Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Wengine wametumia msemo maarufu Wa mjini wa siku hizi, "Mwana kulitafuta, mwana kulipata".

Lakini wengine wameenda mbali zaidi na kukumbuka maneno aliyoyasema Gwajima kanisani kwake kwamba "Nimemfuta Daudi Albert Bashite kwenye uongozi na siasa hapa Tanzania mpaka atakapokuwa ametubu". Hata wale ambao waliyapuuza yale maneno wameanza kuamini kumbe maneno ya mtumishi wa Mungu yanaweza kumpata mtu

Wengine wanajiuliza inawezekanaje rais atoe onyo kwamba wateule wake walidhike na nyadhifa walizopewa halafu mtu akapuuza? Kwamba imekuaje mpaka akapuuza maneno ya rais? Na kwamba labda ile laana ya Gwajima imemfanya asahau.

Wachambuzi wengine wamesema, wakati wa uongozi wake, ilikuwa akipatwa jambo anaenda kuomba kanisani wamwombee na kulia machozi huko, sio mara moja. Sasa kwa sasa ni raia wa kawaida, je ataenda kumlilia nani?

Kwako Mwalimu Kashasha.

View attachment 1508501
Mbona unaongea hayo wakati hata majibu ya kura za maoni hayajatoka?
Unajuaje kama atashindwa!?
 
*** this guy! he's damn stupid na ana dharau sana, honestly jiwe ni chizi kukaa na this stupid ass muda wote huu anamchekelea tu. How can someone say such bullshit na akaendelea kubembelezwa eti chapa kazi. wtf?
 
Le mutuz kampelekea Bajeti leo wanaijadili ni pesa za kwenda kumletea waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali Duniani wakiamini watamsaidia kurejesha imani toka kwa mtukufu na kumsaidia kupora jimbo kisha kuwa mbunge pasipo kujali kuwa siyo chaguo la wapi kura, wakimaliza hapo inafanyika kazi mpya ya kuhakikisha Daudi Bashite anakuwa waziri wa Nchi ofisi ya Rais utawala bora au waziri wa mambo ya ndani au hata waziri wa Ulinzi hataki wizara isiyo na chombo cha dola, anazitaka wizara nyeti pekee na endapo itashindikana anataka awe Naibu spika baada awe spika kamili, hizi ni ndoto na malengo ya Bashite kwa mujibu wa msiri na mashauri wake mkuu Le mutuz.
Kwa hiyo kwenye sarakasi zote hizi JPM atakuwa amepewa limbwata au itakuwaje...
 
Le mutuz ndiyo kamshauri Daud Bashite kila kitu kama Bashite atakuja kuzinduka baadae lazima atajilaumu sana
Hao wote ni wanyama wa aina moja. Kichaka chao kimoja watazama pamoja.
 
Wengine wametumia msemo maarufu Wa mjini wa siku hizi, "Mwana kulitafuta, mwana kulipata".

Lakini wengine wameenda mbali zaidi na kukumbuka maneno aliyoyasema Gwajima kanisani kwake kwamba "Nimemfuta Daudi Albert Bashite kwenye uongozi na siasa hapa Tanzania mpaka atakapokuwa ametubu". Hata wale ambao waliyapuuza yale maneno wameanza kuamini kumbe maneno ya mtumishi wa Mungu yanaweza kumpata mtu

Wengine wanajiuliza inawezekanaje rais atoe onyo kwamba wateule wake walidhike na nyadhifa walizopewa halafu mtu akapuuza? Kwamba imekuaje mpaka akapuuza maneno ya rais? Na kwamba labda ile laana ya Gwajima imemfanya asahau.

Wachambuzi wengine wamesema, wakati wa uongozi wake, ilikuwa akipatwa jambo anaenda kuomba kanisani wamwombee na kulia machozi huko, sio mara moja. Sasa kwa sasa ni raia wa kawaida, je ataenda kumlilia nani?

Kwako Mwalimu Kashasha.

View attachment 1508501
Makonda waziri wa ulinzi ahele umwoto, ni fireeeeeeeeeeeeee, au spika wa bunge
 
.
 
Jamaa kuwa mkuu wa mkoa ilikuwa ndio position nzuri kwake kujidai

Huku anakokwenda sidhani Kama atafunika

Na Kuna wale alliwaumiza kwa "mitikasi" Yao hawajamsahau na "hawatamsahau" kamwe
Sasa atakuwa mpanga foleni kwenye ofisi za maRC kupeleka matatizo
 
Le mutuz ndiyo kamshauri Daud Bashite kila kitu kama Bashite atakuja kuzinduka baadae lazima atajilaumu sana
[emoji23] [emoji23] We jamaa nina hakika Le mutuzi atakuwa alikuacha au kama wew ni mwanaume basi anakugongea mke

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Bashite ataipitishwa na yule yule aliyemnafikia leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom