Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 970
- 2,230
Waligundua makosa waliyofanya kipindi kilichopita, walionya pasipo maonyo kupokelewa watakuwa wamekubaliana wawaache wayaone wenyeweSema round hii watu wa kitengo
Wamekuwa kimya sio brittanica wala Tumainel
Aliyoyaandika TumainEI hasa mwezi Juni ndio hayo hayo tunayaona leo, huyu Yoga yeye anatupigisha story; story teller