Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

"In short"

"6"

👉"Mr guys" kaigizwa kingi...... He is there to end his dream
Ya 2030, and being thanked for his cooperation when he was a finance minister for what he did!

👉CEO and Mr born town are now officially "partners" but born town is still the TOP

👉"Mr mbiinchi" betrayed his friends and the plan to end born town legacy and removing CEO 2025

👉the betrayed are left speechless, it will take time for them to heal, speak or do anything since wooote wako chini ya uangalizi mkali na wengine wako under house arrest

👉An army inside the army, established in 2017, sasa limekuwa rasmi, Lina parmanet leaders na linaoparate off grid but using the name of official army. Lina nguvu kuliko the official, and their main objective is terminate any one against CEO and BORN TOWN

👉Mzee na watu wake wamekuwa very smart, Walianza upyaaaa, kete zinasukumwa kimya kimya, there is a surprise coming not soon but have faith

👉Born town son is your next CEO unless they decide differently

Yako mengiiiiiiii mno sijui hata nifupishe vip, SEMA tu
Wateja jiandaeni Kisawa sawa, kwa sasa Wanasema Bado miezi 2 tu Kila kitu kitakuwa sawa mtasahau kabisa.
😂😂
Mwaka mzima unaimba december kumbe ndo hiki ulicho nacho ? Uyu ni project tu kama ilivyo project ya Kigogo kule X
 
Kuna yule mwingine Evarist Chahali, project ya Kj huwa hakubali kukosolewa, ukimkosoa ana kublock, si Instagram, Twitter zamani nk, hana uvumilivu kama wa Pasco, halafu eti ana ndoto ya kutaka awe mkurugenzi mkuu wa vipepeo

Hivi jamaa kwanini alikimbia nchi??? Hili swali huwa najiulizaga Kila siku
 
Wakuu acheni kushikwa akili na wahuni

Yoga&.com wote ni watumishi wa idara na wanawatumikia watu sio umma.

Sasa nawaambia acheni wazalendo ndani ya mfumo wafanye kazi kimya kimya bila kelele tutashinda

Lakini kulishwa porojo na kufanya spinning hapa haitatusaidia tunawasaidia wahuni ambao wapo mwisho.

Samia na Kikwete wanakaribia mwisho ndio maana unaona kila wanachokifanya kinafeli.

Hawa matapeli wanatulisha taarifa ambazo sio! tukaze tusikate tamaa tunakalibia kushinda.!

Technically
 
VERY SAD INDEED

👉An army inside the army, established in 2017, sasa limekuwa rasmi, Lina parmanet leaders na linaoparate off grid but using the name of official army. Lina nguvu kuliko the official, and their main objective is terminate any one against CEO and BORN TOWN
 
Wakuu acheni kushikwa akili na wahuni

Yoga&.com wote ni watumishi wa idara na wanawatumikia watu sio umma.

Sasa nawaambia acheni wazalendo ndani ya mfumo wafanye kazi kimya kimya bila kelele tutashinda

Tukishindwa natural ifanye kazi yake

Lakini kulishwa porojo na kufanya spinning hapa haitatusaidia tunawasaidia wahuni ambao wapi mwisho.

Samia na Kikwete wanakaribia mwisho ndio maana unaona kila wanachkifanya kinafeli.

Hawa matapeli wanatulisha taarifa ambazo sio tukaze tusikate tamaa tunakalibia kushinda.!

Technically
Hapo kwenye kusubiri Natural ifanye kazi hapo, inaeza kufanya 2035 huko ,oooh
 
Wakuu acheni kushikwa akili na wahuni

Yoga&.com wote ni watumishi wa idara na wanawatumikia watu sio umma.

Sasa nawaambia acheni wazalendo ndani ya mfumo wafanye kazi kimya kimya bila kelele tutashinda

Tukishindwa natural ifanye kazi yake

Lakini kulishwa porojo na kufanya spinning hapa haitatusaidia tunawasaidia wahuni ambao wapi mwisho.

Samia na Kikwete wanakaribia mwisho ndio maana unaona kila wanachkifanya kinafeli.

Hawa matapeli wanatulisha taarifa ambazo sio tukaze tusikate tamaa tunakalibia kushinda.!

Technically
Mkuu bora na ww umeliona hilo aisee..
Hii ni project na huyu mtu kazi yake kuja kufanya spinning hapa na kusoma upepo na kupeleka report.

Mimi nilimsutukia mapema sana mana story zake zinakinzana hazi coordinate leo kaja na hili kesho lile la kesho linapinga na la leo basi ili mradi kuvuruga watu tu na kutuzodoa!
 
VERY SAD INDEED

👉An army inside the army, established in 2017, sasa limekuwa rasmi, Lina parmanet leaders na linaoparate off grid but using the name of official army. Lina nguvu kuliko the official, and their main objective is terminate any one against CEO and BORN TOWN
Sudan ya Omar Al-bashir ilikuwa na Jeshi rasmi, ilikuwa na Janjaweed baadaye wakabalidishwa jina nadhani wakawa RSF,
Aliyetengeneza Jeshi ndani ya jeshi akaja kupinduliwa,
CDF na Msaidizi wakaja kuzinguana matokeo yake Jeshi rasmi lipo upande wa CDF na RFS wako upande wa msaidizi muasi, RSF wakiwa na mishahara minono kuliko jeshi rasmi,
Marekani akiwa upande wa genge A, Saudi Arabia naye akifadhili kundi B,
Majuha ya kiafrika (Sudan) wakipinganishwa wao kwa wao na Saudi Arabia na Marekani walijichukulia kiulani rasilimali za Majuha wa Kiafrika.
Kj na team yake naona ni Majuha mengine ya kiafrika yakitumika kuwa mawakala wa kupora mali za nchi yao wenyewe.
Ujinga huu huwezi kuukuta, Dubai, Korea ya kusini, ulaya nk ila kwa Majuha ya Kiafrika.
 
Back
Top Bottom