Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

"Tunapopongeza juhudi zao hizi tunahitaji pia kuwapongeza wakuu wetu wawili wa kwanza ambao kimsingi waliweka msingi mzuri sana wa kutong’ang’ania madaraka na badala yake kuachia mapema na kumwachia mwingine kidemokrasia bila vurugu."

na hakika bora mwenyekiti wa chama chetu awe kunguru, na siyo huyo kibaraka wa magamba mr. misifa ya kijinga
 
hoja haina mashiko!!!!!! na si wakati muafaka wa kushabikia udini na ukabila.

"A task is to face it.comnot to escape it",mbona chuki dhidi ya wachagga zipo kabla hata ya vyama vingi?Wachagga ni kama jews wa TZ.Sioni ukabila wowote ndani,wala sioni udini.
 
Tutachambua uwezo na CV za hao watakaochaguliwa against walioachwa ki-uzoefu, ki-uwezo na ki-taaluma. Naamini hakijifichi kitu ndani ya JF.
Hivi una amini kuwa hakuna waislam watakaoqualify kwenye hiyo nafasi?Waislam wasomi na wazalendo mbona wako wengi tu?
 
Hivi una amini kuwa hakuna waislam watakaoqualify kwenye hiyo nafasi?Waislam wasomi na wazalendo mbona wako wengi tu?

Usifanye kuniprovoke bosi, nimekwambia tusubiri tuone halafu tutajadili nani kachukuliwa nani kaachwa! Usiwe na wasiwasi wala haraka, nimekwambia tutachambua, tukijiridhisha itakuwa sawa.

Kuna sehemu yoyote nimetamka kwamba hawapo? Tulia.
 
Mtatuandama sana wachaga lakini tutashinda kwani sisi ni kama majews watz tumefanikiwa huwezi kutulinganisha na kajamba nani like muha,mzaramo,mndengereko.pia kumbukeni hamuelewi kwani demokrasia ndo imetuletea mr. Jk au dhaifu ------ mcheza ngoma
 
Ukiwa MCHAGGAna MKRISTU ukawa mwanCCM UCHAGGA na UKRISTU wako hautaonekana wala lusemwa.Ukiwa motto wa kiongozi ndani ya NEC ya CCM hautaonekana ila ukiwa Mchagga,ukawa mkristu na bahati mbaya ukawa na uhusiano wa karibu na kiongozi mkuu au muasisi wa CDM basi kwenye chadema lazima kuwe na udini,ukabila,na ufamilia,Na kwa CCM je? Usipokuwa na jina hauwezi kupata hata mtendaji wa mtaa.Kwenye upinzani ni kosa la jinai kwa Chama tawala safi sana hakuna matata.Watanzania tusiwe na double standards hazijengi taifa bali kulibomoa.
 
hakuna ukabila kwenye chadema ni maneno ya watu wavivu kufikiria. Kuna viongozi wengi wa kaskazini kwasababu kuna wabunge wengi kaskazini. Zitto mafano wakati anaingia chadema alikuwa kijana kidogo na hakuwa na kitu hivyo sio ukabila vilevile wanaosema chadema ni chama cha wachagga ni wana chama au? Kwasababu huwezi kuwa kiongozi kama si mwanachama. Sugu, msigwa, lissu, mbunge wa mwanza wote hawa hawajatokea kaskazini!. Kama unataka kukosoa chama jiunge kwanza huwezi kuchagua watu tu wa lindi wakati hawako kwenye harakati.

unamsema mwenzio mvivu wa kufikiri wakati wewe ndio very poor! Cdm ni ya wachaga,halina ubishi,huyo tundu lissu anawashabikia kwa sababu mmemsaidia dada yake kuwa mbunge,nothing else
 
Chadema ni chama cha kikabila na hili liko wazi kabisa hakuna mjadala.Ni chama cha kichaga chenye lengo la kuendeleza fikra za kibaguzi za akina chief Marealle ambazo Nyerere alizikataa katakata,msitufanye watz mazezeta kuwa hatujui kilichopo nyuma ya pazia
Wewe kweli umechoka kiakili na kimawazo yaani hapo ndio akili yako imefikia ukomo Lol kweli Bongo wajinga wako wengi sana kwa mantiki hii sidhani kama nchi itaendelea kwa watu wa aina kama yako.Kwa ufupi wanachama wote wa Chadema ni Wachaga?Au viongozi wote wa Chadema,Wabunge,Madiwani,Makatibu nk.Hivi inakuwaje Watanzania tuko na mambo mengi ya kujadili lakini kila siku watu kama nyie mnaturudisha nyuma shame on you man,kwa maandishi yako hapo juu naomba ushahidi-
 
CHADEMA ni chama cha Wakiristo na Wachaga...

USHAHIDI upo mwingi tu.....
--Mfano humu JF kukiwa na habari inawahusu waislamu PRO-CHADEMA wote wanaungana kuwatukana waislamu.
---Pia akitokea Fisadi anaetokea Kanda ya Kaskazini PRO-CHADEMA wa JF humtetea kwa nguvu zao zote .
--Pia CHADEMA majina ya style kama jmushi1 yapo mengi sana..
_Sabubu zipo nyingi tu kama unataka nikuongezee sema
 
Kuna watu wanafurahia Mh Mbowe kuondoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,kuna wanaotaka hata kuandamana ili aondoke,je chama ni cha kikabila kwasababu tu kwamba mwenyekiti ana kabila?Kwahiyo mwenyekiti akiwa mgogo basi chama ni cha kigogo?

Kuna anayeweza kuniambia ukabila uko wapi kwenye chama cha cdm?Je ni kweli kuwa mwenyekiti mchagga akiondoka ndo chama kitakuwa si cha wachagga?Ili linanitatiza sana tu!

Mkuu hakuna kitu ,CCM wamejificha nyuma ya kichaka na falsafa za mwalimu ambazo ziliwekwa ktk msingi ya nchi huku wakipewa support na wachukia wachaga nchini.

Kuna watu wengi tuu ktk CCM na vyama vingine wakisaidiwa na wanaovaa vigauni na visuruali vifupi raba na sox huku wakiwa na ndevu zilziokaa hovyo.Kwa vile wanadhani wachaga wengi si waislam na hivyo kuwachukia km wanavowachukia wamasai.Hivi ndivyo walivyopata common enemies.

Hakuna siku wala saa makabila fulani ambao yana matatizo wasiyoweza tatua hawaongelei kitu kuhusu wachaga.kwa utani wa kuzuga ili kupima km watapata company au kuonyesha chuki waziwazi.
 
unamsema mwenzio mvivu wa kufikiri wakati wewe ndio very poor! Cdm ni ya wachaga,halina ubishi,huyo tundu lissu anawashabikia kwa sababu mmemsaidia dada yake kuwa mbunge,nothing else
Mwanzilishi mmojawapo wa ccm alikuwa mchagga,hilo halikifanyi chama kuwa cha kichagga,acha chuki.
 
CHADEMA ni chama cha Wakiristo na Wachaga...

USHAHIDI upo mwingi tu.....
--Mfano humu JF kukiwa na habari inawahusu waislamu PRO-CHADEMA wote wanaungana kuwatukana waislamu.
---Pia akitokea Fisadi anaetokea Kanda ya Kaskazini PRO-CHADEMA wa JF humtetea kwa nguvu zao zote .
--Pia CHADEMA majina ya style kama jmushi1 yapo mengi sana..
_Sabubu zipo nyingi tu kama unataka nikuongezee sema
Hao wanaoponda waislam unadai ni pro chadema si ukweli.Wengi wanajidai pro chadema ili kuchafua chama.Ndo maana sijawa mnafiki na kujiita "MSalani"
 
Ni kiongozi gani nchi hii anaweza kuwa kiongozi hana kabila?

Msingi hapa ni kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuongoza, ambaye kwake ukabila, udini, ukanda, rangi, jinsia ni mwiko!
Mbowe anastahili kuwa kiongozi, ni jasiri, mnyenyekevu, ana hekima ya hali ya juu pengine kama ya mfalme sulemani.

Hatutaki na hatukubali viongozi wetu tuchaguliwe na CCM!
 
Kwa hiyo safu yote ndiyo yenye uwezo kuliko kutoka mikoa mingine na je hii haitarudi?
1.Mwasisi-Mtei
2.Mshauri wa CDM-Ndesamburo
3.Mwenyekiti-Mbowe
4.Katibu Mkuu-Slaa
5.Mhasibu mkuu-Komu
 
Kuna watu wanafurahia Mh Mbowe kuondoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,kuna wanaotaka hata kuandamana ili aondoke,je chama ni cha kikabila kwasababu tu kwamba mwenyekiti ana kabila?Kwahiyo mwenyekiti akiwa mgogo basi chama ni cha kigogo?

Kuna anayeweza kuniambia ukabila uko wapi kwenye chama cha cdm?Je ni kweli kuwa mwenyekiti mchagga akiondoka ndo chama kitakuwa si cha wachagga?Ili linanitatiza sana tu!
We nawe mbona unaturudisha nyuma, kwenye waraka wa ushindi 2013 hakunamahala pana sema mapungufu ya viongozi wa sasa wanatoka kaskazini, UNAJIDAI HAUKUUSOMA WARAKA ULE SIO, BASI TAFUTA UFAFANUZI KWA M1
 
Kwa hiyo safu yote ndiyo yenye uwezo kuliko kutoka mikoa mingine na je hii haitarudi?
1.Mwasisi-Mtei
2.Mshauri wa CDM-Ndesamburo
3.Mwenyekiti-Mbowe
4.Katibu Mkuu-Slaa
5.Mhasibu mkuu-Komu

Sera ya chadema haiangalii ukabila, udini ama ukanda.

CHADEMA wanaangalia umuhimu wa mtu na uwezo wake kwenye nafasi anayopewa, hata kama wangekuwa wazaramo wote maadamu wanatuongozea chama, au hata kama wangekuwa wanyiramba wenzangu maadam tu wanauwezo wakuongoza
 
We nawe mbona unaturudisha nyuma, kwenye waraka wa ushindi 2013 hakunamahala pana sema mapungufu ya viongozi wa sasa wanatoka kaskazini, UNAJIDAI HAUKUUSOMA WARAKA ULE SIO, BASI TAFUTA UFAFANUZI KWA M1
waraka wa ushindi kutoka kwa nani?
 
Wakuu jmushi1 na FTP, dhana ya ukabila CHADEMA ni propaganda tu kama zilivyo propaganda nyingine. Mimi siamini kama CHADEMA kuna ukabila. Ukabila u wapi wakati Mwenyekiti ni Mchaga, Katibu Mkuu Mbulu na Msemaji wa chama(Tumaini Makene) ni Mhehe?.Hiyo moja.

Pili,hata hoja ya ukanda imepitwa na wakati. Kama ukanda,basi CCM inaongoza. Katika Mawaziri wakuu walioiongoza nchi hii,Mawaziri Mkuu wengi wanatokea Kanda ya Kaskazini: Edward Moringe Sokoine, David Cleopa Msuya,Fredrick Tluway Sumaye na Edward Ngoyai Lowassa. Je, CCM ni chama cha kaskazini?

Mbona wasio CCM hawaioni CCM yetu kama chama cha kijeshi kwakuwa na Mwenyekiti na Katibu Mkuu mwanajeshi? Ukabila na ukanda ni propadanda tu. Kwenye siasa za sasa,propaganda nyepesi za aina hii hazina nafasi. CHADEMA imekusanya majimbo mengi toka Kanda ya Ziwa kuliko hata huko Kaskazini kwa wachaga.Hapo je?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom