DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

Mwaka huu watu watalipwa fidia sana maana kila kiongozi hivi sasa anajifanya ni mwanasheria .
Kwahiyo unataka kusema hii nayo deal? Wamekubaliana na business owner afungiwe halafu zikipatikana za mahakamani wanagawana?
 
Naamini wengi wanaotetea hawajui hata hiyo bar ikoje au wanapenda maovu ya humo.
 
Hii sio amri halali. Unawafungiaje kisa kuna machangu? Hawa vijana sijui Dr. JPM aliwaokota wapi?
Ndio hapo, utathibitisha vipi kama mtu anajiuza au la? Kusema tu wanaruhusu haitoshi, maana kila mtu anaenda kwa starehe zake na hakuna anaejibandika tangazo kwamba anajiuza, sasa yeye mwenye baa atazuiaje, ni jukumu la polisi kuzuiabhiyo biashara, jukumu la mwenye baa ni kulipia leseni na kodi stahiki
 
Dah.....mambo mengine.ni ngumu kumeza....hizo mambo zipo miaka yote....kwa binadamu ngumu, ngumu kuzuia...cha msingi ni kutoa elimu, kuwataka hao wadada wajiunge kwenye vikundi..wawezeshwe kidogo....etc....kufungiana biashara ni kuuwana na presha aiseee.....
 
Bajeti ya serikali yategemea kodi, mlipa kodi anamtegemea serikali kupata mazingira wezeshi km usalama nn.

Kistaarabu hawa watu wanategemeana lkn kwa malaika ni tofauti,

Hapo kulikua hakuna kufunga ni serikali kuangalia alternative
 
Da hii nchi bwana,bar ikifungwa serikali inakosa mapato,ajira inapotea namba zinazid kusomeka,supplier wa Vinywaji ashakosa hela mzunguko wa biznes unapungua,muuza kuku Na viaz anaisoma namba.solution Ni kuzuia machangu wanaozagaa nje.Ukisema corner bar ifungwe bas la chaz ufunge,igo ifungwe,toroka uje,kwetu pazur etc.etc.huwez control au zuia hii biashara,mjipange!
 
Sasa hivi ukitaka kumuondoa mpinzani wako kwenye business unacollude tu na viongozi hawa. Kesho yake tamko la kumfungia mtu lazima litoke. Sijui twaelekea wapi.
Kwani inamilikiwa na nani kutoka upinzani maana pale ni mwisho aisee.
 
Back
Top Bottom