Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,382
- 3,146
Naona VITA RASMI ITAANZIA HAPA kila upande kutaka kuwa.Haiwezi kuwa abadani, tena wasijaribu kabisaa.
Naona VITA RASMI ITAANZIA HAPA kila upande kutaka kuwa.Haiwezi kuwa abadani, tena wasijaribu kabisaa.
Wakuu hii kodi ya ganda la ndizi imenipita kushoto. Hata chatgpt hawaelewi kitu.Mbona wanasema mwamba ni mpenzi Sana wa ganda la ndizi ukizoom historia yake
Weka kwa code nyepesi angalau. Hapo umeraruka sana kama vile saluni.Mzee Makamba, February na the likes
Kiatu kabisa yule mzee.Nyerere alikuwa mjinga na siku zinavyozidi kwenda CCM ndiyo wanazidi kumvua nguo. Alikipenda chama kuliko nchi. Alikuwa na anafasi ya kubadili katiba kipindi cha Mwinyi akakaa kimya. Samia atamsikilizaje Nyerere wakati Mwinyi na Mkapa hawakumsikiliza na hawakufanywa lolote. Tunazidi kuzunguka na hatupigi hatua. Inabidi kila kijana ajifunze historia kuanzia uhuru mpaka leo. Maana kila tukipata kiongozi tutazidi kurudishwa nyuma.
😹😹😹Asante mungu!! Naomba kuanzisha thread mpya tofauti na hii !!
Chai inaendelea 😹Twendeni kazi✅✅✅✅✅✅✅✅
Na sisistiza hadithi hii hausiani na kitu chochote Wala mtu yoyote 😂
Hatuanzishi thread mpya, hapa hapa!!
😹😹😹Ana story za kuunga unga, wiki zilizopita alisema kambi za polisi kumejengwa mahema kwa ajili ya kuhamisha familia za polisi kabla ya dec 9.
Wewe kama mwerevu jiulize, Kambi gani ya polisi kuna mahema? Familia zipi za polisi zilihamishwa? Polisi tunaishi nao mtaani hakuna polisi Wala mwanafamilia aliyehama
Haja yake taratibu zifuatwe ili apatikane anaefaaPolepole hakuwa anadai katiba nzuri. Wala hakuwa anataka CCM itoke madarakani. Yeye haja yake ni Samia asigombee.
Wapi pametulia?Wameua watu wengi na pametulia sembuse hiyo ya Riz kuwa?
Ni kweli labda kwako ww ambae hufuatiliiwabongo kwa ujuaji, eti mbona kila kitu kiko wazi hakuna jipya, mbona sasa hamkusema kabla yake, wengine kwetu mageni, acheni tuendelee kufunguliwa akili..
Things have changed my dear. The previous system doesn't function anymore. Ndo maana ya haya yanayoendelea kwa sasa. The whole previous system that held this nation has collapsed. BT has made it possible kwa maslahi yake. Tulipofika anything is possible, hata BT mwenyewe ukitaka kurudi kuwa CEO tena, it's possible hakuna wa kuzuia.Haiwezi kuwa, 2030 lazima atoke Dini tofauti na ya CEO wa sasa, huyo Prince asubiri hadi 2040.
Tobaaaaaaa!!!Things have changed my dear. The previous system doesn't function anymore. Ndo maana ya haya yanayoendelea kwa sasa. The whole previous system that held this nation has collapsed. BT has made it possible kwa maslahi yake. Tulipofika anything is possible, hata BT mwenyewe ukitaka kurudi kuwa CEO tena, it's possible hakuna wa kuzuia.
Achana nae huyo .Hakuna jipya hata moja kila mtu mwenye akili anafahamu yote hayo.Ni kweli labda kwako ww ambae hufuatilii
Ila haya huko tiktok yule anajiita PCK na yule dada mwenye matusi ashaongea sn ndo maana watu hawaoni jipya
Ht britanicca na wengine humu washasema baadhi , polepole ndo kabisaaa km ulimfuatilia hskuna jipya hapa ...
Inasikitisha sanaTobaaaaaaa!!!
Kwa kweli.Inasikitisha sana
Binafsi naamini katiba huendana na nyakati na kumsema Nyerere kwa nyakati alizoongoza na sasa pengine tunaweza tusimtendee haki sanaNyerere alikuwa mjinga na siku zinavyozidi kwenda CCM ndiyo wanazidi kumvua nguo. Alikipenda chama kuliko nchi. Alikuwa na anafasi ya kubadili katiba kipindi cha Mwinyi akakaa kimya. Samia atamsikilizaje Nyerere wakati Mwinyi na Mkapa hawakumsikiliza na hawakufanywa lolote. Tunazidi kuzunguka na hatupigi hatua. Inabidi kila kijana ajifunze historia kuanzia uhuru mpaka leo. Maana kila tukipata kiongozi tutazidi kurudishwa nyuma.
HahaaaAchana nae huyo .Hakuna jipya hata moja kila mtu mwenye akili anafahamu yote hayo.
Makamu wa CEOCode ya Mr mbiinchi ni Nani huyu ??