Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,942
- 157,270
Mbunge na madiwani wako sahihi, yeye alifanya kama mfadhili hivyo akomae.View attachment 1939573
Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi ya Madiwani tuliowachagua wanajipanga kumkwamisha.
Wanadai maamuzi ya kukopa ni yake binafsi hivyo wao hawatahidhinisha ili hilo Deni lilipwe na Halmashauri hivyo itabidi alilipe yeye binafsi
Pesa za serikali hazifanyiwi maamuzi na mtu mmoja