mtazamo? Mbowe komaa ukitoka hapo unampa ndg yako uongoz ,achana na wapika majungu
 
Kwa kuwa CCM wanajua kupayukia ukanda lakini wanacho kijua wao ni kanda ya kaskazini tu, kuna haja ya kuwasaidia kuzijua kanda za Tanzania kwa mpango wa uendeshaji chama wa sasa kupitia CHADEMA ambapo dhana hii ni ile iliyokuwa inaongelewa siku nyingi kuhusu majimbo.

KANDA
MIKOA
KASKAZINI
TANGA






ARUSHA



MANYARA



KILIMANJARO






ZIWA MAGHARIBI
MWANZA



GEITA



KAGERA






ZIWA MASHARIKI
MARA



SHINYANGA



SIMIYU






MAGHARIBI
KIGOMA




TABORA



KATAVI






KATI
SINGIDA



DODOMA



MOROGORO






NYANDA ZA JUU KUSINI
RUKWA




MBEYA



NJOMBE



IRINGA






PWANI
PWANI



TEMEKE



ILALA



KINONDONI






KUSINI
RUVUMA



LINDI



MTWARA




PEMBA
KUS PEMBA

KASK PEMBA


UNGUJA
KUS UNGUJA

KASK UNGUJA

MJINI MAGH


 
Wewe mleta uzi huu unatumika vibaya na nina wasiwasi huenda 'unatumika vibaya' kwa vingi! Imeandikwa kuwa ole wao was.... na waf.... kwani kamwe hawatauona ufalme wa Muumba.
 
Kwani hukumbuki kuwa Bob Makani alikuwa kaoa mtoto wa Mtei? , hakuwa na lolote la kuamua bali kufuata la Wachagga. kalakabaho.
 
Hivi kwa nini wakurugenzi karibia asilimia 98 wa chadema ni wakristo??Hili ndio swali kubwa ukikutana na wanachama mitaani.

Mimi mkristo na sina chama, unanishauri nini? Hii kampeni sio sahihi, mtawapa watu kura ambapo udini na ukabila usingetajwa wasingepata. Acheni is your suicide bomb.
 
maeneo yote ambayo waanzilishi wa chadema walitoka chadema imepata nguvu na kuwa na wanachama wengi hakuna kila kinachoanzishwa ikose kuwa na hasili yake
 
Chaguzi mbali mbali huwa ni kipimo cha uongozi katika jamii. Chaguzi za vyama vya siasa huwa ni kipimo cha uongozi kwa viongozi wanaomaliza muda wao au kwa wagombea wanaotegemewa kuleta maendeleo katika njia ya mabadiliko au mwendelezo wa misingi ya kile kilichokuwa kinafanywa na uongozi unaomaliza muda wake.

CHADEMA mpaka sasa imeaihirisha chaguzi zake za viongozi wakuu zaidi ya mara moja kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi!. Kwa sasa chaguzi tumeambiwa zitafanyika kuanzia tarehe 16/09/2014.

Nimeguswa na utayali, uwezo, uadilifu na kikubwa zaidi, sababu kuu za mgombea Makamu Mwenyekiti wa chama Taifa-Bara, Prof Abdallah Safari.

Prof. Safari ameainisha mambo makuu matano anayoenda kupambana nayo kama atachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa-Bara.
1) Ukanda
2) Udini.
3) Ubaguzi wa rangi na jinsia.
4) Kuondoa umasikini, ujinga na Maradhi.
5) Ubadhirifu
Usipoyachunguza maneno/sababu anazozitaja unaweza kusema ni maneno/sababu za kawaida kabisa, lakini ukichunguza katika mantiki ya hoja pana utapata maswali fikirishi ambayo ndiyo yatakuwa akisi la CHADEMA kama chama cha kisiasa nchini hasa ikichukuliwa kuwa, Prof. Safari mpaka sasa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.

Ieleweke kuwa, unaposema unaenda kupambana na jambo fulani ina maana umeliona lipo ndiyo maana ukatafuta silaha za kwenda kupambana nalo. Kama una akili timamu huwezi kwenda kupambana na adui ambaye hayupo!

Prof. Safari anaposema ameombwa kugombea ili kupambana na dhana/matatizo ya ukanda na udini ndani ya CHADEMA, kwa lugha nyingine anatuambia kuwa ndani ya CHADEMA kuna ukanda na udini!. Kama hakuna, kuna umuhimu gani wa kumchagua kiongozi anayetaka kupambana na matatizo ambayo hayapo!.

Kubwa zaidi, kiongozi makini katika chama au taifa lisilo na dini au ukanda hawezi kuchaguliwa kwa msingi wa dini au ukanda. Prof. Safari anapotaka achaguliwe kwa misingi ya dini au ukanda ina maana anaingia kwenye ulingo wa kisiasa ndani ya chama ambacho mchezo wake ni udini na ukanda. Hii inanipeleka kwenye msingi wa hoja yangu inayouliza, ni kweli ndani ya CHADEMA kuna udini na Ukanda

Kama udini na ukanda upo ndani ya CHADEMA, ataweza kuuondoa kama akichaguliwa hasa ikichukuliwa kuwa, mpaka sasa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama.

Kwa mantiki hii, anataka kutueleza kuwa Mzee Said Arfi alishindwa kuuondoa au hakuuona Udini na Ukanda baada ya kuwepo kwenye nafasi hiyo.


[video=youtube_share;dqrIQV6x8eU]http://youtu.be/dqrIQV6x8eU[/video]

Unaweza kutokubaliana na Mwl. Nyerere lakini huwezi kukataa mantiki ya hoja yake aliposema, chama au nchi endelevu haiwezi kumchagua mtu kwa msingi wa dini yake, au sehemu anayotoka nchini. Chama au nchi inayofanya hivyo inakuwa imefirisika kifikra na kimtazamo.

Ni kweli CHADEMA imefirisika kifikra na kimtazamo? If CHADEMA is about fair and equal opportunities for all, why Prof. Safari is playing religion and zone card?


[video=youtube_share;pKscF5wA5jM]http://youtu.be/pKscF5wA5jM[/video]

Tutasikia na kuona mengi kabla ya uchaguzi wa viongozi wakuu ndani ya CHADEMA!.
 
Huna akili kabisa kuleta uongo wa kipumbavu na kijinga hapa jamvini.

Una lengo ovu la kishetani ili wajumbe wasimchague Prof Safari.

Nakuapiahautofanikiwa!
 
Akili ya watu wa CCM ilipofikia. Una bahati Nyerere mmeshamuuwa ili muongee huu ujinga mliokuwa hamuwezi kuongea otherwise wewe ungepotea ktk hii dunia ndani ya sekunde.
 
Huna akili kabisa kuleta uongo wa kipumbavu na kijinga hapa jamvini.

Una lengo ovu la kishetani ili wajumbe wasimchague Prof Safari.

Nakuapiahautofanikiwa!
Ndugu,
Neno huna akili ni relative term. Wewe unaweza ukadhani sina akili lakini kuna mwingine atadhani tofauti na mtizamo wako.

Wajumbe watakaomchagua Prof. Safari watakuwa na informed decision na siyo kama bendera fuata upepo!

Kama huwezi hata kusoma na kuelewa maandiko, basi unaweza kuangalia video ya mahojiano.
 
Akili ya watu wa CCM ilipofikia. Una bahati Nyerere mmeshamuuwa ili muongee huu ujinga mliokuwa hamuwezi kuongea otherwise wewe ungepotea ktk hii dunia ndani ya sekunde.
Ndugu,
Hii akili ya watu wa CCM ndiyo iliyokufanya kutoa comment!.

Suala la kumuua Nyerere ni suala ambalo liko chini ya utaratibu wa makosa ya jinai, otherwise unaweza kuwa kuwasaidia polisi kuhusiana na ushahidi wako.

Suala la mimi kupotea wala lisikusumbue kwa sababu liko juu ya uwezo wako!

Jikite kwenye mada iliyoko mezani.
 
Back
Top Bottom