FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,916
Tena asiambiwe maana lengo lake limeshafahamika.., hahahahahah..!Hatukwambii,tumeshajua lengo lako!!!!
Tena asiambiwe maana lengo lake limeshafahamika.., hahahahahah..!Hatukwambii,tumeshajua lengo lako!!!!
Mbona hili halijaenda Meeda Bar? Au siku hizi pale biashara hii haipo tena?Inayojiuza ni bar au watu? kwanini wasiwakamate wanaojiuza? kwanini na ile mitaa maarufu ya machangudoa isifungwe? mwenye bar akisema ni chuki binafsi DC atakataaje?
.Natoa agizo kesho nendeni kaifungieni hiyo baa kwa kuwa inakiuka maadili,”amesema Hapi.
Mheshimiwa Taylor9119 tafauti na watalii wa ndani vilvile uchumi wa kinondoni utaporomoka kutokana na maneneo yanayotinga twenty four seven ndani ya jiji ni pamoja na pale pale.Corner Bar ni kivutio cha watalii wa ndani...kiheshimiwe please
next door pale hata ukienda na mume wako ukikaa vibaya wanamuibaNaomba zifungiwe Bar za Element ,Wantashi , Jolly , Gorverners , four ways ya Kakaa, Breakpoint makaburini otherwise hakutakuwa na standard hapo.Kwa DC anayehusika na eneo la chang'ombe kuna hii Bar kama unatoka maduka mawili kuja keko magurumbasi bahati mbaya nimeisahau jina
Huyu dogo mbona naye ni kajipu.sema kanajiivia taratibuHii sio amri halali. Unawafungiaje kisa kuna machangu? Hawa vijana sijui Dr. JPM aliwaokota wapi?