Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
tehe tehe sophy simba....ngoja kuna video moja naitafuta kwenye makbrasha yangu ya lowasa mbona watupu wengi.....Oh utupu haujalishi lugha. Kuna yule mama mmoja sijui mwenyekiti wa UWT...somebody Simba alieysomea eti Marekani. Unakumbuka mahojiano yake na Mwanakijiji....mimi hata sikumwelewa alichokuwa anakiongelea ingawa alikuwa anaongea Kiswanglishi
....hakuna la maana detroit litakalofanyika utasikia tuu..zaidi ya kupiga picha na kuzituma michuzi hakutakuwa na jipya.....nasikia mwanakijiji ndio MC.....