Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

capacity 0GB

Member
Joined
Jul 6, 2020
Posts
43
Reaction score
52
Wengine wametumia msemo maarufu Wa mjini wa siku hizi, "Mwana kulitafuta, mwana kulipata".

Lakini wengine wameenda mbali zaidi na kukumbuka maneno aliyoyasema Gwajima kanisani kwake kwamba "Nimemfuta Daudi Albert Bashite kwenye uongozi na siasa hapa Tanzania mpaka atakapokuwa ametubu". Hata wale ambao waliyapuuza yale maneno wameanza kuamini kumbe maneno ya mtumishi wa Mungu yanaweza kumpata mtu

Wengine wanajiuliza inawezekanaje rais atoe onyo kwamba wateule wake walidhike na nyadhifa walizopewa halafu mtu akapuuza? Kwamba imekuaje mpaka akapuuza maneno ya rais? Na kwamba labda ile laana ya Gwajima imemfanya asahau.

Wachambuzi wengine wamesema, wakati wa uongozi wake, ilikuwa akipatwa jambo anaenda kuomba kanisani wamwombee na kulia machozi huko, sio mara moja. Sasa kwa sasa ni raia wa kawaida, je ataenda kumlilia nani?

Kwako Mwalimu Kashasha.

 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kikubwa kilichomponza ni laana ya wale wote aliopata kuwafanyia mabaya ikiwemo tukio la kwenda Dodoma na akina cyprian Musiba Le mutuz na wengineo akina Nyaulingo na Heri kisanduku wakamtandika risasi Tundu lisu, na kibaya zaidi anamtumia Le mutuz kubwa jinga kama mshauri wake mkuu, na kwenda huko Kigamboni ni ushauri wa Le mutuz ili apate pesa za kusimamia kampeni yake, Daud Bashite kapotoshwa na wapambe njaa japo ana laana nyingi toka kwa wote aliowafanyia mabaya
 
Le mutuz ndiyo kamshauri Daud Bashite kila kitu kama Bashite atakuja kuzinduka baadae lazima atajilaumu sana
 
Mkuu, ujue hapo unamzungumzia Waziri wa Mambo ya Ndani ama Ulinzi ajaye endapo CCM itabahatika kubakia madarakani.
Mwana kulitafuta, mwana kulipata ( Vijana waliozaliwa miaka ya 80s)
 
Jamaa kuwa mkuu wa mkoa ilikuwa ndio position nzuri kwake kujidai

Huku anakokwenda sidhani Kama atafunika

Na Kuna wale alliwaumiza kwa "mitikasi" Yao hawajamsahau na "hawatamsahau" kamwe
 
Bashite ana kila aina ya laana ya uchafu..

Huyu ni mhalifu kama wahalifu wengine tu..

Ni vile hakuna watu makini waliopata kukaa chini na kutengeneza kesi makini na kuipeleka mahakamani dhidi yake..

Ana kila tuhuna chafu..

Jizi la vyeti..mpaka tuhuma za kupora uhai wa binadamu wenzake..

Hukumu yake inakuja muda si mrefu..

Muuwaji mkubwa Bashite.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom