DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

Hii serikalini inajipiga kitanzi yenyewe , hayo ni maeneo ya halmashauri kujipatia mapato kwa kuwatoza tozo mbalimbali na faini kila wanapokiuka utaratibu. Hapo ni kuongeza kiasi cha faini kila wanapotenda kosa.
 
hawa madada poa si walipewa vitambulisho vya kupiga kula?

Navyo wanyan'ganywe
 
Huyu DC na mwezake yule Kipara na yule spika enzi hizo wakisoma walikuwa wateja wazuri wa hiyo huduma..
 
Watafunga corner, Malaya watahamia catalunya.. Nayo ikifungwa watahamia Atriums.. Nayo ifungwe tuone..

[HASHTAG]#kunywaMajiMwanangu[/HASHTAG]
 
kwani leseni ya corner bar imespecify biashara gani?kama ni bar nazan wana haki yakutobagua wateja wao
 
Mkuu hebu tueleze zaidi maana wengine ni wageni na hizi habari
Mmiliki wa corner bar mwenye ni mmoja wa watu wa kijitonyama kwenye fensi kubwa sasa hiyo ngoma hapi ajiandae kuicheza
 
Ahata guest house zilizopo kwenye makazi ya watu zifungiwe jaswa zinazojengwa kwa sasa zinaharibu watoto sana
 
..ubinafsi umewajaa hawa vijana wa ccm...yeye hapi anasahau kuwa hata wenzake vijana huenda hapo corner bar kuokota mizigo(hata kwa kutuma madalali/pimps.....yeye kwa kuwa hafanyi hivyo ubinafsi wake unaona wafanyacho wenzake ni kosa...
 
Dar es Salaam. Baada ya malalamiko kuzidi kutokana na kuwapo biashara zisizo rasmi katika baa maarufu ya Corner, sasa baa hiyo imeamriwa kufungwa.

Akiwa katika ziara ya kawaida leo (Jumamosi) mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amemuagiza Ofisa Biashara wa Kinondoni, Mohamed Nyasama kuifunga baa hiyo.“Hatuwezi kuvumilia vitendo hivivikaendelea kufanyika huku tukiwa kimya...

natoa agizo kesho nendeni kaifungieni hiyo baa kwa kuwa inakiuka maadili,”amesema Hapi.

Hata hivyo Nyasama amesema walishaitoza baa hiyo faini ya Sh 300,000 kwa kosa hilo.“ Mkuu hii baa ni sugu, nimeahawahi hata kuipiga faini na bado imeendelea na utaratibu huo huo wa kuruhusu kina dada kujiuza.

Kwa amri yako mkuu naanza taratibu za kuifungia leo, hadi kufikia keshoitakuwa tayari,” amesema.

Chanzo : Mwananchi Online
Daaaa sasa anataka kuwaua njaa kina Mudawote
 
and she dare call her self DC?????!!!!!!
ila sishangai coz matamko hasi ni kawaida yao
 
Back
Top Bottom