The medium of communication is part of the communication, nikikupa mic mbovu uhutubie a stadium of 50,000 people you will not be able to even if you have the material.
Huyu mama kashindwa kazi kabla ya kuanza, huyu ndiye tunataka aende World Bank ku-lobby on behalf of Africa? Ataenda kukutana na ma wonk na wonkette wa CIA Paul Wolfowitz types akifungua mdomo tu akijiuma uma kiingereza kibovu watu wanamuweka pembeni anachezewa mind games anabakia kusema kama Kikwete "Wi niidi zis help, wi niidi zis help" bila kuja na compelling arguments.
Utake usitake mawasiliano ni muhimu sana katika diplomacy, na kama wewe unajifanya una uzalendo huyo Mwinyi mwenyewe ambaye ni gwiji la Kiswahili kashakuambieni "Kiingereza ni kiswahili cha dunia"
Balozi Ali ameshindwa sio tu kuongea kiingereza, bali pia ameshindwa kutumia option ya kuongea Kiswahili, lugha inayoheshimika sio tu Afrika, bali kimataifa pia.Kwa kushindwa kutumia option ya kutumia lugha anayoielewa vizuri na ambayo hana shida nayo, amejionyesha kuwa matatizo yake si ya lugha tu, bali hata ya decision making process, ama sivyo angepatiwa mkalimani na kuongea kiswahili, mbona Fidel Castro anakataa kuongea kiingereza kila mara, na anaongea Kihispania na kutafsiriwa, na mara nyingine mtafsiri akikosea anamkosoa, si kwamba hajui kiingereza, basi tu kaamua.
Lakini sie tunaona huonekani msomi mpaka uongee kiingereza, hata kama hukijui na unaaibisha.Kama kuna mtu anayeikweza lugha ya mkoloni ni balozi Amina Salum Ali, na wala si mimi.