Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Bashite atatoboa tu na Ubunge atapewa. Hii ndio Tanzania ya sasa
 
Bashite atatoboa tu na Ubunge atapewa. Hii ndio Tanzania ya sasa
 
Mchezo wa kuigiza..., Watanzania ni wepesi Sana, wengi wao wanaamini mambo bila ya kuyafanyia uchunguzi.

Kuondoka Makonda Kama mkuu wa Mkoa wa Daresalam na kwenda kugombania ubunge Kigambiji ni mipango ya Magufuli kumpa uwaziri Makonda .
Mpango wa Magu wa kumpa uwaziri bado upo?
 
Wengine wametumia msemo maarufu Wa mjini wa siku hizi, "Mwana kulitafuta, mwana kulipata".

Lakini wengine wameenda mbali zaidi na kukumbuka maneno aliyoyasema Gwajima kanisani kwake kwamba "Nimemfuta Daudi Albert Bashite kwenye uongozi na siasa hapa Tanzania mpaka atakapokuwa ametubu". Hata wale ambao waliyapuuza yale maneno wameanza kuamini kumbe maneno ya mtumishi wa Mungu yanaweza kumpata mtu

Wengine wanajiuliza inawezekanaje rais atoe onyo kwamba wateule wake walidhike na nyadhifa walizopewa halafu mtu akapuuza? Kwamba imekuaje mpaka akapuuza maneno ya rais? Na kwamba labda ile laana ya Gwajima imemfanya asahau.

Wachambuzi wengine wamesema, wakati wa uongozi wake, ilikuwa akipatwa jambo anaenda kuomba kanisani wamwombee na kulia machozi huko, sio mara moja. Sasa kwa sasa ni raia wa kawaida, je ataenda kumlilia nani?

Kwako Mwalimu Kashasha.

View attachment 1508501
Sejui amugongee nanei? x 2
Sejui amugongee Banana? x 2
Sejui amugongee ................ x 2
 
Tunaolalamika nchi haindeshwi vizuri, malalamiko yetu ni vs individuals ktk uendeshaji, au mfumo mzima?

Kama ni mfumo, tusihadaike na huku kuangushwa individuals. Inaweza kuwa ni distraction tu, tuache kufikiria the bigger picture. Bashites wakitoka mfumo upo tu.

Tujihadhari
 
Aishi manula akamchezee vizuri sasa (alisemaga mwenyewe)
 
Mchezo wa kuigiza..., Watanzania ni wepesi Sana, wengi wao wanaamini mambo bila ya kuyafanyia uchunguzi.

Kuondoka Makonda Kama mkuu wa Mkoa wa Daresalam na kwenda kugombania ubunge Kigambiji ni mipango ya Magufuli kumpa uwaziri Makonda .
My friend, JPM angekuwa na mpango wa kumpa uwaziri angeweza kumchukua hvo alivyo na akampa uwaziri....... kwani kina Kabudi na Kitila na wengine alifanyaje? Makonda kuquit uRC kisa ubunge ni fatal mistake.
 
Inauma sana
images%20(74)_1595259107682.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
My friend, JPM angekuwa na mpango wa kumpa uwaziri angeweza kumchukua hvo alivyo na akampa uwaziri....... kwani kina Kabudi na Kitila na wengine alifanyaje? Makonda kuquit uRC kisa ubunge ni fatal mistake.
Kwa madudu aliyoyafanya Makonda kwa wadhifa aliokuwa nao, ilikuwa sio rahisi kwa Magufuli kumpa huyu jamaa uwaziri .

Kabudi na kitila walikuwa hawana cheo kama cha Makonda serikalini
 
Mtarajiwa baraza la mawaziri lijalo ,hutaki unaacha
Awe kupitia Viti maalum Ila wanakigamboni hatumuhitaji tumeheshimu kauli ya RAIS na mwenyekiti wetu waridhke na madaraka tuliamini RAIS alimaanisha na Mara zote Anamaanisha alichosema.
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Mnavyomtaja-taja! Mzee ataamka hovyo iyo siku,atawarudishia mkimbiane hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom