DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

Wazo lako ni kwamba jamaa anategemea mshahara tu vp wakati sio DC alikuwa anaishi vp?

Vp iyo nafasi haina posho na mazagazaga mengine hadi ategemee mshahara tu.
Kama anakatwa Tsh. 2.8 kati ya 3.1 anajikimu vipi huyu mtu? Tungekuwa na Mamlaka za Uteuzi zenye akili huyu Bwana alipaswa akamatwe ajieleze huu utopolo alioongea.. Ila hapa kwetu tusishangae akapewa u-RC kabisa.
 
Wazo lako ni kwamba jamaa anategemea mshahara tu vp wakati sio DC alikuwa anaishi vp?

Vp iyo nafasi haina posho na mazagazaga mengine hadi ategemee mshahara tu.
Nime assume kuwa hayo majukumu mengine yaliyokuwa yanamwingizia kipato kwa sasa ameyaacha na anautumikia Umma..

Marupurupu pekee hayatoshi pia.
 
Hata siku moja usimwamini mwanasiasa.

Kama ameamua mkopo wake liwe jambo la wazi, aweke hadharani executed term loan / loan agreement tujionee kwa macho yetu.

Na pia collateral gani ameziweka ku secure huo mkopo?

Mkopo ni wa muda gani?

Kama amekuwa guaranteed na kazi yake, vipi akitenguliwa kesho?
Au aseme wazi ni uwekezaji wake binafsi. Hayo mabanda ni ya kwake anawapangisha wamachinga. Na huu ndio ule ukabaila tuliofundishwa sisi tuliosoma shule ya msingi miaka ya 70 na 80
 
suala la mkopo lina utaratibu, iweje mkopo binafsi, deni lilipwe na Halmashauri?
au kama vp kodi itakayokusanywa ilipe deni. sijui kama kuna maujafanja mengine.
 
Back
Top Bottom