Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

Wengine wametumia msemo maarufu Wa mjini wa siku hizi, "Mwana kulitafuta, mwana kulipata".

Lakini wengine wameenda mbali zaidi na kukumbuka maneno aliyoyasema Gwajima kanisani kwake kwamba "Nimemfuta Daudi Albert Bashite kwenye uongozi na siasa hapa Tanzania mpaka atakapokuwa ametubu". Hata wale ambao waliyapuuza yale maneno wameanza kuamini kumbe maneno ya mtumishi wa Mungu yanaweza kumpata mtu

Wengine wanajiuliza inawezekanaje rais atoe onyo kwamba wateule wake walidhike na nyadhifa walizopewa halafu mtu akapuuza? Kwamba imekuaje mpaka akapuuza maneno ya rais? Na kwamba labda ile laana ya Gwajima imemfanya asahau.

Wachambuzi wengine wamesema, wakati wa uongozi wake, ilikuwa akipatwa jambo anaenda kuomba kanisani wamwombee na kulia machozi huko, sio mara moja. Sasa kwa sasa ni raia wa kawaida, je ataenda kumlilia nani?

Kwako Mwalimu Kashasha.

View attachment 1508501
Ataenda kumlilia baba yake
 
Alilie nini wakati
alisema anakula raha namba moja, na Ndiyo anayeongoza kula raja duniani.?"capacity 0GB, post: 36035755, member: 601921"]
Wengine wametumia msemo maarufu Wa mjini wa siku hizi, "Mwana kulitafuta, mwana kulipata".

Lakini wengine wameenda mbali zaidi na kukumbuka maneno aliyoyasema Gwajima kanisani kwake kwamba "Nimemfuta Daudi Albert Bashite kwenye uongozi na siasa hapa Tanzania mpaka atakapokuwa ametubu". Hata wale ambao waliyapuuza yale maneno wameanza kuamini kumbe maneno ya mtumishi wa Mungu yanaweza kumpata mtu

Wengine wanajiuliza inawezekanaje rais atoe onyo kwamba wateule wake walidhike na nyadhifa walizopewa halafu mtu akapuuza? Kwamba imekuaje mpaka akapuuza maneno ya rais? Na kwamba labda ile laana ya Gwajima imemfanya asahau.

Wachambuzi wengine wamesema, wakati wa uongozi wake, ilikuwa akipatwa jambo anaenda kuomba kanisani wamwombee na kulia machozi huko, sio mara moja. Sasa kwa sasa ni raia wa kawaida, je ataenda kumlilia nani?

Kwako Mwalimu Kashasha.

View attachment 1508501
[/QUOTE]
wakati alisema
 
hivi nyie wapiga ramli mbona hata mchakato wa kura za maoni bado?
Sio hata mchakato hapo..Makonda kazi yake ilikuwa ya kuteuliwa.
MAKONDA HAKUONDOKA UKUU WA MKOA KWA MAKOSA...
Waache akapumzike au afanye kitu kingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom