DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

Mida hii Nimepita corner Bar nimekuta watu wanapiga bia Kama kawaida. Nitapita tena usiku kuona Kinachoendelea na nitakuja na mrejesho. Sidhani kama hili agizo litatekelezeka!!!
 
Mida hii Nimepita corner Bar nimekuta watu wanapiga bia Kama kawaida. Nitapita tena usiku kuona Kinachoendelea na nitakuja na mrejesho. Sidhani kama hili agizo litatekelezeka!!!
iko sehm gani namimi nikapate bia uku naangali kitu roho inapenda..
 
Mida hii Nimepita corner Bar nimekuta watu wanapiga bia Kama kawaida. Nitapita tena usiku kuona Kinachoendelea na nitakuja na mrejesho. Sidhani kama hili agizo litatekelezeka!!!

We jamaa haujatudukua kapicha? Manaake nipo nashusha lite toka saa tatu hapa. Ushaharibu chimbo sasa wacha nikajifiche Hongera
 
Watetea maovu chadema, watatetea
Nahitaji msaada wa ufafanuzi juu ya ushiriki ama uhusika wa bar: kama inahusika, maeneo yafuatayo nayo yapewe tuzo sawia: mlimani city, baa za buguruni, kwasokota, mbagala, name them
 
Hawa jamaa wanajua kucheza na kichwa cha mkulu,,,,,ukiona matukio tuu,,tayari kuna jambo linatarajiwa kutokea.

Hapo ni kukaa mguu sawa,na kuonyesha uwepo wako.
 
Kama bar ni ngum kuzuia biashara ya ngono. Walewale wahudum na wateja ndio wauza uchi. Utafukuza mteja kisa kavaa kichupi wkat pale n mahali pa starehe.
Ila awam hii biashara ya ngono imepunguzwa kwa kiasi kikubwa.Hongereni wahusika
 
acheni machangu wafanye yao la sivyo watahamishia uchangu online si unajua kuna mambo ya halichachi
 
Duh sidhani kama ni sawa. Hapa alipaswa adili na viongozi wa mtaa maana mitaa yote na barabara zote unawakuta hawa wadada na sio kwenye file bar. Nadhani wanapaswa kuliangalia hili suala la sivyo itakuwa ni fitina za biashara
 
jaman mm naomba kuuliza uwanja wa fisi uko wapi?? yan hili jina linanitariza mno ..je ni uwanja kama uwanja wa wazi na kama n manzese n upande upi??
Mkuu Kama Una mpango wa kutembelea eneo hilo hata usithubutu, Mimi mwenyewe wakati nasoma kozi ya labor economics: Compensating wage differentials and job amenities (health insurance and job market), biashara ya ukahaba ikawa case study, sasa Mimi Si nikataka kufanya study tour pande hizo!, bahati nzuri kabla sijatia ngwara zangu huko niona documentary you tube inayohusu uwanja wa fisi,Kuna clip inaonesha jamaa mmoja mgeni mitaa hiyo anatindiliwa mtama wa maana mchana kweupee Na kupururwa nguo zote Na watu wengine wanaendelea Na shughuli zao Kama kawaida, nikaapa huko sintakanyaga japokuwa wanadai eti siku hizi kumestaarabika. Bado sijashawishika!. Waswahili wanasema "Mjaa Asili, Haachi Asili!".
 
Back
Top Bottom