Detroit welcomes Ambassador Amina Salum Ali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Detroit welcomes Ambassador Amina Salum Ali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzee Mwanakijiji, May 18, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 18, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Jumuiya ya Watanzania Jimbo la Michigan wanayofuraha kumkaribisha Balozi wa Umoja wa Afrika kwa Marekani Mheshimiwa Amina Salum Ali kwa chakula cha jioni.

  SIKU: Jumanne tarehe 19 Mei, 2009

  Saa: 12:00 Jioni (Saa za Marekani ya Mashariki): Kwa vile tayari ana ratiba nyingine baada ya chakula cha jioni, shughuli itaanza juu ya alama.

  Mahali: Makao Makuu ya TAMI
  22255 Hessel st,
  Detroit MI 48219.


  Balozi Amina Ali ni mwakilishi wa kwanza wa Umoja wa Afrika nchini Marekani nafasi ambayo aliteuliwa miaka miwili iliyopita na hivyo kumuweka katika kundi la Watanzania wachache walio katika uongozi wa juu wa medani za kidiplomasia za kimataifa.

  Tunayofuraha kwa ugeni huu mashuhuri.

  Kutokana na mahali ambapo chakula hicho kitaandaliwa wale wote ambao wangependa kushiriki nasi katika jioni hiyo wawasiliane nasi kwa maelezo zaidi au maelekezo ya jinsi ya kufika:

  Mwenyekiti wa TAMI:


  Mr. Ayub Mfinanga - (586) 354 -5479 au

  Katibu wa TAMI
  Mr. Ben - (248) 242 2520

  Asanteni.

  NB: TAMI ni chama rasmi kinachowaunganisha Watanzania waishio katika jimbo la Michigan hususan eneo mama (metropolitan area) la Detroit, na maeneo jirani na kimeandikishwa rasmi kama chama cha hiari na kujitolea kwa mujibu wa sheria ya kodi ya Marekani 501(c). Uanachama ni kwa kuomba uanachama na kulipa ada za uanachama zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba.
   
 2. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huwezi ukakutanisha watu na viongozi kwenda kula tu... Unachangisha watu ada ya uanachama wa jumuia ili mpike pilau mle na ma diplomat? hahahahhaaaaaaaaaaa

  Community nzima mmeshindwa kutunga kakitu ka kuzindua? Ka aniversary ka uongo na kweli? Hata kubuni tukio la kuweka monument ya vifo vya Vonetha na Walter? Uchunguzi umefikia wapi? Mnakutana kula tu?

  Hizi ndio shughuli zetu hizi, si Marekani si nyumbani, ukisikia Mtanzania anaenda shughuli ndio hizi. Kula, kupiga soga, kucheza mduara, kunywa pombe, kuonyeshana mitindo ya suruali za kuvalia matakoni na vihereni bandia.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Katika hali yoyote ile nitapenda na agenda isiwe ni kula tu bali kufahamu hata uchunguzi wa kifo cha Vonetha na Walter!! Jamani mwenye habari na kinachoendelea kuhusu mauaji haya ya kinyama na atujulishe.
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huyu mama mtupu kichizi! I doubt anaweza kufanya lolote la maana.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mazee kiaje hebu tuhabarishe maana post alonayo ni kubwa sana!
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Post kubwa si tatizo, mbona marais Africa wana posts kubwa sana lakini wengi ni watupu tu?

  on 07/12/07 alihojiwa na voice of America kueleza kazi za African Union Mission, alitia aibu, aliulizwa "How will the functions of this African Union Mission to the United States be different to that of the AU mission to the UN?" a softball question, akaboronga.

  Yaani kwa kifupi ukimsikiliza unaona hana vison, na kama hakuwa "mtu wa karibu" na Mwinyi kulikuwa hakuna sababu hata ya kuwa Waziri.


  Wewe msikilize akiongea tu, miaka yote kwenye serikali hana achievement yoyote.Watanzania wengine hupewa hizi posts kwa heshima ya nchi, si kwa achievements zao.
   
  Last edited: May 18, 2009
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sasa nani alimpa hiyo post? Maana tusianze kumlaumu yeye wakati kuna mtu/ watu waliompendekeza na kumpa hiyo nafasi....
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Aaah, unataka kuchomeka "Waafrika ndivyo walivyo"?.Baadhi ya waafrika ndivyo walivyo, nepotism over merit, factionalism over competency, favoritism over ability.

  Blame it on Mwinyi who gave him a start, as a matter of fact even the onset of Kikwete's career was launched by Mwinyi.So blame Mwinyi and his cronies, and the Tanzanians who nominated and elected such incompetent nincompoops, including the much revered Nyerere.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha...noo bana...sio kila kitu tu Miafrika Ndivyo Tulivyo. Actually nilikuwa nauliza tu ili kujua huyo mtu au watu waliompa hiyo nafasi. Mtu makini utatarajia watu wake na wenyewe wawe makini. Huko ndiko nilikokuwa naelekea.

  I thought it was a she and not a he. Is Amina a unisex name now?
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu ni nini hapo jamani. Kwani posti nyingi si tunapeana kiushikaji?? Kwani hapo mambo ya kiushikaji yanahitaji CV?? Kwanini tuende mbali, tuanzie hapa hapa Tz, kwani post zote zilizopo hapa kwa viongozi wa ngazi za juu ni kwa merits?? Thubutu nani kasema hivyo, wachache ni kwa merits na wengi ni kulipana fadhila!!!! Vinginenevyo ingekuwa ni kwa merits basi na utendaji ungekuwa wa merits. Shame!!
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I talked about Amina and then went on to talk about Kikwete, the him is about Kikwete, who is a he last time I checked, or is there a sex change I am unaware of?
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  You be the judge, halafu hapa kwenye maandiko afadhali kidogo, ukimsikiliza kabisa ndio unaona Sarah Palin type. Angalia anavyoongea halafu ulinganishe na caliber ya diplomat wa ngazi yake anavyotakiwa kushusha vision.

  Halafu jamaa wa NPR wahuni kweli, hata hawajarekebisha grammatical mistakes zake, ambazo ukimsikiliza hata huhitaji kuzitafuta sana, maana ziko nje nje.Top diplomat wa Afrika US, jamani hatuwezi kutafuta hata mtu anayejua kiingereza vizuri?

  Yaani aibu aibu aibu, anashindwa hata kujieleza aliingiaje katika politics maskini, maana mtanagzaji wa NPR kamuuliza maswali ya substance kaona mama anajiuma uma, kampa softball question umeingijae katika politics mama bado anajiuma uma, angesema nini? Nilipigiwa pande nililokuwa sistahili na Mwinyi?

  Hii chini ni just a random interview, actually one of her better ones, lakini iko plagued na mediocrity if not outright incompetency and idiocracy.  AU Diplomat Promotes Better Image Of Africa National Public Radio (NPR) December 18, 2008 Thursday  Copyright 2008 National Public Radio (R)
  All Rights Reserved
  National Public Radio (NPR)

  SHOW: Tell Me More 9:00 AM EST NPR

  December 18, 2008 Thursday

  LENGTH: 1347 words

  HEADLINE: AU Diplomat Promotes Better Image Of Africa

  BODY:


  MICHEL MARTIN, host:

  I'm Michel Martin, and this is Tell Me More from NPR News. It's Thursday, time for our international briefing. Coming up, as part of our ongoing series, A Global Memo To The President, we've talked with the Brazilian ambassador to the U.S. about what his country and region hope for as the new administration takes office.

  But first, a newsmaker interview. From time to time, we like to bring you conversations with leading figures from an array of professions. Amina Salum Ali is the African Union Mission permanent representative to the United States. That means she represents more than 50 African countries here in the U.S.

  Born and raised on the island of Zanzibar, Ambassador Ali is a career diplomat and political leader in Tanzania, where she has held many key positions, most recently as minister of state for the chief minister's office in Zanzibar. And she joins us now from her office in Washington. Ambassador, welcome. Thank you so much for speaking with us.

  Ambassador AMINA SALUM ALI (Permanent Representative to the U.S., African Union Mission): Thank you for inviting me.

  MARTIN: Can you start by explaining what does the AU hope for in terms of relations with the new administration? Are there differences from the way the Bush administration has conducted relations with Africa that you'd like to see or are there things you want to see continued?

  Ambassador ALI: This administration had done more to African council in the field of health, education and trade, and also in peace and security. But we believe with the new administration, we would like to see the new administration is - will bring the relation to the new level - higher level than what we have seen with the Bush administration.

  MARTIN: Can we talk about some of the specific countries in Africa? The situation in Zimbabwe seems to be deteriorating by the day. Of course, there's been a terrible economic conditions for some time now, and now at least 1,000 have died from cholera. Some people say that Zimbabwe's an African problem and it should be resolved by Africans, but African leaders disagree on the way the conflict should be dealt with. Now some are calling for deploying forces at this point. Some are calling for tougher economic sanctions. What do you think?

  Ambassador ALI: I think the Zimbabwe issue is very, very sensitive and is very sad for all of us. And we had a very deep discussion, and we had very open discussion in terms of the future of Zimbabwe and also in terms of what is happening in Zimbabwe, and at that time, not only a final commission but all - most of the president did agree, and they really wish to see this peace settlement in Zimbabwe, and that's why they recommend this power sharing. And we had hoped that by now we will see the implementation of that decision.

  And now let me tell you that all the African - of course, leaders in African people are worried of what is happening in Zimbabwe. Africa is concerned, and I believe right now people are discussing this and African commission, together with other countries in Zimbabwe, discussing this and see what we can do.

  MARTIN: Another region I wanted to talk with you about is Darfur. And of course, the conflict there has left hundreds of thousands of people dead and many, many people displaced, and there are those who say that, again, here's a situation where - this is an African problem to be solved by Africans, but many people feel that the joint UN peacekeeping force has not been effective in stemming the violence. What would be more effective, in your view? What would make a difference?

  Ambassador ALI: We should try to find an African solution to African problems. But at the end of the day, if you don't reel in power, the troops who are in Darfur, you just can't - clearly cannot see implementations so soon, you know?

  MARTIN: By that, do you mean you think there need to be more troops on the ground, whether from the UN or the AU, or do you think that those troops need more expansive orders? Do they need more latitude to intervene, to be more aggressive?

  Ambassador ALI: No. What I said about capability because you need - for instance, you need to have the air power. So if - I'll give you an example of a helicopter. They've been for - up to now, they have been discussing about helicopter. Whoever, each country, when you talk, they say they don't have helicopter, they don't have helicopters. I mean, (unintelligible) can move, but how do you be able to provide a capability to follow the rebel, to be able to stop this, you know? Also in terms of numbers, we have not seen increasing numbers of the troops. OK? These are the issues.

  MARTIN: Before we leave Darfur, Chief Prosecutor Luis Moreno Ocampo at the International Criminal Court has charged Sudanese President Umar Hassan al-Bashir with committing genocide, war crimes and crimes against humanity. On the other side, President al-Bashir says it'll consider any attempt to arrest him an act of war. Do you have a view of this? What do you think? Should the President al-Bashir be prosecuted?

  Ambassador ALI: Well, this is not only my views but I think the views of some of the leaders of African Union. But this is not the right time to talk about prosecuting al-Bashir, especially because previously, Bashir - we - we as African - well both African Union as well as the regional(ph) community exert a lot of pressure on President Bashir. And we have seen a lot of movement, positive movement from his government in terms of bringing all those criminal to be reach out in terms of allowing negotiation to rebels and his government in terms of providing better facility for the displaced people.

  And we believe right now we are in the right approach. If we now talk about indictment or arresting Bashir, it might really reduce the speed of things to happen. Let's concentrate on to bring peace in Darfur, and then those issues can be discussed later. But right now is not the right time, and this was discussed at the UN. Even during the AU meeting last July, the same issues was discussed.

  MARTIN: I was hoping that you would tell us a little bit about yourself. When you were growing up in Zanzibar, is this the life you envisioned for yourself?

  Ambassador ALI: Well, to be very honest, when I was growing up in Zanzibar, I really wanted to be working with the army as - in the Air Force division. Unfortunately, at that time they did not recruit women. As you know, it's only recently that there's - all over in the world they started to recruit women.

  MARTIN: Why did you want to be in the Air Force?

  Ambassador ALI: Well, you know, I just like it. I just like it, you know? And then, I said, no. I want to be able to - unfortunately, when I went to India for my high education, they got me and decided for me to do economics. I never realized I'll be joining politics. It just came - it just came...

  MARTIN: It just came. It just came. How did it happen?

  Ambassador ALI: There was a formative action whereby women can join politics, and I was very keen to really help the women in Zanzibar. You know, we have Muslim society, and I thought maybe if I can really help my sisters who was not been educated and who still facing challenges at the time of early marriages, challenges of dropping out from school, and I said, let me join the politics.

  MARTIN: Well, finally, and I - you've been most generous with your time and I appreciate it. I wanted to ask you, how will you know if you have succeeded in this job?

  Ambassador ALI: Well, you know, you can judge your success by leaving tangible things. If I can really bring - sort of elevate the status of Africa in America so that people will know what we stand for, people know that Africa is the land of opportunity, and if I see the media bring apositive news about Africa, then I will say my work has been meaningful.

  MARTIN: Amina Salum Ali is the African Union Mission permanent representative to the United States. She was kind enough to join us from her office in Washington, D.C. Ambassador, thank you so much for speaking with us.

  Ambassador ALI: Thank you very much.
   
  Last edited: May 18, 2009
 13. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haa ha! usikute wanaiga na kuvaa "skinny jeans" huko US, brothers please....! Don't
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  May 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nimeishia hapo na wala sikuwa na hamu ya kuendelea tena!!!!
   
 15. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  See what I mean, sasa ukimsikiliza utaona hivi kwa nini "Ze Comedy" wanatamba sana wakati ma comedians tunawapeleka nchi za nje, si arudi tu ajiunge na Ze Comedy?

