Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Dotto ni mpwa kwa Magufuli mtoto wa dada yake
Mkuu Dotto Biteko hana undugu wowote na magufuli, wala pia hawana ukaribu wowote, utakua unanichanganya Dotto biteko na Dotto James aliyekua katibu wa wizara
Huyu chini hapa ndio dada yake na magufuli anaitwa Monica magufuli, alifariki 2018
Screenshot_20251124-091121_1.jpg

Huyu chini hapa ni mama yake na Dotto Biteko, anaitwa Elizabeth Biteko, alifariki 2020
Screenshot_20251124-090834_1.jpg
 
Mkuu Dotto Biteko hana undugu wowote na magufuli, wala pia hawana ukaribu wowote, utakua unanichanganya Dotto biteko na Dotto James aliyekua katibu wa wizara
Huyu chini hapa ndio dada yake na magufuli anaitwa Monica magufuli, alifariki 2018
View attachment 3506611

Huyu chini hapa ni mama yake na Dotto Biteko, anaitwa Elizabeth Biteko, alifariki 2020
View attachment 3506613
Kwa hio Magufuli alikuwa na dada mmoja ?
 
Wapendwa Tembeeleni Kambi za kaki mtaona wenyewe!!

mkiona mahema kwenye hizo Kambi mapya mapya mjue ni maandalizi , maelekezo yamesha toka!!

Take care, Hawa jamaa hawajajifunza!!

"SHOOT TO KILL"

na waliowashoot wamepongezwa na wamehaidiwa vinono!

Watch out
Kaki ndio wakina nani ?
 
Back
Top Bottom