Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,554
Kumbuka huyu sio kama vijana wengine. Ana nafasi special kwenye utawala wa jiweMwana kulitafuta, mwana kulipata ( Vijana waliozaliwa miaka ya 80s)
Kumbuka huyu sio kama vijana wengine. Ana nafasi special kwenye utawala wa jiweMwana kulitafuta, mwana kulipata ( Vijana waliozaliwa miaka ya 80s)
Huyu hata hajulikani alizaliwa mwaka gani maana vyeti vyake vyote ni vya kubumba!Hivi Bashite kazaliwa 1982 au [emoji23][emoji23][emoji23]
Kauli ya Pompeo kuwa anazuia haki ya watu kuishi ni hatari zaidi kuliko kibaka au muuaji.Makonda is neither Kibaka nor mbakaji.
Tafuta relevant example.
Peace is formed from within
najua ipo siku huyu mtu atakuwa mikononi kwa 'bensuda'Kauli ya Pompeo kuwa anazuia haki ya watu kuishi ni hatari zaidi kuliko kibaka au muuaji.
Au ulitaka nikupe swali kama 'muuaji akikamatwa'?
Sio tu hafau huyo ni SHETANI MWEUSIChonde chonde Kigamboni tupeni raha DSM, fanyeni maamuzi magumu. fyekeleya mbali huyo mtu hafai!
Ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angekuwa na nafasi spesho angepoteza ukuu wa mkoa kizembe hivyo...Kumbuka huyu sio kama vijana wengine. Ana nafasi special kwenye utawala wa jiwe
Rudia kwa sauti! Kwamba wahusika wa jaribio la mauaji ya Lissu!? Musiba yuko hili ni wazi mno! Nilishahamasisha operation piga musiba sikueleweka! Musiba ni wa kupiga ni lazima anahusika na mauaji. Tafuta Musiba au ndugu au mtoto piga!!Kikubwa kilichomponza ni laana ya wale wote aliopata kuwafanyia mabaya ikiwemo tukio la kwenda Dodoma na akina cyprian Musiba Le mutuz na wengineo akina Nyaulingo na Heri kisanduku wakamtandika risasi Tundu lisu, na kibaya zaidi anamtumia Le mutuz kubwa jinga kama mshauri wake mkuu, na kwenda huko Kigamboni ni ushauri wa Le mutuz ili apate pesa za kusimamia kampeni yake, Daud Bashite kapotoshwa na wapambe njaa japo ana laana nyingi toka kwa wote aliowafanyia mabaya
Ndoto za alinacha....Makonda was born with a silver spoon, akampiga Jaji Warioba waziri mkuu mstaafu ,ndio kwanza akapewa shafu u DC Kinondoni na Raisi JK
Alipoingia mjomba Magu madarakani akamuongezea mkufu wa dhahabu kuwa RC wa jiji kubwa kuliko yote.
Sasa kaamua kuwania ubunge wa Kigamboni japo baba alifoka kupitia kwa Polepole lakini November haipo mbali kama si waziri wa Miundo mbinu basi atakuwa waziri wa mambo ya ndani.
Come 2025 ndie waziri mkuu au Raisi mtarajiwa.
Funga kabisa mizigo yako. Andaa na passport na nauli kabisa.Bashite asipopitishwa kupeperusha bendera ya CCM,au hata asipopitishwa Kama hatateuliwa kushika wadhifa wowote mkubwa nitahama Tanzania,endeeleni kuamini hajatumwa na mtu
Katika Miaka 5 yalitokea mengi kuhusu Makonda,lakini ilikuwepo minongono hadi bungeni,wizarani,TRA,atatumbuliwa leo,atatumbuliwa kesho hadi akamaliza miaka 5.Ndoto za alinacha....
Ile zuga tu. Mzee ameshamuandalia mipangoAngekuwa na nafasi spesho angepoteza ukuu wa mkoa kizembe hivyo...