  Huyu akienda Detroit watu watakula na kunywa tu, hamna chochote cha maana anachoweza kufanya, anahitaji English course kwanza kabla ya kuingia kwenye diplomasia.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  May 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Huko ndiko nilikokuwa naelekea nilipouliza nani kampa hiyo nafasi kwa sababu ni aibu. Utampelekaje mtu aliye mtupu kuwa mwakilishi kwenye medani za kimataifa? Mtu aliye makini kidogo angalau atajua ni wapi pa kumweka mtu fulani. Hivi kweli mtu kama Kikwete (sijui kama ni yeye ndiye aliyemteua au kumpendekeza) hawezi angalau kujua uwezo wa mtu kweli? Maana tukitumia kigezo cha hayo mahojiano uliyoyaweka hapa kwa kweli unaona kabisa aidha haelewi vizuri lugha ya kiingereza au ni mtupu bila kujalisha ni lugha gani itumikayo.
   
 17. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mwenye kuanza kujibu na swali na statements za 'frankly speaking', 'to be honest' etc ni muongo, kazoea kusema uongo hivyo anataka kuwaaminisha watu kuwa hapo hasemi uongo isipokuwa anasema ukweli.

  Sasa huyu anayekuja na ' to be very honest' ni zaidi ya muongo.

  Mtoto: Nilitaka kuwa mwanajeshi kwa sababu ningependa kuilinda nchi yangu.  Duu, mwakilishi wa AU anajibu style ya Kitanzania 'you know, I just like it'. Hana sababu. At least mtoto wa darasa la tano angesema kuwa alipenda kujiunga na Airforce kwa sababu alitaka kulinda nchi, au ni uzalendo n.k.

  Kali zaidi ya huyu balozi wa AU, ni story inayofuata baada ya ' you know?' Mtanzania akiulizwa swali na yeye anauliza swali badala ya kujibu swali. Sasa huyo bwana Martin angejuaje? au angekuwa anajua asingeuliza hilo swali.


  Martin ilibidi afagilie utupu wa kichwa cha mwakilishi wa AU to the US.

  Ana uzoefu toka kwa serikali ya `ze comedy┬┤, ana-apply ucomedian huko.

  Can't imagine akiungana na Shamhuna, Chiligati na Makamba wafanye standup comedy, itakuwa ya kwanza ya aina yake.
   
 18. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni kwamba sisi hatuna meritocracy, Nyerere, arguably the most meritorious president Tanzania ever had -which is not to say much by the way because our standards are so low- aliendelea kuchaguliwa year in year out hata baada ya kudidimiza uchumi.

  Rais wa pili tumempa loser aliyejiuzulu mwenyewe kazi serikalini.

  Mkapa zaidi ya propaganda na highfallutin' English hana merit yoyote.

  Huyo Kikwete is worse than the semi-literate Mwinyi.

  Kwa hiyo hawa marais wenyewe wanachaguliwa kwa sababu zisizohusiana na merit, wanachaguliwa kichama chama tu, kwa hiyo hata teuzi zao/ mapendekezo yao yanaangalia zaidi loyalty kuliko merit.Ni bora kuweka jinga lililo loyal kuliko a bright independent person who may shake things up. Wakubwa wenyewe hawajiamini.Matatizo.
   
 19. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu mfanano wa diplomat kasema kitu ambacho angekiropoka Dar-es-Salaam au kwao Zanzibar lingetokea Jihad kwa kwenda mbele from Kiembe Samaki to Kisiwa Ndui to Kisima Majongoo.

  Kahusisha Uislam wa kwao na minoma ya kuozesha vitoto vidogo, hawasomeshi wanawake, wanaiwaingiza matatizoni kwenye ndoa za utotoni. Waislam wamemwona haka ka diplomat uchwara kutoka geopolitics fulani zisizo matter ni irrelevant, lakini wangeweza kumwambia anachafua dini nzima kwa maovu ya society yake yeye, wangesema mbona kwenye maeneo ya jamii za Tanzania ya Kikristo vitoto vinaozeshwa vidogo, na wanawake vijijini sio priority kusomeshwa, na wanabumundwa kama madebe kwenye ndoa za utotoni?

  Mujaheedena nao wangeweza kutoa prize kwenye kichwa cha huyu mama lakini wakaona hakuna atakae bother kuki deliver kwa sababu ni diplomat mtupu mmoja not worth the time hata ya Intifadists.

   
 20. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo si lugha tu Ndugu yangu.Hebu njoo huku UK askari wa kulinda geti tu usiku anakichapa kushinda wewe. Acha ngebe zako wewe na kujitapa na hiyo English yako- kama kweli unaifahamu. Usidharau watu kwa sababu ya lugha ya Mkoloni.
   
Loading...