Detroit welcomes Ambassador Amina Salum Ali

Yamesemwa mengi hapo umeona English tu, vipi kuhusu hiyo piece of misinformation? Vipi kuhusu hiyo undiplomatic conundrum kuhusu Wa-Sahrawi? Mbona watetezi wanatetea tu bila kujaribu kupangua hizi points?

Tatizo la huyu maza sio lugha. Watu sijui kwa nini wanashindwa kuelewa hilo
 
Balozi wa AU hajui historia ya OAU na anaipotosha, halafu watu bado wanamtetea tu.Halafu ndiyo tunategemea vitu vikubwa wakati kufanya vidogo tu ambavyo watoto wa shule ya msingi wanatakiwa kuwa wanavijua mabalozi hawa wanapotosha.

Hivi leo mtoto wa shule ya msingi akim-quote huyu mama na kubishana na walimu wake kuhusu nani alianzisha OAU tutamlaumu huyu mtoto?

- Mkuu hebu weka more facts za ubovu wa uongozi wake, otherwise nimenawa mikono simo, na simuhukumu huyu mama.

Respect.

FMES!
 
Yamesemwa mengi hapo umeona English tu, vipi kuhusu hiyo piece of misinformation? Vipi kuhusu hiyo undiplomatic conundrum kuhusu Wa-Sahrawi? Mbona watetezi wanatetea tu bila kujaribu kupangua hizi points?
Ingekuwa bora utafute njia ya kumpata na kuongea naye huyo Amina Salum Ali, ili umwambie wapi amekosea ili ajirekebishe. Mnavyomkandia hapa sidhani kama atapata hayo mapungufu yake.
 
Leo jioni tutakuwa na Balozi Ali kwenye African-American Museum ambayo ndipo atakuwa featured guest katika kuazimisha siku ya Afrika. Tunawashukuru wale wote waliofanikisha ujio wake kati yetu. Sasa tujiandae kwa ujio mwingine mkubwa wiki chache zijazo. Balozi na ujumbe wake wanashukuru sana kwa ukarimu ambao jumuiya ya Watanzania hapa imeuonesha licha ya muda mfupi wa kujiandaa na ugeni huo na sasa kuangukia siku ya kazi.

Asanteni.
 
Audio/ video please tufaidike na sie tulio mbali.

Unataka video/audio usikie glass na sahani zinagongana, hujawahi ona watu wakila chakula cha jioni?

``Jumuiya ya Watanzania Jimbo la Michigan wanayofuraha kumkaribisha Balozi wa Umoja wa Afrika kwa Marekani Mheshimiwa Amina Salum Ali kwa chakula cha jioni.

Mwenyekiti wa TAMI:
Mr. Ayub Mfinanga - (586) 354 -5479 au

Katibu wa TAMI
Mr. Ben - (248) 242 2520

Asanteni.``
 
Ina maana hamna hata remarks za uongonakweli?
 
Ina maana hamna hata remarks za uongonakweli?

Baada ya chakula cha jioni imesemwa Mkuu ana ratiba. Remarks labda ni ``tusalie chakula,`` na mwisho ``ahsanteni kwa chakula.`` Sijaona details nyingine kwenye mwaliko. Mgeni unaenda na mwaliko unavyosema:

``Saa: 12:00 Jioni (Saa za Marekani ya Mashariki): Kwa vile tayari ana ratiba nyingine baada ya chakula cha jioni, shughuli itaanza juu ya alama.

Mwenyekiti wa TAMI:
Mr. Ayub Mfinanga - (586) 354 -5479 au

Katibu wa TAMI
Mr. Ben - (24 242 2520

Mahali: Makao Makuu ya TAMI
22255 Hessel st,
Detroit MI 48219.

Asanteni.``
 
Da Amina weeeee nakuombea uvuke hicho kihunzi kilichobaki ndani ya chama chako pendwa.
 
Leo jioni tutakuwa na Balozi Ali kwenye African-American Museum ambayo ndipo atakuwa featured guest katika kuazimisha siku ya Afrika. Tunawashukuru wale wote waliofanikisha ujio wake kati yetu. Sasa tujiandae kwa ujio mwingine mkubwa wiki chache zijazo. Balozi na ujumbe wake wanashukuru sana kwa ukarimu ambao jumuiya ya Watanzania hapa imeuonesha licha ya muda mfupi wa kujiandaa na ugeni huo na sasa kuangukia siku ya kazi.

Asanteni.

How far we've come......
 
Hiyu mama alialikwa kwenye shughuli kama hii Boston, akakubali kiwa mgrni rasmi.

Akaja ki cancel last minute kwa sababu ya mkutano wa AU, mkutano ambao aliujua miezi kabla.

Ilikuwa aibu kuanza kumuombea udhuru.

She couldn't even keep a calendar. Now she wants to be president?
 
I talked about Amina and then went on to talk about Kikwete, the him is about Kikwete, who is a he last time I checked, or is there a sex change I am unaware of?

Am so impressed with your culture of digging in depth What is happening on the ground.

Of course, even her top 3 speech was so awkward, it had nothing in it (no seed at all) and unorganized speech!!

I even wondered how was she able to make it up to top 5?

Is it Zanzibarian reasons? (Members from Zanzibar must vote for her?), Islamic reasons? The Daughter of who? Bluray whose daughter is this?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom