Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Nihuzuni kubwa sana zike mbwembwe na mikogo hatuto zisikia tena now and 4Ever. Lile neno Mungu hadhihakiwi na chochote apandacho mtu ndicho avunacho zimetimia.
 
Kikubwa kilichomponza ni laana ya wale wote aliopata kuwafanyia mabaya ikiwemo tukio la kwenda Dodoma na akina cyprian Musiba Le mutuz na wengineo akina Nyaulingo na Heri kisanduku wakamtandika risasi Tundu lisu, na kibaya zaidi anamtumia Le mutuz kubwa jinga kama mshauri wake mkuu, na kwenda huko Kigamboni ni ushauri wa Le mutuz ili apate pesa za kusimamia kampeni yake, Daud Bashite kapotoshwa na wapambe njaa japo ana laana nyingi toka kwa wote aliowafanyia mabaya
Yatampata makubwa zaidi siku zinakuja.
 
Paaap! Mara kaupata ubunge wa kishindo. Huyoooo hadi mjengoni. Mara Paaap! Ndungia kakataa kugombea usupika, halafu kabaki yeye tu kuapishiwa usupika. Ndugu yangu mleta hoja utaficha wapi uso? Au, mara paap! Ndiye waziri wa Mambo ya nje njeee kule ni kusafiri tu hata kuwakilisha kwenye mazishi si unajua tena?? Utauficha wapi uso?? Nakuhakikishia, hatakaa aliye
 
Le mutuz kala advance anaenda kuleta utitiri wa waganga wa kienyeji wa kutosha mpaka wahakikishe Bashite anakuwa mbunge na waziri tena wizara zenye vyombo vya dola hawataki wizara zingine
Mtu kama huyu utasema ana akili timamu kichwani? Au ni kufikiri kwa kutumia minyoo. Ubongo uliojaa minyoo ya nguruwe.
 
Ila na wewe mtoa madam mmmmmh,eti laana ya Mtumishi wa Mungu,yaani Gwajima huyuhuyu aliyekuwa anaweka camera vizuri ndio was kutoa laana kwa mtu?ngumu kumeza
 
Wengine wametumia msemo maarufu Wa mjini wa siku hizi, "Mwana kulitafuta, mwana kulipata".

Lakini wengine wameenda mbali zaidi na kukumbuka maneno aliyoyasema Gwajima kanisani kwake kwamba "Nimemfuta Daudi Albert Bashite kwenye uongozi na siasa hapa Tanzania mpaka atakapokuwa ametubu". Hata wale ambao waliyapuuza yale maneno wameanza kuamini kumbe maneno ya mtumishi wa Mungu yanaweza kumpata mtu

Wengine wanajiuliza inawezekanaje rais atoe onyo kwamba wateule wake walidhike na nyadhifa walizopewa halafu mtu akapuuza? Kwamba imekuaje mpaka akapuuza maneno ya rais? Na kwamba labda ile laana ya Gwajima imemfanya asahau.

Wachambuzi wengine wamesema, wakati wa uongozi wake, ilikuwa akipatwa jambo anaenda kuomba kanisani wamwombee na kulia machozi huko, sio mara moja. Sasa kwa sasa ni raia wa kawaida, je ataenda kumlilia nani?

Kwako Mwalimu Kashasha.

View attachment 1508501
Wewe akili huna au unaona sentimita moja tu mbele ya macho yako.HAYA MAMBO YAMEPANGWA YAKAPANGIKA.
 
Makonda asipopata ubunge au akiwa raia tu wa kawaida, nini kinaongezeka kwenye maisha yako ya kila siku.
Wewe ukisikia kibaka mkabaji mtaani kafa au kafungwa nini kinaongezeka katika maisha yako?
Ukipata jibu nitag!
 
Kikubwa kilichomponza ni laana ya wale wote aliopata kuwafanyia mabaya ikiwemo tukio la kwenda Dodoma na akina cyprian Musiba Le mutuz na wengineo akina Nyaulingo na Heri kisanduku wakamtandika risasi Tundu lisu, na kibaya zaidi anamtumia Le mutuz kubwa jinga kama mshauri wake mkuu, na kwenda huko Kigamboni ni ushauri wa Le mutuz ili apate pesa za kusimamia kampeni yake, Daud Bashite kapotoshwa na wapambe njaa japo ana laana nyingi toka kwa wote aliowafanyia mabaya
Daudi Albert Bashite ndiye Mbunge wa Kigamboni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom