Haiko hivyo dada Faiza. Biashara zina taratibu/masharti yake. Mengi yanakiukwa huku mitaani, sema maofisa biashara na afya wanafumbia macho. Kama yafanyikayo yanafanana na yale ninayoyaona SUGAR RAY pale SOKOTA TEMEKE ni vyema viongozi wenye DHAMANA na MAMLAKA wakachukua hatua. Vinginevyo kuna siku wazazi na wakazi wastaarabu watajichukulia sheria mkononi. Yaani ni UCHAFU dada yangu FAIZAFOX!!Hao wanamtafutia pesa nyingi za haraka mwenye hiyo bar.
Atawadai mahakamani gharama za kufungiwa biashara yake na atashinda.