Salim alikuwa Mwafrika wa kwanza kugombea Ukatibu Mkuu wa UN na kukaribia kuupata kama sio msimamo wa Nyerere kuhusu Ujamaa na kazi ya Salim aliyofanya kuuingiza China katika UN badala ya Taiwan ambayo wamarekani waliitaka.
Sahihisho halikuwa kwenye hili ... sidhani kama kuna anayepinga hili.
Narudia Mwafrika, mheshimiwa Mbunge mwenzangu kutoka chama changu, kuwa Salim was the first African South of Sahara to contest the seat to final! He was the first African actually.................. combined south and north.
OMG, OMG, OMFG, OMG,
Hureeee, hureeee, hureeee, hureeee,
Nimeteuliwa ubunge, nimeteuliwa ubunge, nimeteuliwa ubunge.
Huree chama cha Zitto kwa kuniteua mbunge, hureeeeeeeeeee.
-- Angalau sasa unatumia first badala ya only.