DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

Hajanifurahisha gapo mheshimiwa DC. Kilikuwa kijiwe changu cha kusuuzia macho hicho. Na mara kadhaa niliweza kusuuza rungu hapo
 
Duuh sasa hao wauza uchi huwa wanalipishwa tozo na wamiliki wa hiyo bar au wanachukua malipo yao yote kama wanachukua malipo yao ufanyike mpango wa kukamata hao wahusika sio kufungia biashara,wengine labda huja ksma wateja na huja kwaajili ya biashara hiyo sasa unadhani mmiliki wa bar anawezaje kujua huyu muuza mbunye na huyu siye?
 
huwa sipeni kujibu kauli za kitoto kama hizi ila naona tu kwa leo nikujibu

wakili mahakamani kwa mtuhumiwa ni sawa tu a dereva bodaboda....kama unataka uwende sehemu fulani anakupeleka bila kujali chama chako wala nia yako ya kwenda huko. ilimradi tu umpe chake.

najua una muongelea TL kwa kumtetea WS ndo kazi yakena ataifanya mpaka mahakama itakapo toa tamko.

tuwe waelewa.
 
Dar es Salaam. Baada ya malalamiko kuzidi kutokana na kuwapo biashara zisizo rasmi katika baa maarufu ya Corner, sasa baa hiyo imeamriwa kufungwa.

Akiwa katika ziara ya kawaida leo (Jumamosi) mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amemuagiza Ofisa Biashara wa Kinondoni, Mohamed Nyasama kuifunga baa hiyo.“Hatuwezi kuvumilia vitendo hivivikaendelea kufanyika huku tukiwa kimya...

natoa agizo kesho nendeni kaifungieni hiyo baa kwa kuwa inakiuka maadili,”amesema Hapi.

Hata hivyo Nyasama amesema walishaitoza baa hiyo faini ya Sh 300,000 kwa kosa hilo.“ Mkuu hii baa ni sugu, nimeahawahi hata kuipiga faini na bado imeendelea na utaratibu huo huo wa kuruhusu kina dada kujiuza.


Kwa amri yako mkuu naanza taratibu za kuifungia leo, hadi kufikia keshoitakuwa tayari,” amesema.

Chanzo : Mwananchi Online
Hivi tamko la Waziri wa Afya la kuwakamata machangu na wateja wao liliishia wapi?
 
"...Siku haya matamko yatakapozingatia sheria,haki na wajibu tutapiga hatua..."
Corner Bar inafungiwa leseni ya biashara kwa kosa gani? Maadili ni nini? Kihistoria hii ndio vita ngumu zaidi kutaka watu wafuate maadili kwa tafsiri ya serikali.
Jamii ifundishwe kutoka katika level ya kifamilia na sio huu mlolongo wa maagizo kwa kichwa cha maadili.
Mbona hao dada poa wapo kwenye pub na bar nyingi huku Masaki na Oysterbay.....au huku sio wilaya ya kinondoni?
Siungi mkono hii biashara lakini tusiumize wengine kwa kushindwa kuwawajibisha wahusika.
Biashara ya ngono ipo maofisini, vyuoni na maeneo mengine tofauti ni "packaging" ya bidhaa tu.
 
Uzuri wa hii biashara wateja uwa hawaguswi na serikali!
Wateja wao hawapendi usumbufu wa kupiga sound, kupigwa mizinga, kununua bia+ vyuku, na guest, na hela ya nauli juu. Kwa wastani ili umpate dem wa kawaida andaa laki
 
The current tendency tunaanza lalamika sisi humu JF ikifanya govt tunarudi kuilalamiki govt JF 90% Ya nYuzi ni malalamiko tu
 
Hao wanamtafutia pesa nyingi za haraka mwenye hiyo bar.

Atawadai mahakamani gharama za kufungiwa biashara yake na atashinda.
 
Nisipigwe mawe kwa hili!! Bar za namna hii zikiwa mtaani kwenu ni shida na kero kubwa. Ni hovyoo na kichefuchefu kama si aibu kwa watu wastaaribu. Labda cha kujiuliza hapa viongozi wa mtaa na diwani wao walikuwa wapi?? Naamini DC ame-react kutokana na malalamiko ya wakazi kuhusu kero ya yatendekayo katika bar hiyo. Afisa biashara ndiye anayetoa leseni za biashara zikiainisha masharti ya uendeshaji. Kama yanakiukwa na ikathibitika ana wajibu na uwezo wa kunyang'anya leseni hiyo na biashara ikawa si halali kuendeshwa. Aliyewahi kuyaona yafanyikayo lazima ataelewa kero za biashara za namna hii hususani kwenye makazi ya watu!!!
 
Mbona bar nyingi Jamani njoo huku tabata watoto wameharibika kuuxa **** kweupe
 
POOR LOGICS... viongozi wasio na maono /
N.B;- DHIBITINI HAO MALAYA KWANI WAMELISHINDA JESHI LETU?...
•AJIRA NGAPI MTAKUWA MMEZIFUNGA.?...
 
Back
Top Bottom