Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 846
- 515
Cha kufanya
1. Hakikisha na followers wa kutosha insta.
2. Pendelea sifia sifia mwenye mamlaka
3. Jiasosieti na akina Steve nyerere na Wala wabongo mavi
Mengine utachanganya na akili yako
Cha kufanya
1. Hakikisha na followers wa kutosha insta.
2. Pendelea sifia sifia mwenye mamlaka
3. Jiasosieti na akina Steve nyerere na Wala wabongo mavi
Mengine utachanganya na akili yako
umemaliza mkuu, ivi KOPA GAS mmiliki ni nani ChiefUnataka nifanye sensa kwamba wasomi wangapi wana mafanikio ?
Huyo Bakheresa umeshapita kwenye website yake ( bakhresa.com ) uone wanaoendesha makampuni yake wana elimu gani na wamesoma wapi ?
Kwa taarifa yako angekuwa yeye ndio bado yuko front kwenye uendeshaji mpaka sasa angekuwa anaendesha Azam mgahawa.
Musukuma ni mtu aliepata bahati nasibu kwenye dhahabu, kitu ambacho kingeweza kumwangukia mtu yeyote bila kujali elimu yake.
Lakini utajiri wa kisomi kama wa Co-founder wa Kopagas hauwezi kuanguka kwa mtu kama Musukuma.
Usiseme watu, ukajitoa. Jiweke na wewe. Lkn hoja yangu ni kwamba toeni sababu za msingi. Vinginevyo mnadhalilika tu hapa.
Mwenzenu anashona suti akijiandaa kuapishwa. Huku mnaojiita wasomi mliopitia form 6 Kisha mkaenda vyuo mkitokwa povu midomoni.
Huyo Mchopanga kasoma huko Kenya au AK ?Kenya ni nchi ambayo haina system ya kidato cha sita. chi nyingine ni Afrika Kusini (Ina vidato vitano). Unasemaje juu ya hilo? Pia kuna nchi zingine huwa zina bridging programme za mwaka mmoja kwa wale wanaotaka kusoma shahada za kwanza, unasemaje juu ya hilo?
Anaitwa Andron Mendes ila alishaiuza kampuni.umemaliza mkuu, ivi KOPA GAS mmiliki ni nani Chief
Wewe na Mchopanga nani yuko huru zaidi?
Kwa taarifa yako Mchopanga ndiye msomi zaidi kuliko wewe uliyepita form 6 na kwenda chuo.
Amekuwa huru kiasi kwamba akaweza kuchangamana na wakubwa mpk ameteuliwa kuwa DC.
Sasa yuko huru kifikra, kijamii na atakuwa huru zaidi kiuchumi baada ya kupata uDC.
Mkaruka vipi mkuu? Huwezi kuwa huru kama una njaa ya tumboni ama mfukoni.
ahaah, mtifuano wenu si wa kitoto, nipo hapa kuangalia msije kushikana mashatiNani kakwambia mimi nina njaa ?
Mwenye njaa yuko huko anazurula na kutoa toa macho huku akisifia wanaume huko Lumumba kutafuta chochote.
Mimi ni complete free human creature.
utakuta wengi wao walikosa sifa za kujiunga na vyuo vikuu vyetu, hivyo vya huko India ni sawa na TEKUUkiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.
Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
OkayAnaitwa Andron Mendes ila alishaiuza kampuni.
Exactly. Ni bora mtu akasome South Afrika, Kenya au Uganda kuna unafuu.utakuta wengi wao walikosa sifa za kujiunga na vyuo vikuu vyetu, hivyo vya huko India ni sawa na TEKU
Uko sahihi kabisa.Kenya ni nchi ambayo haina system ya kidato cha sita. chi nyingine ni Afrika Kusini (Ina vidato vitano). Unasemaje juu ya hilo? Pia kuna nchi zingine huwa zina bridging programme za mwaka mmoja kwa wale wanaotaka kusoma shahada za kwanza, unasemaje juu ya hilo?
Mkuu, kwenye nchi nyingi kuna vyuo vizuri na vibaya.Ukiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.
Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
Mkuu haya matokeo umeyapata wapi maana miaka ya 2005 hayakupatikana Online??Samahani Mkuu huyu bwana mbona alimaliza pale Tambaza 2005 na alifanya vizuri tu.
0912 MJUMA ISSA 7 I GENERAL-S HISTORY-A KISWAHI-C ENGLISH-C
ELIMU sio sifa ya pekee ya UDC
Soma alama na nyakati mkuu
Yapo mkuu ingia hapo maktaba.tetea.org utayapata kuanzia mwaka 2005 na kuendelea jamaa upande wa shule naona alikuwa anajitahidi sana.Mkuu haya matokeo umeyapata wapi maana miaka ya 2005 hayakupatikana Online??
Lakini zamani zilikuwa namba tu, ninavyojua ?Yapo mkuu ingia hapo maktaba.tetea.org utayapata kuanzia mwaka 2005 na kuendelea jamaa upande wa shule naona alikuwa anajitahidi sana.
Tumpe muda na imani atafanya vyema na vile Rorya bado ni changa tuondoe hofu kwake.
Ukitaka ajira unaweza kuajliwa bila sifa za vyeti. Ukitaka masomo kuna sifa za chini zinazohitajika. acha mifano isiyoendana na kinachojadiliwa, hizo ni bhla! bhla! Kama unafuta mfumo wa TZ lazima ufuate hatuia za masomo zilizopo. Huwezi kuingia digrii , ukitokea form 4. Form 4 yetu inajulikana ubora na udhaifu wake. Ukitaka mfumo wa Kenya ni tofauti na wetu. Tusidanganyane!Mnashangaa kitu gani?
Kwani kusoma chuo kikuu mpaka usome Form Six?
Prof Mwandosya Mark J, hakusoma Form Six, Bali alisoma DIT Halafu akaenda udsm baadae Aston university
Wahindi kule Posta watoto wao wanasoma ulaya vyuo vikuu vya dollar 50,000 kwa mwaka walisoma form Six?
Wahindi wangapi wanafanya kazi Agha khan na Muhimbili tena mabingwa lakini mbona hawakusoma Form Six
Kenya wanaishia Form Four na kwenda chuo kikuu
Mimi niliwahi fanya kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu na Nilimpata ajira rasmi bila hata matokeo ya mwaka wa pili,
Watu wanaangalia uwezo wa Mtu sio cheti
Kuna vyuo unafanyishwa mitihani kabla ya kuingia ukiweza hata ukiwa darasa la saba Unaanza masomo
Elimu hii ya Form Six ni kuwapotezea watoto muda na maisha ya kutafuta Pesa tu
Miaka miwili Form Five na Six, Mtoto anaweza kujifunza utaalamu wa programming na akawa nguli
Miaka miwili inatosha mtoto kusoma Software mbalimbali na kuwa nguli
Form six ni mfumo wa Uganda na Tanzania wa kishamba sana
Ukiwa na pesa na upo vizuri mtoto unamsomesha kuanzia chekechea ulaya unalipa dollar 60,000 kama Milioni 120 Kwa mwaka
Ukiwa na pesa huna haja ya kusoma elimu yetu hii ya kitanzania ya kupotezeana muda,
Mtoto akimaliza Form Four unamtafutia College Marekani au Uingereza anajifunza mambo ya maana hata mwaka baadae unamlipia chuo kikuu huko huko
Angalia wahindi kule Posta na ni matajiri jinsi watoto wao wanavyokuwa smart kichwani baada ya Form Four, Mtoto anapelekwa college ulaya bei dollar za kutosha
Wabongo tatizo pesa, Watanzania wachache wana uwezo wa kumlipia mtoto ada Milioni 200 kwa mwaka au Milioni 100 kwa mwaka
Watanzania Tuendelee na Bodi yetu ya mikopo huku tukilia lia Retention fee
Ahaaaa
Lakini zamani zilikuwa namba tu, ninavyojua ?
Lakini jamaa anaitwa Juma Issa Mchopanga.
Alimaliza Tambaaza mwaka 2005 ndiye yeye mtaalamuLakini jamaa anaitwa Juma Issa Mchopanga.
Wewe umejuaje huyo Juma Issa ni yeye kwasababu kina Juma Issa wapo kibao tu.