Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,094
- 136,674
Maana yake ni nini? Naona taratibu unaanza kupindisha bandiko
Ina maana hujui maana yake? Sasa kama hujui kwa nini ulilitumia? Kibs bana....wewe andika tu kwa Kiswahili na utaeleweka.
Maana yake ni nini? Naona taratibu unaanza kupindisha bandiko
Zitto as a young politician is a smart rising star, a charismatic leader, who can only be compared with the people of the caliber of Obama. Like Obama, Zitto is a politician, who inspires hope in the stale politics. He has been phenomenal in Tanzanian politics, just one example: Zittos motion on Buzwagi Mining and what followed thereafter ushered a long awaited new politic of patriotism in wananchis regarding their natural resources and the fight against ufisadi; something that eventually turned around the thinking and discussions in the Bunge; and perhaps lead to the falling of Ed Lowasa. But one thing that Zitto lacks is a clear trend of his politics. Zitto is a seasonal, a lukewarm politician. He does not go it all (centrist) but he goes it alone. He is neither a shrewd strategist in dirty politics like IPTL aand Doawns nor does he build political machinery around his political ambitions; and that is where he falls behind the caliber of Obamas politics. When the US Democratics primaries got tough, people thought Obama would have just given up to Hillary Clinton! But because Obama was a sharp strategist and had a very smart campaigning team, he prevailed! Zitto did not prevail in Chadema nomination! Why? Because Zitto just came from nowhere and in a very naïve way announced his candidature. He had not done serious preparations and hence it was a big flop! In fact it was a big damage to his person as a fighter and political carrier! I, as an analyst of the Chademas politics was totally puzzled by Zitto withdrawal of his candidature. It was sad that Zitto lacked the party elders support, something that left a lot to be desired in Chademas politics. But all in all, Zitto lacks a party that rears him up to the future leadership! The party that exposes him to the public, the part that molds his political ideas, the party that build wananchis trust in Zitto, the party that create an image of a matured leader, the party that nurtures his charismatic talents! And that is where the politics of Chadema goes wrong! Leaders are not only born charismatic but they are brought-up! CCM in its crude nepotism brings-up sons of Nnaue Makamba Mongela as future political leader! Chadema should nurture young leaders but not nepotism! The worse thing that could befall Zitto is to defect to CCM! CCM as it is now, is a very wrong party for Zitto! May be during Nyereres time CCM could have been a good party! Zitto is a man of his own political ideas! I cannot imagine Zitto turning into CCMs sycophant! He is a wonderful political raw material! When Chadema preferred Freeman Mbowe to Zitto, they slipped a chance to create a national leader out of Zitto! Chadema you still have a chance take it now!
Maelezo yako ni mazuri. Hapa naamini tunamjadili Zitto kama Kiongozi na pia kujipima wenyewe kwamba tungekuwa kwenye nafasi yake tungefanya nini. Kama kuna mtu ana lengo la kumwangusha kisiasa basi huyo atakuwa nje ya hii mada.
Umejaribu kumlinganisha Zitto na Obama, kitu ambacho ni kizuri. Lakini kitu kilicho wazi ni kuwa Zitto hajafanya maandalizi yake vizuri (kabla na baada ya kuingia kwenye siasa). Ningemshauri asome vitabu vya Obama, "The dreams from my father" na "Audacity of Hope". Labda vitamsaidia ili aweze kupanga upya mikakati yake (to re-strategize).
Jambo kubwa ambalo nalikosa siyo kwa Zitto tu bali kwa viongozi wengi hapa Tanzania ni kukosa "unyenyekevu na usikivu" kwa watu wanaowazunguka. Hata kama ni wadogo kicheo, umri, uwezo wa kifedha au wanadhani wana uelewa mdogo. Kiburi na kujisikia ni vitu hatari sana. Viongozi wetu wengi wanaumwa huo ugonjwa.
JokaKuu;639836]
..Zitto hakueleza faida, kama zipo, za kununua mitambo chakavu ya Dowans, badala ya mitambo mipya ambayo wabunge wenzake walikuwa wanapendekeza.
Huku ndiko kunaitwa kujistukia. Ni lini Zitto amewahi kusema ama hata kuwataja hao kina Mwakyembe? Yaani waboronge kwa faida na nafasi zao kisiasa halafu waanze kutafuta mchawi wa makosa yao?.halafu ukiangalia ile statement ya Zitto ni kwamba alikuwa anajaribu kuwabebesha lawama za mgao wa umeme Mzee Shelukindo, na wenzake, ambao walimpinga Zitto na Dr.Rashid kuhusu ununuzi wa mitambo ya Dowans.
Yaani ninyi kama kitu hakijaandikwa magazeti basi ni lazima hakikufanyika? Uliwahi kuhudhuria vikao vya kamati yake na Tanesco ama Wizara ya nishati ama hata BOT na ukaona kuwa Zitto hajawahi kuhoji hayo maswali? Hivi pia unadhani matatizo tunayokumbana nayo sasa yataisha kwa kununua mitambo ya kuzalisha umeme halafu basi. Unajua mchakato wa ENERGY BILL ulivyokwenda na nini kinaendelea kuhusu NATIONAL ENERGY MASTER PLAN pamoja na masuala mengie ya KISERA? Je umejaribu kufuatilia nini mchango wa Zitto katika hayo yote?..kama Zitto angekuwa mwanasiasa makini, na mwenye kutetea maslahi ya wananchi, basi angekuwa wakwanza kuwahoji Tanesco na serikali kuhusu hatua wanazochukua/walizochukua kutuepusha na mgao ukizingatia kwamba mitambo ya Dowans were off the table.
Again, acha uzandiki na kujistukia....Lini alisema hayo? Yaani mtu kueleza hatari zinazokumba taifa na kutoa mawazo yake jinsi ya kulishughulikia suala hilo kama alivyofanya Zitto wewe ulichoweza kusikia ni maneno yasiyokuwepo...kitu cha kushangaza ni kwamba Zitto amesubiri mgao uanze halafu anatokezea na kudai " I told you so."
Hivi kati ya Zitto na hao MASIHA FEKI wenu ni nani ameishia kuwa distraction? Yaani anayekuja na maoni ya jinsi ya kushughulikia tatizo na anayekuja na msemo wa tukae na giza ili mradi adui wao ndani ya chama chao asiweze kufurukuta kama wanavyodai wao, yaani nchi isimame hadi hapo watakapomalizana wao, ni nani anaplay politics of distraction?..binafsi nadhani badala ya ZITTO kutumia nafasi yake kutafuta suluhisho la matatizo yanayoikabili Tanesco ameishia kuwa a DISTRACTION kutokana na kauli zake zisizo na kipimo.
Acha mitizamo ya kuna uwezekano, unashindwa kufanya utafiti wa kujua anayoyafanya, basi hata hili la kujua marafiki ama washauri wake unashindwa kulifanya? Do ur work ndugu, hapo ndipo tutakuwa na mamia ya kina Zitto ......kuna uwezekano Zitto amezungukwa na wapambe[yes men and women] ambao hawamsaidii ktk kupima uzito wa matamshi anayoyatoa.
..vilevile huku mitaani apunguze kutoa matamshi kama yeye Zitto, badala yake azungumzie msimamo wa chama chake.
May be I should twist the wind this way. Why are we seeking for Zitto to conform to our desires and needs rather than us conforming to his leadership syle and personality?
.
Sasa kama chama chake kimekosa uthubutu ama kimegubikwa na ugoigoi wa kimikakati ama wameamua kuchukua hoja nyepesinyepesi kama ufisadi tu ambayo tayari wameshanyang'anywa, bado tu unataka kumlazimisha asubiri misimamo yao.
QUOTE]
Chadema bado hamjavunja kambi zenu za uchaguzi, vunja kambi zenu mjenge chama.
Zitto akitaka kufanikiwa lazima afanye kazi kama team moja na chama chake.
K4jolly;640668].
Sasa kama chama chake kimekosa uthubutu ama kimegubikwa na ugoigoi wa kimikakati ama wameamua kuchukua hoja nyepesinyepesi kama ufisadi tu ambayo tayari wameshanyang'anywa, bado tu unataka kumlazimisha asubiri misimamo yao.
Chadema bado hamjavunja kambi zenu za uchaguzi, vunja kambi zenu mjenge chama.