“The shadow president”
The new president aliepata u president kama zawadi ya kufanikisha kuondolewa Kwa the last president, anaamua kupambana kumuondoa aliyempa zawadi ya upresident bila kutambua how powerfull mtoa zawadi is.
anafanya atempts kadhaa Za kumondolea power, lakini zote Zina gonga mwamba, akiwa anafanya atempts hizo, mtoa zawadi anafanikiwa kumdhibiti mpewa zawadi kwa asilimia mia. katika KuimariSha nguvu yake anaaza kufanya reforms nzito, anasuka upya gang yake vizuri Kwa kuwa delete wote wenye dalili zakuja kumgeuka‼
Mtoa zawadi anafanikiwa kuwaondoa kwa kiasi kikubwa aliojiridhisha kuwa wanamsaliti na kuunda mfumo mpya wa kiutawala kwa kubakiza watu watatu tu, yaani YEYE na wengine wawili, na kati Yao hao watatu, MMoja pekee ndo mtu wa nje ya familia yake!
Lakini anatengeneza assistants loyals kwenye nafasi 10 muhimu, Hawa watu 10 ni royal kweli kweli, na wako pale kwa maslahi mapana ya mtoa zawadi
kwa ufupi, management team yake inaanza na top ambaye ni yeye mwenyewe, anafuta rafiki yake wakaribu sana wa Miaka Kenda anapenda kujiita CHIEF INDIA, Kisha anafuata mtu kutoka ndani ya familia yake ambaye yeye ndio anaadaliwa kuwa god father ajaye
Baada yahapo Kuna kuwa na watu kumi wengine, ambao kila mmoja anakazi yake maalumu
Wako watu wa tatu, wote wanasimamia maswala yote ya usalama wa kampuni na organization ya mtoa zawadi, yaani Hawa wanafanya daily to daily analysisi ya threat za kiusalama ndani ya kampuni na nje ya kampuni. Wanatakiwa kudetect threat kabla haijatokea na muhimu kuithibiti kwa wakti
Wanafuata watu wawili ambao Hawa wanasimamia maswala yote ya fedha na uwekezaji ndani ya kampuni na nje ya kampuni. Hawa Wana monitor faida wanazo pata kwenye miradi ya kampuni na kuhakikisha fedha hizo zinaingia kwenye account stahiki bila kupoteza hata sumni.
Hawa wanfuatilia vyanzo vya fedha vya CEO uwekezaji wake na wote walioko kwenye BLACK LIST
Yuko mtu anasimamia maswala yote ya mahusiano ya nje ya kampuni, na kubuild networks, huyu ni kutafuta investors kwenye maeneo potential ya kampuni Ili kuwpata fedha. Lakini ku keep good name ya Mr founder kwa makampuni makubwa na kuwajengea confidence kuwa Ili uwekeze kwenye kampuni lazima Mr founder ahusike
Yuko mwanasheria anasimamia maswala yote ya contracts na kuhakikisha percentage ya kuridhisha inapatikana na kumfikia mlengwa
Wako watu wa wili wana monitor namna Mpewa zawadi anaongoza kampuni, yaani wanaangalia kama maamuzi yake na maelelekezo anayo yatoa yanaendana na matakwa ya Mr founder?
Na kitengo Cha mwisho Yuko mmoja ambaye yeye nikama secretary ana monitor watu Hawa wote na kukusanya taarifa KUANDAA report ambayo hupelekwa Kwa the top chief kupitia wale top wawili Kisha maamuzi kufanyika na kurudishwa kwa utekelezaji
Kumbuka Kila kitengo kina wasaidizi wake kwenye Kila branch Ya kampuni na main branch ambao kazi Yao ni kucollect data na kufanya ananlysis na kutuma kwa maboss wao na maboss pia huzipitia Kisha KUANDAA report ambayo huenda kwa wale top wawili kisha nawao hukutana na top kufanya majadiliano na kutoa maelekezo kwa kufuata chain hiyo hiyo
Na jambo la kushangaza ni kwamba wote Hawa sio waajiriwa wa CEO wako behind the scene ila Wana access ya Kila kitu!
Katika kuweka mambo vizuri zaidi, ndani ya security agency ya kampuni wameumda kijisecurity agency kidogo ambacho kiko very independent ambacho kina Fanya shughuli zake freely za kulinda usalama wa organization ya mtoa zawadi‼ Hawa wanaruksa yakutumia vifaa vyote vya kampuni upande wa security saa yoyote, mahali popote.
Hawa wanaofisi zao mpya, zenye modern equipments za ufuatiliaji, Cha ajabu hawahawausiki na mkuu wa security aliyechahguliwa na CEO wa kampuni 😡 Naukitaka shida we waguse unate‼
“Turudi kwanza kwa mpokea zawadi”
Sasa bwana, Mpokea zawadi Baada ya kugundua kuwa Kila kitu anacho kipanga, Fanya au kutekeleza kina kuwa Kiko mezani kwa bwana “founder” a.k.a mtoa zawadi , anagundua kuwa asilimia 99 ya walio mzunguka wako kwenye payroll ya Mr founder au ukipenda muite mtoa zawadi.
Kilicho muumiza zaidi ni baada ya kuitwa na kuonyeshwa mambo yote aliyoyapanga aliyo yafanya kumchalenge founder na namna ambavyo founder ameyapangua.
Alionyeshwa ishu yake ya kuzunguka kuwarubuni investors wa bwana founder kuwa waachane naye na wamsupport YEYE, akimtumia Kijana wake bila kujua kumbe Kijana wake arirekodiwa audio and videos na zikatumwa kwa bwana founder
Founder alikua mkali kidogo, na alimuweka wazi kama unataka kuwa successful unapaswa kufuata maelekezo yake, unless anataka vita amabayo bila kupepesa macho alimtamkia kuwa hatoiweza, maana anauwezo wa kumfanya chochote atakacho saa yoyote, mahala popote na akamkubusha aliko mtoa mpaka kufika hapo alipo
Mpokea zawadi Baada ya tafakari ya kina, aligundua mtoa zawadi hakuwa anatania alikuwa very serious, na kwamba nguvu aliyo nayo sio ya kawaida na hakuipata kwa bahati mbaya, hivyo aliamua kujishusha na kukubali yaishe,
akakubali kufuata maelekezo, lakini akawaza abadili plan Ili awe huru, maana Kumbukumbu ya maneno ya founder ilikuwa ikimuijia Kila wakati na kumstress
“Tumepoteza vitu vingi sana kwa huyu old CEO, nimesucrifise my reputation and life kwa ajili Yako, na unajua wewe tulikuweka hapo toka mapema ukijua why tulikuweka hapo, then unanza ku go behind my back, hivi unakili wewe? Kwanini usitulie na kuenjoy huu u CEO! Kwanza hauuwezi … So sikiliza Ukifuata maelekezo yetu utaendelea kuwa CEO mpaka pale sisi tutakapo amua! kazi kwako, Fuata yako au Fuata yangu‼”
Haya maneno Kila saa yalikuwa yakipita akilini mwake na yalimchanganya sana, akaamua ampigie simu mshauri na rafiki yake mkuu afike ofisini kwake kwa mazungumzo kidogo
.....................