Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Jamaa kuwa mkuu wa mkoa ilikuwa ndio position nzuri kwake kujidai

Huku anakokwenda sidhani Kama atafunika

Na Kuna wale alliwaumiza kwa "mitikasi" Yao hawajamsahau na "hawatamsahau" kamwe



Sent using Jamii Forums mobile app
Le mutuz kampelekea Bajeti leo wanaijadili ni pesa za kwenda kumletea waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali Duniani wakiamini watamsaidia kurejesha imani toka kwa mtukufu na kumsaidia kupora jimbo kisha kuwa mbunge pasipo kujali kuwa siyo chaguo la wapi kura, wakimaliza hapo inafanyika kazi mpya ya kuhakikisha Daudi Bashite anakuwa waziri wa Nchi ofisi ya Rais utawala bora au waziri wa mambo ya ndani au hata waziri wa Ulinzi hataki wizara isiyo na chombo cha dola, anazitaka wizara nyeti pekee na endapo itashindikana anataka awe Naibu spika baada awe spika kamili, hizi ni ndoto na malengo ya Bashite kwa mujibu wa msiri na mashauri wake mkuu Le mutuz.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata amelipata alilolitafuta laana bado inamsonga adi atubu uyo
 
Kwahiyo nikikutana na bashite leo si naweza hata kupiga singi na asinifanye kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ameajiri walinzi wakali anazunguka nao saa zote awapo mitaani
 
Bashite ana kila aina ya laana ya uchafu..

Huyu ni mhalifu kama wahalifu wengine tu..

Ni vile hakuna watu makini waliopata kukaa chini na kutengeneza kesi makini na kuipeleka mahakamani dhidi yake..

Ana kila tuhuna chafu..

Jizi la vyeti..mpaka tuhuma za kupora uhai wa binadamu wenzake..

Hukumu yake inakuja muda si mrefu..

Muuwaji mkubwa Bashite.
Yafaa afunguliwe kesi kwenye mahakama za uhalifu wa kimataifa The Hague siyo kwenye mahakamaccm ambapo atayumbisha kesi
 
Hivi Daudi Albert bashite akirejea kwenye baraza la mawaziri mwakani huu uzi huu, sijui kama kuna mtu atadhubutu kuufufua.
 
Jiwe anapenda sana mtu yule anaelaaniwa na kubezwa mitandaoni hasa baada ya kutumbuliwa, naona mnasahau ya mwigulu.
 
Unataka kusema rais atakula matapishi yake? Subiri uone...
Le mutuz kala advance anaenda kuleta utitiri wa waganga wa kienyeji wa kutosha mpaka wahakikishe Bashite anakuwa mbunge na waziri tena wizara zenye vyombo vya dola hawataki wizara zingine
 
Kwahiyo mnaamini hatoboi? Lazima atoboe, ipo wazi.
 
Kuna watabiri walisema: huyu atagombea then atakuwa Mbunge, then waziri/spika, then raisi. Naona Anachanja mbuga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom