DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

Wanajua kuchoma nyama sana.

Sijui na pale watapafunga duh! Kama wadada wanao jiuza itabidi maeneo mengi ya sinza yafungwe pia. Hata kule nyuma kwenye hotel zile mbili napo itabidi hii kitu iwahusu, tofauti na hapo, wilaya iangalie namna ya kukabiliana na hao wadada wano fanya biashara ya ngono, tofauti na kufungiana biashara
 
Makahaba wanaojiuzia katika bar hio rasmi wanaisoma namba. DC Hapi usingekua wa chama cha majambazi ningekupongeza.
Pole...
Ila hata wakiamia kisarawe watu watawafuata tuu
 
Duuuh hii ni kukurupuka kwingine tena! Hii bar imesajiliwa rasmi na inalipa kodi na imeajili Watanzania wenzetu! Hao wanajiuza hawajapewa ruksa na mwenye bar! Mkuu wa Wilaya kama alitaka kuondoa biashara haramu pale ashirikishe viongozi wa Serikali za Mtaa na viongozi wa vyombo vingine vya dola lakini si kumfungia biashara Mtu mwenye vibali halali kuendesha biashara ya bar
 
AMRI
Hapo tumeongeza tatizo au tumetatua tatizo?? Kwani kazi ya jeshi la polisi si ni ulinzi na usalama? Wameshindwa kufanya kazi yao kwenye hayo mazingira ya kona bar?

Kupotezea watu vipato kwa maamuzi ya kijinga ndo sera za hii awamu!!
 
Umeongea usichokijua ndugu.

Mwenye bar kama hataki Malaya kwenye bar yake huwakuti. Wenye bar ndio huwaruhusu Malaya wawepo ili Malaya wakiume wajazane pale
Acha uboya ww hao Malaya wanauzia nje ya bar tena wala sio eneo lake
Je anawezaje kuwafukuza watu waliopo kwenye barabara?
kwanza unamjuaje mauza K?
 
Makahaba wanaojiuzia katika bar hio rasmi wanaisoma namba. DC Hapi usingekua wa chama cha majambazi ningekupongeza.
Hata mimi ningempongeza,ila kwa kuwa wanabadilika badilika, kesho wataifungua tena
 
Biashara ya ukahaba ipo tangu Kristo anazaliwa, anyway hongera kwa kujaribu lakini ingawaje makahaba nao wana njia mpya kila siku
 
Machangudoa ni muhimu kwasabau wanapunguza vitendo vya uhalifu na ubakaji, pia ni tendo muhimu kwa afya na akili
Machangu ni "sewage system ya human waste" (mfumo wa maji taka)

Ni vizuri wakawekwa chini ya Dawasco-mamlaka ya maji safi na maji taka
 
Back
Top Bottom